Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Kuna mambo mengi sana unachanganya mkuu, mimi sitaki kuingia deep kwenye maelezo uliyoyatoa ila kukusaidia hiyo swala unayokusudia kwenye Qur'an imekusudiwa ni dua au maombi, sio ufafanuzi wa swala yeyote katika swala 5 tulizofaradhishiwa.

Swali langu kwako, mtume muhammad hajaacha mirathi yeyote ya elimu yake hapa duniani? unamaanisha uislamu aliouacha mtume muhammad kwa mafundisho yake ni upi?.
 
Grand muft wa egypt sio msemaji wa uislamu wala waislamu bali ni mwajiriwa katika serikali ya egypt, na ukimtizama hapo amenyoa ndevu jambo ambalo ni dhambi kubwa miongoni mwa madhambi makubwa katika uislamu, huyo ni muislamu tu mabalaa yake aachiwe mwenyewe isihusishwe dini yetu tukufu.
 
Asante ndugu ...Na hawa wenzetu wanachukua zile za uzushi na kuzisambaza ..
 
Waambie maneno haya waarabu ambao wanawaona nyie blacks kama takataka ,mnaujua uislam kuliko wao🤗.
 
Waambie maneno haya waarabu ambao wanawaona nyie blacks kama takataka ,mnaujua uislam kuliko wao🤗.
Wala sina haja ya kuwaambia, na wao wanajua zaidi kuwa uislamu hauwafanyi baadhi ya watu kuwa superior na wengine kuwa watwana.
 
Wala sina haja ya kuwaambia, na wao wanajua zaidi kuwa uislamu hauwafanyi baadhi ya watu kuwa superior na wengine kuwa watwana.
Maurtania, Saudia mpaka leo kuna black slaves ambao ni waislam🤔,Saudia kulikua na slave market mpaka 1950s. Waliokua wanauzwa ni black Muslims kama wewe,huo usawa uko wapi? Kampeni ya mzungu ndiyo ilifanya waache hiyo biashara,imebakia underground tu for now.
 
Na kwann papa wa ukatoliki mnamuhusisha na dini ya ukristo, kwani yeye ndo msemaji wa ukristo au kiongozi wa dini nzima??
 
Utumwa kwenye uislamu na utumwa kwenye dunia ya leo ni vitu viwili tofauti kabisa, wengi ambao wanapigiwa kelele wala sio watumwa ni vibarua tu, kama waliotolewa mikoa ya bara kwenda kuvuna karafuu Zanzibar au kukata mkonge Tanga.

Utumwa kwa mujibu wa uislamu asili yake ni ukafiri, mfano panapiganwa vita wakichukuliwa mateka na wakashindwa kujikomboa basi automatically wale ni watumwa tayari, na hili sio kwa waarabu tu, hata waafrika kuna nyakati zimepita dola zao zilikuwa na nguvu wakawafanya wazungu kuwa watumwa, ni mambo tu yanabadilika zama na zama, ila wengi wa watu ambao unasikia ni watumwa wala hawakuwa watumwa walikuwa wafanyakazi tu.

Uislamu ulipokuja ukafanya miongoni mwa ibada kubwa kabisa ni kumuacha mtumwa huru, na mambo haya yanasomeshwa katika fiqhi ya kiislamu.
 
Na kwann papa wa ukatoliki mnamuhusisha na dini ya ukristo, kwani yeye ndo msemaji wa ukristo au kiongozi wa dini nzima??
Papa ni kiongozi wa kanisa katoliki, na ndio maana wakisimikwa cardinals na wanaohusiana baraka zinatoka huko juu, kwahyo akifanya kitu anafanya kwa kulisemea kanisa katoliki lote, sasa usifananishe mufti wa kutoa tu fatwa misri na papa wa kanisa zima.
 
Ombaomba ni sign ya umasikini na ujinga. Kanisani wanakupa ndoano uvue utafundishwa ufundi au kamtaji cha kufanyia biashara na elimu ya biashara. lakini kwenu kutwa ombaomba hamuwasaidii chochote zaidi kuwaongezea umaskini.
 
Catholic ndio dhehebu kubwa duniani na hata hapa tanzania, na papa ndio kiongozi wao sasa hapo unabisha nini? Waislamu muongozo wetu ni quraan tu hatuna kiongozi wa dhehebu sisi
Washia Ayatollah
 
Sijafananisha labda wewe ndo umenielewa vibaya.

Nilichosema haya mambo hata kwenu yapo.
 
Ombaomba ni sign ya umasikini na ujinga. Kanisani wanakupa ndoano uvue utafundishwa ufundi au kamtaji cha kufanyia biashara na elimu ya biashara. lakini kwenu kutwa ombaomba hamuwasaidii chochote zaidi kuwaongezea umaskini.
Wale wanaoomba miskitini ni dini zote na wengi ni wagogo ambao ni wakristo, lakini wanajua wapi watasaidika kirahisi na mwezi gani kati ya kwaresma na ramadhani wanasaidika sana
 
Papa anawasemea wakristo zaidi ya 1.3billion mkuu.
Kwaio??
Unadhani wakristo wote wanakubaliana papa??
Unadhani wakatoliki wote wanakubaliana na papa??
Kiongozi ni kiongozi, binadamu ni binadamu, afanyayo yeye sio amri kwako, akiongea papa ni kama tuu kiongozi mwingine kaongea, neno lake sio sheria.

Kwan nikuulize swali??
Mtume S.A.W aliomuoa Aysha akiwa na miaka sita, wewe unaweza kufanya hivo??
 
mji mtakatifu huku madem wanatembea uchi?
waislam bana!
Yaani eti duniani, pombe na mademu ni haramu ila mbinguni wanaambiwa kuna mito ya pombe tamu sana. Mademu watapewa mabikira 72 wawapige miti huko mbinguni. Sasa unajiuliza huyo allah ni Mungu au muhuni fulani kwa koti la Mungu.
Hiyo mbingu siitakuwa inanuka zinaa tupu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…