Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Sheikh, qur'an imesema wazi inafafanua aya kwa aya,na kusema hadith no ufafanuzi wa qur'an,hili so kweli, hadith huzua vitu vipya ambavyo kwenye qur'an havipo,mfano mzinzi mwanandoa kupigwa mawe hadi kufa,mwanamke kwenye hedhi kutofunga ramadhani ilhali quran ilishasema nani mwenye udhuru wa kufunga, Hadith zinasema udhu wa dhuh'ri unaweza utumia mpaka isha almuradi hukujamba wakati quran imesema tushike udhu kila tutakapo kuswali,qur'an imesema seals tusizifanye kwa sauti za juu sana wala kimyakimya hadith zinasema tuswali kimyakimya dhuh'ri na l'asri,huo siyo ufafanuzi bali kwenda kinyume,mtume alikua na maekezo juu ya aya lakini so kwenda kinyume na aya...leo waislam wanamsubiri nabii issa arudi,wapi qur'an imesema hilo kama so kufuata vitu vya kwenye biblia!?..
Kuna mambo mengi sana unachanganya mkuu, mimi sitaki kuingia deep kwenye maelezo uliyoyatoa ila kukusaidia hiyo swala unayokusudia kwenye Qur'an imekusudiwa ni dua au maombi, sio ufafanuzi wa swala yeyote katika swala 5 tulizofaradhishiwa.

Swali langu kwako, mtume muhammad hajaacha mirathi yeyote ya elimu yake hapa duniani? unamaanisha uislamu aliouacha mtume muhammad kwa mafundisho yake ni upi?.
 
Papa sio kiongozi wa ukristo.

Kama wewe unavosema mnaongozwa na quran na sisi tunaongozwa na biblia(inachekesha jinsi gani mnavozidi kuiga ukristo kila siku, mmeacha kuwaiga Jews sikuiz).

Papa na Roman catholic church wana maovu yao mengi tuu, muda hautoshi kuyazungumzia, kimsingi ni kwamba tukubaliane tuu, ukitaka kuujua uislamu soma quran na ukitaka kuujua ukristo soma biblia, lakini nyie kuna waumini wa kiislamu wanafanya waarabu miungu watu na kama tuu sisi tuna wakristo hawajui maandiko vizur wanawatukuza sana wayahudi.

Yaan brother kimsingi ni kwamba asaiv kila dini imechafukwa, sio tuu ukristo mzee
View attachment 2817588
Huyu ni papa na grand mufti wa Egypt wakipigana busu, kwaio usiwe unaongea mambo bila kuchunguza huko kwako uko salama. Umeelewa mzee?
Grand muft wa egypt sio msemaji wa uislamu wala waislamu bali ni mwajiriwa katika serikali ya egypt, na ukimtizama hapo amenyoa ndevu jambo ambalo ni dhambi kubwa miongoni mwa madhambi makubwa katika uislamu, huyo ni muislamu tu mabalaa yake aachiwe mwenyewe isihusishwe dini yetu tukufu.
 
Kwenye elimu ya mustwalahul hadiyth hayo mambo yanasomwa katika ngazi za mwanzo mwanzo sana, hadithi ikiwa inapingana na Qur'an hata ukitizama katika chain of narrators utakuta kuna watu hawaeleweki na wala hawajulikani mbele za wanawachuoni wa jarhu na ta'aadiyl.

Ninachokusudia ni hadithi sahihi zilizothibiti kutoka kwa mtume swala na amani ziwe juu yake, na wanawachuoni allah awarehemu wameweka misingi mizuri kabisa na wamefanya kazi kubwa ya kuzisahihisha hadithi na kuzidhoofisha zile ambazo hazijafika vigezo vya usahihi.

Kwahyo tunaweza kusema hadithi sahihi ni aina miongoni mwa aina za wahyi, amesema allah hali ya kuwa ametukuka:

"......nasi tumekuteremshia wewe ukumbusho ili uwabainishie watu yale yaliyoteremshwa kwao, na ili wapate kutafakari."
Qur'an 16:44

Hivyo katika ukamilifu wa uislamu na kuiswadikisha Qur'an lazima yawepo maneno ya mtume swala na salaam ziwe juu yake, yatakayoenda sambamba na Qur'an ili kuwabainishia watu hiyo Qur'an na ili wapate kutafakari.

Allah akulipe kheri.
Asante ndugu ...Na hawa wenzetu wanachukua zile za uzushi na kuzisambaza ..
 
Hakuna muislamu original kutokana na race yake, sisi dini yetu haina ubaguzi ndo maana ukitizama msikitini tunasimama kiunyenyekevu pamoja, tajiri maskini mrefu mfupi mweusi mweupe, wote tunasimama hapo tukiwa na yakini sote ni waja wa allah wenye haki sawa mbele zake.

"Enyi watu! hakika sisi tumekuumbeni kutokana na mwanaume mmoja na mwanamke mmoja, na tumekufanyeni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane tu, hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Allah ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi, hakika allah ni mwenye ilimu, mwenye khabari zote."
Qur'an 49:13

So kwenye uislamu hatuna watu daraja la kwanza kisa ni waarabu, kwetu sote ni sawa, mimi ni mweusi lakini utakuta katika watu tunaowafundisha na wanakuja kwetu wakiwa hawana wanachojua wengine ni waarabu, shukran.
Waambie maneno haya waarabu ambao wanawaona nyie blacks kama takataka ,mnaujua uislam kuliko wao🤗.
 
Waambie maneno haya waarabu ambao wanawaona nyie blacks kama takataka ,mnaujua uislam kuliko wao🤗.
Wala sina haja ya kuwaambia, na wao wanajua zaidi kuwa uislamu hauwafanyi baadhi ya watu kuwa superior na wengine kuwa watwana.
 
Wala sina haja ya kuwaambia, na wao wanajua zaidi kuwa uislamu hauwafanyi baadhi ya watu kuwa superior na wengine kuwa watwana.
Maurtania, Saudia mpaka leo kuna black slaves ambao ni waislam🤔,Saudia kulikua na slave market mpaka 1950s. Waliokua wanauzwa ni black Muslims kama wewe,huo usawa uko wapi? Kampeni ya mzungu ndiyo ilifanya waache hiyo biashara,imebakia underground tu for now.
 
Grand muft wa egypt sio msemaji wa uislamu wala waislamu bali ni mwajiriwa katika serikali ya egypt, na ukimtizama hapo amenyoa ndevu jambo ambalo ni dhambi kubwa miongoni mwa madhambi makubwa katika uislamu, huyo ni muislamu tu mabalaa yake aachiwe mwenyewe isihusishwe dini yetu tukufu.
Na kwann papa wa ukatoliki mnamuhusisha na dini ya ukristo, kwani yeye ndo msemaji wa ukristo au kiongozi wa dini nzima??
 
Maurtania, Saudia mpaka leo kuna black slaves ambao ni waislam🤔,Saudia kulikua na slave market mpaka 1950s. Waliokua wanauzwa ni black Muslims kama wewe,huo usawa uko wapi? Kampeni ya mzungu ndiyo ilifanya waache hiyo biashara,imebakia underground tu for now.
Utumwa kwenye uislamu na utumwa kwenye dunia ya leo ni vitu viwili tofauti kabisa, wengi ambao wanapigiwa kelele wala sio watumwa ni vibarua tu, kama waliotolewa mikoa ya bara kwenda kuvuna karafuu Zanzibar au kukata mkonge Tanga.

Utumwa kwa mujibu wa uislamu asili yake ni ukafiri, mfano panapiganwa vita wakichukuliwa mateka na wakashindwa kujikomboa basi automatically wale ni watumwa tayari, na hili sio kwa waarabu tu, hata waafrika kuna nyakati zimepita dola zao zilikuwa na nguvu wakawafanya wazungu kuwa watumwa, ni mambo tu yanabadilika zama na zama, ila wengi wa watu ambao unasikia ni watumwa wala hawakuwa watumwa walikuwa wafanyakazi tu.

Uislamu ulipokuja ukafanya miongoni mwa ibada kubwa kabisa ni kumuacha mtumwa huru, na mambo haya yanasomeshwa katika fiqhi ya kiislamu.
 
Na kwann papa wa ukatoliki mnamuhusisha na dini ya ukristo, kwani yeye ndo msemaji wa ukristo au kiongozi wa dini nzima??
Papa ni kiongozi wa kanisa katoliki, na ndio maana wakisimikwa cardinals na wanaohusiana baraka zinatoka huko juu, kwahyo akifanya kitu anafanya kwa kulisemea kanisa katoliki lote, sasa usifananishe mufti wa kutoa tu fatwa misri na papa wa kanisa zima.
 
Kaka sisi haturuhusiwi hata kula wakati jirani yako ana njaa, ndio maana unaona misikitini ombaomba wanajaa ijumaa lakini hukuti ombaomba wakijaa kanisani, tumeamrishwa kutoa na kukirimu masikini na binaadamu wengine,
Angalia mwezi wa ramadhani na sikuku ya iddi watu wanavyolishwa bure na kupewa sadaka mbalimbali bila ya kuangalia dini, huo ndio uislamu
Ombaomba ni sign ya umasikini na ujinga. Kanisani wanakupa ndoano uvue utafundishwa ufundi au kamtaji cha kufanyia biashara na elimu ya biashara. lakini kwenu kutwa ombaomba hamuwasaidii chochote zaidi kuwaongezea umaskini.
 
Catholic ndio dhehebu kubwa duniani na hata hapa tanzania, na papa ndio kiongozi wao sasa hapo unabisha nini? Waislamu muongozo wetu ni quraan tu hatuna kiongozi wa dhehebu sisi
Washia Ayatollah
 
Papa ni kiongozi wa kanisa katoliki, na ndio maana wakisimikwa cardinals na wanaohusiana baraka zinatoka huko juu, kwahyo akifanya kitu anafanya kwa kulisemea kanisa katoliki lote, sasa usifananishe mufti wa kutoa tu fatwa misri na papa wa kanisa zima.
Sijafananisha labda wewe ndo umenielewa vibaya.

Nilichosema haya mambo hata kwenu yapo.
 
Ombaomba ni sign ya umasikini na ujinga. Kanisani wanakupa ndoano uvue utafundishwa ufundi au kamtaji cha kufanyia biashara na elimu ya biashara. lakini kwenu kutwa ombaomba hamuwasaidii chochote zaidi kuwaongezea umaskini.
Wale wanaoomba miskitini ni dini zote na wengi ni wagogo ambao ni wakristo, lakini wanajua wapi watasaidika kirahisi na mwezi gani kati ya kwaresma na ramadhani wanasaidika sana
 
Papa anawasemea wakristo zaidi ya 1.3billion mkuu.
Kwaio??
Unadhani wakristo wote wanakubaliana papa??
Unadhani wakatoliki wote wanakubaliana na papa??
Kiongozi ni kiongozi, binadamu ni binadamu, afanyayo yeye sio amri kwako, akiongea papa ni kama tuu kiongozi mwingine kaongea, neno lake sio sheria.

Kwan nikuulize swali??
Mtume S.A.W aliomuoa Aysha akiwa na miaka sita, wewe unaweza kufanya hivo??
 
mji mtakatifu huku madem wanatembea uchi?
waislam bana!
Yaani eti duniani, pombe na mademu ni haramu ila mbinguni wanaambiwa kuna mito ya pombe tamu sana. Mademu watapewa mabikira 72 wawapige miti huko mbinguni. Sasa unajiuliza huyo allah ni Mungu au muhuni fulani kwa koti la Mungu.
Hiyo mbingu siitakuwa inanuka zinaa tupu!!!!
 
Back
Top Bottom