Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Kuna mambo mengi sana unachanganya mkuu, mimi sitaki kuingia deep kwenye maelezo uliyoyatoa ila kukusaidia hiyo swala unayokusudia kwenye Qur'an imekusudiwa ni dua au maombi, sio ufafanuzi wa swala yeyote katika swala 5 tulizofaradhishiwa.Sheikh, qur'an imesema wazi inafafanua aya kwa aya,na kusema hadith no ufafanuzi wa qur'an,hili so kweli, hadith huzua vitu vipya ambavyo kwenye qur'an havipo,mfano mzinzi mwanandoa kupigwa mawe hadi kufa,mwanamke kwenye hedhi kutofunga ramadhani ilhali quran ilishasema nani mwenye udhuru wa kufunga, Hadith zinasema udhu wa dhuh'ri unaweza utumia mpaka isha almuradi hukujamba wakati quran imesema tushike udhu kila tutakapo kuswali,qur'an imesema seals tusizifanye kwa sauti za juu sana wala kimyakimya hadith zinasema tuswali kimyakimya dhuh'ri na l'asri,huo siyo ufafanuzi bali kwenda kinyume,mtume alikua na maekezo juu ya aya lakini so kwenda kinyume na aya...leo waislam wanamsubiri nabii issa arudi,wapi qur'an imesema hilo kama so kufuata vitu vya kwenye biblia!?..
Swali langu kwako, mtume muhammad hajaacha mirathi yeyote ya elimu yake hapa duniani? unamaanisha uislamu aliouacha mtume muhammad kwa mafundisho yake ni upi?.