Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Ngoja nitaweka andiko ambalo linaonyesha maandiko yote ya Quran (siyo hadithi za Mtume) ambayo yanathibitisha ALLAH akiongopa mara kadhaa, ambayo ni sifa kuu ya SHETANI. Utacheka
Ukileta na ukathibitisha naacha na uislamu na nakupa million 10 kama unaweza tag Mod la sivyo nipigwe ban ya maisha ...


Mimi muislamu naapa mbele ya Mungu ukileta hilo andiko ,halafu niambie dini yako nikuonyeshe mimi.
 
Sasa nitakuletea maandiko ya Quran yanayothibitisha kuwa ALLAH ameongopa mara kadhaa; naomba tu isiwe na Jazba.
Na ili inoge ilipaswa kutajwa mara ngap???
FaizaFoxy dada yangu mzuri...mwamini Yesu tu

Malaria 2 wewe ni ndugu yangu, huko uliko utafanywa kuni hebu njoo kwa Yesu
Ninawapenda sana
 
Sasa nitakuletea maandiko ya Quran yanayothibitisha kuwa ALLAH ameongopa mara kadhaa; naomba tu isiwe na Jazba.
Leta andiko bro ...Nimekupa ahadi na pia ujue hayo maandiko sio tafsir za app store😅😅😅.

Mimi nipo hapa nasubiri.!!

Sasa nakuambia huyo mwana wa mfalme sio watu wanamfuata na anajulikana kabisa aliua yule jamaa anaitwa Jamal khashongy tena mpaka cctv camera footage zipo ...
 
Uisilamu ndio dini pekee ambayo inasimama na Atheist na kumpiga KO.

There is a reason kwanini west wengi wana Convert kwenda Uisilamu tena watu wakubwa wakubwa ambao hawana njaa.

Angalia hii debate.


View: https://m.youtube.com/watch?v=uSwJuOPG4FI
Huyo ni Proffesor Krauss well known Atheist.
 
Ukileta na ukathibitisha naacha na uislamu na nakupa million 10 kama unaweza tag Mod la sivyo nipigwe ban ya maisha ...


Mimi muislamu naapa mbele ya Mungu ukileta hilo andiko ,halafu niambie dini yako nikuonyeshe mimi.
Rafiki yangu mm naamini Biblia; niseme ukweli wangu Kuna kaukweli nyinyi watu husema kuhusu wakiristo kuwa Yesu si Mungu. Lakini hamjawahi kujiongezea kuwa wanasema Yesu ni Mungu, huo huwa ni msimamo wao na Wala si Msimamo wa Biblia. ILA Mnapojichanganya tena ni pale mnapo mkana Yesu kuwa si mwana wa Mungu- Biblia na Hata Quran yenu vinaonyesha kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.Nimekuibia kidogo tu thamani ya Biblia.
 
Mwana wa mfalme unayeongelea hapo ndio kammaliza Mwandishi wa habari Jamal khashongy kwa kifo kibaya kwa nn asifuate sheria za marekani ili kuficha ukatili wake.

Saudi Arabia ni nchi ambayo ina sheria za kawaida na haina misimamo miaka kwa miaka...Kama ndio unajua leo basi umecheewa saudi arabia ina sehemu za watu kucheza filamu za porn ,saudia kuna maukumbi ya starehe kubwa duniani .....Saudi Arabia chini wa mwanamfalme inafanya mambo ya hovyo na ukatili.

Saudi arabia sio uislamu😅😅


Ni sawa na Rais fulani aliingia mikataba ya hovyo baaada ya mwanae kukamwata na sembe ili aachiliwe.
 
Sasa wewe unapoteza mda maana 😅😅 Waislamu hawafuati matamko ya watu kama mnavyofuata matamko ya papa ....Mfano papa kasema ndoa za jinsia moja basi unatafuta chanzo ili usawazishe 😅😅..

Inauma sana ila hakuna muislamu asiyejua maovu ya Mwana wa mfalme na yule hana jipya kweny uislamu anatarat8bu nchi yake miaka na miaka hawezi kubadili hata dot kweny Qur an.


Kuhusu hadithi mpaka kesho tunajua zipo dhaifu na sahili😅😅... Hadith ikipingana na Qur an kidogo basi ni batili na watu hawasomi kabisa
 

Hadithi na ngonjera za mtume akawapa mabikra 72 huko peponi [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…