Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Ngoja nitaweka andiko ambalo linaonyesha maandiko yote ya Quran (siyo hadithi za Mtume) ambayo yanathibitisha ALLAH akiongopa mara kadhaa, ambayo ni sifa kuu ya SHETANI. Utacheka
Ukileta na ukathibitisha naacha na uislamu na nakupa million 10 kama unaweza tag Mod la sivyo nipigwe ban ya maisha ...


Mimi muislamu naapa mbele ya Mungu ukileta hilo andiko ,halafu niambie dini yako nikuonyeshe mimi.
 
Yupo sahihi 100% kwa moja kama una elimu utamuelewa...Mimi binafsi sisomi hadithi maana Qur an inatosha.

Logically hadith ikipishana na Qur an ni ubatili ....Ina maana Qur an inatosha kwa kila haina haja ya Hadith na hapo kweny hadith ndio njia watu wanatumia kupotosha watu mpaka uchuje maana wengine ni warongo.

😅Yupo sahihi maana huwezi kusoma hadithi pekee bila ya kujua Qur an na Hadith ikipingana na Qur an basi haifai ..

Tunapobishana hapa naona mnaleta hadithi mimi nataka Qur an hadithi ni za kutungwa nyingine mpaka usome uchuje....Kama lait wangu wangesoma hadith pekee basi wangepotea mapema maana mpokeo mengi ya ya uongo yaani dhaifu ....
Sasa nitakuletea maandiko ya Quran yanayothibitisha kuwa ALLAH ameongopa mara kadhaa; naomba tu isiwe na Jazba.
Na ili inoge ilipaswa kutajwa mara ngap???
FaizaFoxy dada yangu mzuri...mwamini Yesu tu

Malaria 2 wewe ni ndugu yangu, huko uliko utafanywa kuni hebu njoo kwa Yesu
Ninawapenda sana
 
Sasa nitakuletea maandiko ya Quran yanayothibitisha kuwa ALLAH ameongopa mara kadhaa; naomba tu isiwe na Jazba.
Leta andiko bro ...Nimekupa ahadi na pia ujue hayo maandiko sio tafsir za app store😅😅😅.

Mimi nipo hapa nasubiri.!!

Sasa nakuambia huyo mwana wa mfalme sio watu wanamfuata na anajulikana kabisa aliua yule jamaa anaitwa Jamal khashongy tena mpaka cctv camera footage zipo ...
 
Ninauhakika kabisa kuwa!
Elimu zetu za Dini, iwapo zingeliruhusu challenges kutoka kila pahala, hata wenye dini zao wakawa wahusika wa mijadara huru, na wakaondoa jaziba zisizosaidia ili kuruhusu ubongo wa kati ushike ukweli wake!


Kuna Dini zingesambaratika, na ambao wangeendelea kubakia huko, Dunia ingeamua washughurikiwe kivyovyote kwa sababu ndio wangeilinda dini hiyo kwa ugaidi wa hali ya juu sana kwa kukosa msingi wa kiutu na kiungu!
Uisilamu ndio dini pekee ambayo inasimama na Atheist na kumpiga KO.

There is a reason kwanini west wengi wana Convert kwenda Uisilamu tena watu wakubwa wakubwa ambao hawana njaa.

Angalia hii debate.


View: https://m.youtube.com/watch?v=uSwJuOPG4FI

Huyo ni Proffesor Krauss well known Atheist.
 
Ukileta na ukathibitisha naacha na uislamu na nakupa million 10 kama unaweza tag Mod la sivyo nipigwe ban ya maisha ...


Mimi muislamu naapa mbele ya Mungu ukileta hilo andiko ,halafu niambie dini yako nikuonyeshe mimi.
Rafiki yangu mm naamini Biblia; niseme ukweli wangu Kuna kaukweli nyinyi watu husema kuhusu wakiristo kuwa Yesu si Mungu. Lakini hamjawahi kujiongezea kuwa wanasema Yesu ni Mungu, huo huwa ni msimamo wao na Wala si Msimamo wa Biblia. ILA Mnapojichanganya tena ni pale mnapo mkana Yesu kuwa si mwana wa Mungu- Biblia na Hata Quran yenu vinaonyesha kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.Nimekuibia kidogo tu thamani ya Biblia.
 
Mwana wa mfalme unayeongelea hapo ndio kammaliza Mwandishi wa habari Jamal khashongy kwa kifo kibaya kwa nn asifuate sheria za marekani ili kuficha ukatili wake.

Saudi Arabia ni nchi ambayo ina sheria za kawaida na haina misimamo miaka kwa miaka...Kama ndio unajua leo basi umecheewa saudi arabia ina sehemu za watu kucheza filamu za porn ,saudia kuna maukumbi ya starehe kubwa duniani .....Saudi Arabia chini wa mwanamfalme inafanya mambo ya hovyo na ukatili.

Saudi arabia sio uislamu😅😅


Ni sawa na Rais fulani aliingia mikataba ya hovyo baaada ya mwanae kukamwata na sembe ili aachiliwe.
 
Rafiki yangu mm naamini Biblia; niseme ukweli wangu Kuna kaukweli nyinyi watu husema kuhusu wakiristo kuwa Yesu si Mungu. Lakini hamjawahi kujiongezea kuwa wanasema Yesu ni Mungu, huo huwa ni msimamo wao na Wala si Msimamo wa Biblia. ILA Mnapojichanganya tena ni pale mnapo mkana Yesu kuwa si mwana wa Mungu- Biblia na Hata Quran yenu vinaonyesha kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.Nimekuibia kidogo tu thamani ya Biblia.
Sasa wewe unapoteza mda maana 😅😅 Waislamu hawafuati matamko ya watu kama mnavyofuata matamko ya papa ....Mfano papa kasema ndoa za jinsia moja basi unatafuta chanzo ili usawazishe 😅😅..

Inauma sana ila hakuna muislamu asiyejua maovu ya Mwana wa mfalme na yule hana jipya kweny uislamu anatarat8bu nchi yake miaka na miaka hawezi kubadili hata dot kweny Qur an.


Kuhusu hadithi mpaka kesho tunajua zipo dhaifu na sahili😅😅... Hadith ikipingana na Qur an kidogo basi ni batili na watu hawasomi kabisa
 
Hana jipya alicho ongea Qur'an imeisha sema miaka tusifate hadithi wakati Qur'an ina kila kitu.


Kuna Waislam wanaamini hadithi aliyo ongea yeye tu, si hadithi anakuja mtu anakuwambia Albukhari sijui kasema au flani kasikia the hadith ya Mtume Muhammad can be used as Islamic law.

However, Allah says in the Quran that following any law besides the Quran is forbidden.

أَفَغَيْرَ اللَّهِ أَبْتَغِي حَكَمًا وَهُوَ الَّذِي أَنزَلَ إِلَيْكُمُ الْكِتَابَ مُفَصَّلًا
Then is it other than Allah I should seek as judge while it is He who has revealed to you the Book explained in detail? … (6:114 part)
تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ
These are the verses of Allah which We recite to you in truth. Then in what statement (hadith) after Allah and His verses will they believe? (45:6)
فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ
Then in what statement after it (the Qur’an) will they believe? (77:50)
مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ أَمْ لَكُمْ كِتَابٌ فِيهِ تَدْرُسُونَ إِنَّ لَكُمْ فِيهِ لَمَا تَخَيَّرُونَ
What is [the matter] with you? How do you judge? Or do you have a book / scripture in which you learn that indeed for you in it is whatever you choose? (68:36–38)
Conclusion

These verses make it very clear that the only source by which to judge according to Islam is the Quran and nothing else. God even specifically questions why people would believe in any hadith after the Quran has been revealed.

Hadithi na ngonjera za mtume akawapa mabikra 72 huko peponi [emoji23]
 
Back
Top Bottom