Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Na ili inoge ilipaswa kutajwa mara ngap???Quran haina kila kitu unajua kuwa Mecca imetajwa mara 2 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ili inoge ilipaswa kutajwa mara ngap???Quran haina kila kitu unajua kuwa Mecca imetajwa mara 2 tu
Ngoja nitaweka andiko ambalo linaonyesha maandiko yote ya Quran (siyo hadithi za Mtume) ambayo yanathibitisha ALLAH akiongopa mara kadhaa, ambayo ni sifa kuu ya SHETANI. UtachekaMwisho wa siku KWELI itasimama.
Maisha ya kulazimishana kula na kuvaa nini yatapita.
Ukileta na ukathibitisha naacha na uislamu na nakupa million 10 kama unaweza tag Mod la sivyo nipigwe ban ya maisha ...Ngoja nitaweka andiko ambalo linaonyesha maandiko yote ya Quran (siyo hadithi za Mtume) ambayo yanathibitisha ALLAH akiongopa mara kadhaa, ambayo ni sifa kuu ya SHETANI. Utacheka
Kwa sababu wanazuoni wanahoji kuwa Mecca ya Koran iko Saudia au Petra (Jordan)Na ili inoge ilipaswa kutajwa mara ngap???
Sasa nitakuletea maandiko ya Quran yanayothibitisha kuwa ALLAH ameongopa mara kadhaa; naomba tu isiwe na Jazba.Yupo sahihi 100% kwa moja kama una elimu utamuelewa...Mimi binafsi sisomi hadithi maana Qur an inatosha.
Logically hadith ikipishana na Qur an ni ubatili ....Ina maana Qur an inatosha kwa kila haina haja ya Hadith na hapo kweny hadith ndio njia watu wanatumia kupotosha watu mpaka uchuje maana wengine ni warongo.
😅Yupo sahihi maana huwezi kusoma hadithi pekee bila ya kujua Qur an na Hadith ikipingana na Qur an basi haifai ..
Tunapobishana hapa naona mnaleta hadithi mimi nataka Qur an hadithi ni za kutungwa nyingine mpaka usome uchuje....Kama lait wangu wangesoma hadith pekee basi wangepotea mapema maana mpokeo mengi ya ya uongo yaani dhaifu ....
Na ili inoge ilipaswa kutajwa mara ngap???
Leta andiko bro ...Nimekupa ahadi na pia ujue hayo maandiko sio tafsir za app store😅😅😅.Sasa nitakuletea maandiko ya Quran yanayothibitisha kuwa ALLAH ameongopa mara kadhaa; naomba tu isiwe na Jazba.
Uisilamu ndio dini pekee ambayo inasimama na Atheist na kumpiga KO.Ninauhakika kabisa kuwa!
Elimu zetu za Dini, iwapo zingeliruhusu challenges kutoka kila pahala, hata wenye dini zao wakawa wahusika wa mijadara huru, na wakaondoa jaziba zisizosaidia ili kuruhusu ubongo wa kati ushike ukweli wake!
Kuna Dini zingesambaratika, na ambao wangeendelea kubakia huko, Dunia ingeamua washughurikiwe kivyovyote kwa sababu ndio wangeilinda dini hiyo kwa ugaidi wa hali ya juu sana kwa kukosa msingi wa kiutu na kiungu!
Rafiki yangu mm naamini Biblia; niseme ukweli wangu Kuna kaukweli nyinyi watu husema kuhusu wakiristo kuwa Yesu si Mungu. Lakini hamjawahi kujiongezea kuwa wanasema Yesu ni Mungu, huo huwa ni msimamo wao na Wala si Msimamo wa Biblia. ILA Mnapojichanganya tena ni pale mnapo mkana Yesu kuwa si mwana wa Mungu- Biblia na Hata Quran yenu vinaonyesha kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.Nimekuibia kidogo tu thamani ya Biblia.Ukileta na ukathibitisha naacha na uislamu na nakupa million 10 kama unaweza tag Mod la sivyo nipigwe ban ya maisha ...
Mimi muislamu naapa mbele ya Mungu ukileta hilo andiko ,halafu niambie dini yako nikuonyeshe mimi.
Shetani hahitaji staha,lazima apigwe kila konatuheshimu imani za watu wengine. Mijadala ifanyike kwa staha na sio kudhalilishana hakuna aliye bora kuliko mwingine.
Mnataka member UCHI?Mwisho wa siku KWELI itasimama.
Maisha ya kulazimishana kula na kuvaa nini yatapita.
Naunga mkono hojaKhalifa ummar (ra),ambaye aliishi na mtume saw,alipiga marufuku Hadith,wamekuwepo watu wa kupinga Hadith tangu mwanzo,Hadith ni uzushi....lakini Muhammad bin Salman ana matamanio yake pia ya kidunia
Sasa wewe unapoteza mda maana 😅😅 Waislamu hawafuati matamko ya watu kama mnavyofuata matamko ya papa ....Mfano papa kasema ndoa za jinsia moja basi unatafuta chanzo ili usawazishe 😅😅..Rafiki yangu mm naamini Biblia; niseme ukweli wangu Kuna kaukweli nyinyi watu husema kuhusu wakiristo kuwa Yesu si Mungu. Lakini hamjawahi kujiongezea kuwa wanasema Yesu ni Mungu, huo huwa ni msimamo wao na Wala si Msimamo wa Biblia. ILA Mnapojichanganya tena ni pale mnapo mkana Yesu kuwa si mwana wa Mungu- Biblia na Hata Quran yenu vinaonyesha kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.Nimekuibia kidogo tu thamani ya Biblia.
Kufutika uislam labda mwisho wa duniaApige marufuku na uislamu kabisa maana unalea ugaidi
Nani shetani ?Shetani hahitaji staha,lazima apigwe kila kona
Hana jipya alicho ongea Qur'an imeisha sema miaka tusifate hadithi wakati Qur'an ina kila kitu.
Kuna Waislam wanaamini hadithi aliyo ongea yeye tu, si hadithi anakuja mtu anakuwambia Albukhari sijui kasema au flani kasikia the hadith ya Mtume Muhammad can be used as Islamic law.
However, Allah says in the Quran that following any law besides the Quran is forbidden.
أَفَغَيْرَ اللَّهِ أَبْتَغِي حَكَمًا وَهُوَ الَّذِي أَنزَلَ إِلَيْكُمُ الْكِتَابَ مُفَصَّلًا
Then is it other than Allah I should seek as judge while it is He who has revealed to you the Book explained in detail? … (6:114 part)
تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ
These are the verses of Allah which We recite to you in truth. Then in what statement (hadith) after Allah and His verses will they believe? (45:6)
فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ
Then in what statement after it (the Qur’an) will they believe? (77:50)
مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ أَمْ لَكُمْ كِتَابٌ فِيهِ تَدْرُسُونَ إِنَّ لَكُمْ فِيهِ لَمَا تَخَيَّرُونَ
What is [the matter] with you? How do you judge? Or do you have a book / scripture in which you learn that indeed for you in it is whatever you choose? (68:36–38)
Conclusion
These verses make it very clear that the only source by which to judge according to Islam is the Quran and nothing else. God even specifically questions why people would believe in any hadith after the Quran has been revealed.
Mimi ni mmoja wapo sisomi hadithi na nipo sahihi kwa vile hadithi ya kweli haiwezi kupinganq na Qur an.Khalifa ummar (ra),ambaye aliishi na mtume saw,alipiga marufuku Hadith,wamekuwepo watu wa kupinga Hadith tangu mwanzo,Hadith ni uzushi....lakini Muhammad bin Salman ana matamanio yake pia ya kidunia