Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Allah alipanga Issah asidhuriwe na wanaomtafuta na asikamatwe ule ulikuwa ni mpango wake ,ni kama vile panapotokea ajali wengine wamekufa na wengine wamepona yote ni mipango ya Mungu...Ina maana hakuna kinachotokea beyond ya mipango yake.

Soma ile surah vizuri ndio utaelewa alifananisha miongoni mwao mtu huyo ndio wakamkamata ila sio issah.... Mungu akupanga issah akamatwe na issah hajafa 😅😅.

Ndio maana nyie mnakubali kwamba kuteswa kwa Mungu wenu ni ili maandiko yatimie yaliyopangwa.


"Na hakuna mmoja wenu isipokuwa atavuka (Jahannam); itakuwa ni jambo lililoamuliwa na Mola wako kwa nguvu"

Hakuna mtu ambaye anaruka maisha ya baadae baada ya duniani jahannam na pia hakuna mtu ataweza kukimbia kifo.

Sijui kama umeelewa !? Kama hujaelewa niambie nikutafsirie.

Point ipo pale nionyesha wapi Allah ni deceiver ...Na hicho kiarabu unakijulia wapi lama sio tafsiri za mchongo.
 
Waarabu hawakuleta utumwa na huo utamaduni wao mnaoita uislamu.
 
Tafsiri zako ni za kule Quora ..piga picha mas'hafu then nionyesh izo ayah zako kutokea moja kwa moja kweny mas'hafu..Nakusubiri achana na Quora😅😅
 
Jitu limesoma Magharibi utegemee jipya? Sheikh Ilunga angekuwepo angemtukana hatarii

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huyo shehe ilunga wote hamjui uislam wala uarabu.........mwenye dini yake na uarabu wake amekataaa wewe ni nani upinge na umezaliwa kibanda cha mkaa iringa ndani ndani uko.............waache wenye kujua dini yao waongeee wewe mtengeneza kidada kaa kwa kutulia
 
We rangi nyeusi unaandika kirabu koko na kusubiri tende zao.. unajikuta unaujuaa uislamu ulietewa na wao.. unaijua UAE.? kwaio unapingana na mwana mfalme mwenye elimu kuliko wewe choko.
 
NIWAACHIE WARAABU HII LIGI..
ILA HILI LA SAHIH AL BIKHAR 4950
NA HADITH IDADI 16,245 YA MU"WAIYA IBN ABU SUFYAN ....
SIONI AJABU WANAZUONI KUZIKATAA HIZI SIMULIZI ILI KUFICHA UKWELI FLANI WA TAMADUNI ZA KIARABU
Aisee.....
 
Sasa ibada zenu huwa mnazifanya vipi na mnasema Qur'an pekee inatosha ?

Isiwe mnajiona kuwa ni Waislamu kumbe si Waislamu.
 
Vile shetani anawasubiri hapo Kila mwaka wampige Kwa mawe,hivi waislamu wanawaza kuwa shetani ni kiwete flani hivi
Daah nimecheka, kuna uhusiano wa karibu wa Waislam na ujinga fulani, imagine super power 3 wa wakati huo walitoka huko ila tangu Uislam uanze maendeleo yao yakafa
 
Saudia Kwisha habari yake.

Hao wafalme bila Ngubu ya USA hawawezi kukaa Ikulu hata miezi mitatu.

Lazima wawatumikie mwabwana zao.
 
Mdogo mdogo watawakamata tu, wameanza na Hadith, Hijab na Nikab, wanaelekea kwenye Pombe.

Naona na akina Ronaldo na wenzgine wamehamia huko.

Lengo ni Ku introduce western cultures ans norms.
 
Niambie hiyo story ya ati Allah alimpatia Ibrahim mtihani wa kumchinjwa Ismail inapatikana wapi?
 
Mwana wa Mfalme he's smart. Anawajua hawa watu vurugu zao ndyo maana ameanza mdogo mdogo. Anajua fika kuwa kwa jinsi Imani ya kiislam ilivyojengeka, Muislam hawezi endesha ibada yake bila Sunnah (hadithi za Mtume) hizo ibada Tano, hijja, utekelezaji wa Sharia, hizo Hijabu etc vyote vimo kwenye hadithi
Kwa hiyo kimsingi ameanza ku dismental Islam.
 
Sikiliza ndugu hoja hapo kwanini Allah alipoitwa SHETANI HAKUKANUSHA!!??
Bado nipo palepale!
12 elimu unabidi uzisome. Hizi zipo kwenye dini ya Uislam.

Nabii Musa A.S alimuomba Allah awafunge midomo wale wote wana wa israel wanaomzungumzia yeye vibaya. Kwa sababu wana wa israel wenzake walivuka mipaka ya kumuongelea juu yake.

Allah akamwambia; Musa! Unachiniomba mimi mwenyewe sijanusurika nacho! Mimi ndiye Mola wao (Allah)! Nimewaumba viumbe wangu binadamu na nimewapa neema mbalimbali. Lakini binadamu hao hao wananitusi! Kwa sababu unachoniomba siwezi kukupatia kwa sababu mimi mwenyewe Allah sijanusurika nacho!

Na mantiki ya Allah kutonusurika nacho si kwamba kashindwa kuzuia laa hasha! ni kwa maana ya Allah si dikteta hakulazimishi.

Majina matano kati ya majina 99 ya Allah yanaonyesha yeye ndiye yule SHETANI
Mfano Quran 3:54 Allah is the best of deceivers
Quran 25:23 ALLAH causes death; ktk Biblia anayesababisha kifo ni SHETANI. Yohana 8:44 yeye ni muuzaji Tangu zamani
Narudi tena palepale! 12 elimu inakubidi usomeeee!

Mfano Quran 3:54 Allah is the best of deceivers: Wewe hujui kiarabu! Makar/makir ina maana nyingi kwenye lugha ya kiarabu. Maana nyenginge "strategist" yaani bingwa wa mipango.

Na hiyo aya uliyoiweka Quran 3:53 inasema (nakuandikia kwa kiswahili); wamakara wamakarallahu wallahu khayrul maakirin" kwa maana: Wanapanga mipango yao na Allah anapanga mipango yake na Allah ni mbora wa mipango. Kwa kiswahili hapo tafsiri nyengine badala ya mipango wanaweka vitimbwi.

Yaani A Strategist who responds to deceivers..

Na hakuna tafsiri kwenye Qur'an ambayo hilo neno Makir limetafsiriwa ni deceiver, hakuna. Labda ubabaishaji uje kwenye lugha ya kiingereza.

Quran 25:23 ALLAH causes death; ktk Biblia anayesababisha kifo ni SHETANI. Yohana 8:44 yeye ni muuzaji Tangu zamani
Ndugu mtanzania, unajenga hoja ya kwenye uislamu kwa kufuata misingi ya ukristo?

Labda nikusaidie! Kwenye uislamu hata shetani mwenyewe atakufa. Atabaki Allah tu!
Ndugu mtanzania, hiyo aya ya juu inamzungumzia Mtume Muhammad s.a.w...

Hiyo sura na aya nyengine inamzungumzia Nabii Musa. Sasa kigeu geu kinakuja wapi? Nabii Musa A.S na Mtume Muhammad wamekuja kwa nyakati tofauti au hujui hilo? Mbona unachanganya asubuhi na jioni zifanane?
 
Naomba Aya Allah anajitambulisha kuwa ni Mungu Mwenyezi na jina lake ni Allah.

Katikabl Qurani utasikia tu Allah anatajwa na Muhammadi na Majini na Sisimizi.
Allah yupo kimyaaa na hajawahi kujitambulisha kwa jina lake.

Sasa sisi tusio mjua Allah tutajuaje Kama ni Kweli huyo Mungu wenu ameridhia kuhusu kuitwa Allah?

Swali dogo tu.

Waislamu aliyewaambia kuwa Mungu wenu anaitwa Allah ni Nani?

Nasubiri jibu
 
Hapo Juu kuhusu Kaafir japo unataka kulitetea ila arabuni ni jina la kuudhi kwani Kaffir au Kufar kwa wewe ulivyolitafsiri hauna mashiko kwa utetezi wako kwani Kuficha Haki ya Mungu nani alifichwa enzi za Mudy?
Ni Maquraish kama Abu Jahl na wenzake.
maana kama Allah alikataliwa na wayahudi live Mudy alienda Jerusalem akahubiri even Kibra ya Kwanza ilikuwa Jerusalem ilipo sasa Mecca ni uongo pale Mecca ni kituo cha upagani haswa jiwe jeusi.
Kwani Allah kakataliwa na wayahudi kipindi cha Muhammad tu?

Kakataliwa na wayahudi kipindi ambacho Allah alimtuma Nabii Musa A.S

Kakataliwa na Wayahudi kipindi ambacho Allah kamtuma Nabii Yahya A.S kwa Wayahudi

Kakataliwa kipindi ambacho alimtuma Nabii Zakariyya A.S kwa wayahudi.

Alikataliwa kipindi ambacho alimtuma Nabii Ilyas (iliyas) A.S kwa wayahudi na orodha inaendelea.

Kingine Mtume Muhammad hakuwahi kwenda Jerusalem kuhubiri, mbona unachanganya taarifa? Sasa kama kuna kibla ya kwanza kama ulivyosema maana yake kuna kibla ya pili ndiyo Makka. Tatizo liko wapi?

Wewe unasema waislamu wanaabudu jiwe mwenzako anasema wanaabudu satan! Sasa kati yenu yupi msema kweli ili tuendelee na hoja? Leta ushahidi kiongozi kisha ndiyo tujadili. Maneno matupu kila mtu anao uwezo tosha wa kuyaandika.
Issue yako ya kutetea Kodi haina mantiki kwani Mtume wenu alisema Convert or pay jizya or Die period.
Leta na hapa usahidi Mzee kisha tuendelee kujadili. Maneno matupu kila mtu anao uwezo wa kuyaandika.
Allah anapandikiza non Muslim unauliza apate faida gani? kwani Mchawi akija kukuchezea anapata faida gani? Allah ni Shetani so same work ana enjoy zake tu akiona watu wanavurugikiwa.
Na hapa lete tena ushahidi pia. Sawa ndugu mtanzania? Sasa unaushangaa uislam? Hata wayahudi wanasema בעזרת השם (maana yake kwa msaada wa Mungu).

Tafakari hilo kisha uliza swali kama hujui katika hilo!
 
(20:13) I Myself have chosen you; therefore, give ear to what is revealed. (20:14) Verily I am Allah. There is no god beside Me. So serve Me and establish Prayers to remember Me.

Ukitaka nyengine hii:

إِنَّنِي أَنَا اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدْنِي وَأَقِمِ الصَّلَاةَ لِذِكْرِي﴾
[ طه: 14]


Indeed, I am Allah. There is no deity except Me, so worship Me and establish prayer for My remembrance.
Surah Ta-Ha

Ya juu surat Twaha kuanzia aya ya 13-14. Ya pili Surat Twaha kuanzia aya ya 14.

Hapo alimwambia Nabii Musa A.S

Ukitaka nyengine ni hii nayo pia: 6:102. That is Allah—your Lord! There is no god ˹worthy of worship˺ except Him. ˹He is˺ the Creator of all things, so worship Him ˹alone˺.
 
Ukweli ni kwamba Qur'an si kitabu cha Mungu na huyu mtoto wa mfalme anafahamu hivyo hata na masheikh wengi wanalijuwa hili ila kwa kuwa waliaminishwa huu upuuzi toka utotoni wanashindwa kujitoa muhanga na kuwaambia waumini wao ukweli. Mohammed alipewa Qur'an na shetani na kuchanganikiwa pale pale, ilimchukua miaka kadhaa kupona ukichaa na akaja na uwongo kusema kuwa alishushiwa Qur;an na Mungu kumbe si kweli.
 
Niambie hiyo story ya ati Allah alimpatia Ibrahim mtihani wa kumchinjwa Ismail inapatikana wapi?
Mimi kazi yangu ni kujibu tu! Wewe leta mambo mimi nitayaweka sawa ili usiendelee kuwaongopea watu.
 
Bahati mbaya uislamu haufuati idols bali maandiko ,Hijjah ya mwaka huu tu Viongozi wa juu wa makanisa wamepokelewa baada ya kuslim 😅😅.


Leta hoja sio picha za watu na sio mvaa kilemba ni muislamu au ana elimu sana ,huyo Dr zakir ni nadra kumkuta kavaa kilemba ...


Leta ushahidi maana hata video mtakuleta zipo nyingi ila nataka kuona uwezo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…