Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Allah alipanga Issah asidhuriwe na wanaomtafuta na asikamatwe ule ulikuwa ni mpango wake ,ni kama vile panapotokea ajali wengine wamekufa na wengine wamepona yote ni mipango ya Mungu...Ina maana hakuna kinachotokea beyond ya mipango yake.I thought unajua kiarabu kumbe umeng'ang'ania Tafsiri za Kina Sheikh ubwabwa Barwani, Abdullah na Nassir Koran App.
Sasa kama Imeandikwa wazi kuwa Allah ni Mdanganyifu unakubali au unakataa? au una pray Game but haya maandishi yangu yatawasaidia wengi watakao soma werevu not foolish one.
Me naamini am freewill ila Muislam haamini ndio maana amewaambia lazima muende kwenye Hellfire.
Koran 19:71 وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًۭا مَّقْضِيًّۭا ٧١
There is none of you who will not pass over it.1 ˹This is˺ a decree your Lord must fulfil.
Soma ile surah vizuri ndio utaelewa alifananisha miongoni mwao mtu huyo ndio wakamkamata ila sio issah.... Mungu akupanga issah akamatwe na issah hajafa 😅😅.
Ndio maana nyie mnakubali kwamba kuteswa kwa Mungu wenu ni ili maandiko yatimie yaliyopangwa.
"Na hakuna mmoja wenu isipokuwa atavuka (Jahannam); itakuwa ni jambo lililoamuliwa na Mola wako kwa nguvu"
Hakuna mtu ambaye anaruka maisha ya baadae baada ya duniani jahannam na pia hakuna mtu ataweza kukimbia kifo.
Sijui kama umeelewa !? Kama hujaelewa niambie nikutafsirie.
Point ipo pale nionyesha wapi Allah ni deceiver ...Na hicho kiarabu unakijulia wapi lama sio tafsiri za mchongo.