Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Kiukweli usilam usipodhibitiwa utahatarisha maisha ya waislamu wenyewe mana dunia itwachoka na ikiwachoka unadhani nini kitafuata,haya makundi ya kigaidi ya kislam yanauchafua sana uislamu,kunahaja ya kutazama upya mafudisho ya imani hii.
Angalia mzungu anavyotamani mfumo wa maisha ya waislamu hawa
 

Attachments

  • Screenshot_20231030-001828_Instagram.jpg
    80.5 KB · Views: 3
Uislamu unazidi kukubalika duniani kote hadi huko nchi za makfir na hata hao makafir wanaona ndio msingi bora wa maisha na wengi wanajiunga sasa na uislamu,

Sio mbaya kujifariji,uislam ni dini inferior ndio mana iko desperate na convetors.

The only ways zilizobaki kuueneza uislam ni kununua watu maarufu,kuzaana na ugaidi.
 
Sio mbaya kujifariji,uislam ni dini inferior ndio mana iko desperate na convetors.

The only ways zilizobaki kuueneza uislam ni kununua watu maarufu,kuzaana na ugaidi.
Superiority yetu inaonekana hata kwenye maisha yetu ya kila siku angalia kwaresma na ramadhani duniani utapata majibu,
 
Sasa nimeelewa kwa nini kobazi wanasema jini nae ana swala tano za kuswali.
 
Hivi we unafahamu nacho ongea au unataka kujifurahisha tu, Qur'an haijakataza anacho kisema Mtume Muhammad inacho kataza kinacho semwa na wengine? Kwani Qur'an ilishushwa kwanani? Kwa Yesu 😄

We akili zako zimepinda hufahamu chochote Qur'an inatuelezea kila kitu wazi kwa kusema Mkihitilifiana kwa kitu rudini kwa Allah na Mtume wake.

Anacho ongea Mtume iwe hadithi basi ni kweli, sio hadith ambazo hazikuthabitiwa, ndio utakuta wengine wanajidai hii ni hadithi sahihi wakati haikuthebitiwa ma Al ulama dini, na hi ndio Qur'an imekataza, Qur'an haikukataza alicho ongea Mtume, laxima iwepo dalili kweli kakiongea.

Allah alifahamu wazi wako watakuja na hadith fake na kasema Mtume Muhammad kasema wakati hajakisema, mfano hio mnatuletea sijui ya bikira 72 mmeitoa wapi, au sijui Mtume kamnyonya ulimi mjukuu wake, sijui kaowa bint mdogo anaumri wa miaka 9 hizo zote ni fake hadithi anaye fahamu ukweli pale ni Mungu, Mtume Muhammad, watu walio karibu naye sio wewe dagaa kichwa kimejaa mchanga hufahamu lolote.

Ungekuwa unafahamu ungeifahamu bibilia yako kwanza inasema hakuna mtu kafanana na Mungu au kamuona Mungu akaishi na wewe unatuletea story Yesu kaishi na watu na kasomesha wanafunzi na wengine wamemuota 😄
 
Achana na porojo za mbagala mtu yoyote aliyesoma na kufanya research zake vizuri kuhusu ukristo na uislamu lazima atasilimu tu atake asitake, maana ukweli upo wazi angalia huyu ni catholic priest sio mwamposa au gwajima kauona ukweli
 

Attachments

  • Screenshot_20231118-092016_Chrome.jpg
    136.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231118-092453_Chrome.jpg
    128 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231118-092622_Chrome.jpg
    74 KB · Views: 3
Hahaha kama mnaju kua ni lugha tu kwann kile kitabu chenu hamukiandiki kwa kiingereza au kiswahili kule unakuta mafinyo finyo tu alafu ndio lugha ya mungu wenu mpigani
 
Hammaz hauelewi somo nini??!! Utasemaje SHETANI atakufa na Atabaki ALLAH, TU WAKATI HIYO QURAN INAKWAMBIA SHETANI=ALLAH? hapo habaki mtu kwenye Quran; tana wote hao watauawa na Yesu.
Msikilize kidogo huyu muarabu mwenzenu
Your browser is not able to display this video.
 
Wanazuoni wa kiislam wanatafsiri kimakosa siyo!?..wanazuoni wa kikafiri ndiyo wanatfsir ipasavyo!?..punguani, mboyoyo nyingi...kadir waahid
Tafsiri lazima iendane na jambo husika lililotamkwa au kuandikwa na sio kulieezea kwa marefu hadi unaondosha neno husika ndio tafsiri za Masheikh ubwawa wenu wakiona jambo la aibu linabadilishwa lote kwenye tafsiri na miislam mingi duniani almost 90% hayajui arabic language. mazuzu kama Koran imeandika kuwa Koran imeshushwa kwa waarabu na kwa kiarabu ili ieleweke why Tafsiri zipo nyingi mno it means Allah hajui waarabu kuwa hawana akili vizuri na Allah kwahiyo sio muweza..
Sura Yusuf 12 : 2 inasema. Mmetelemshiwa Qoran kwa lugha ya Kiarabu ili muielewe..
Indeed, we have sent it down as an Arabic Quran so that you may understand.
إِنَّآ أَنزَلْنَـٰهُ قُرْءَٰنًا عَرَبِيًّۭا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ ٢
Kwenye hiyo Aya Masheikh wenu wanazuoni na wao ni maunguani na mamboyoyo kadir wahid maana nao sio Waarabu!! kama aya ilivyo andikwa na Allah la sivyo Allah nae Mboyoyo why aandike hivyo Qoran for arabs na kwa kiarabu.. Tafsiri haikwepeki kwenu mamboyoyo watumwa wa Allah na Mohamed kiongozi wenu aliitwa Bilal.

Mamboyo wakiislam tizam Tafsiri zao:-
Koran 3:54 Kiarabu ni Maneno hayo tu na tizama Tafsiri ya Kiswahili from Abdullah
يَُّ خَٱللۖ وََُّ ٱللرََكَم وُْوارََكَموَ ٥٤ِينٰ ِكرَمۡٱ

. Wale waliomkanusha ‛Ĩsã, miongoni mwa Wana wa Isrãîl, walifanya vitimbi kwa kumpangia wenye kumuua. Allah Mtukufu akamtoa anayefanana na ‛Ĩsã kwa mtu ambaye aliwaashiria wauaji kwake, wakamshika wakamuua na wakamsulubu wakidhani kuwa ni ‛Ĩsã, amani imshukie. Na Allah Mtukufu ni bora wa wenye kufanya vitimbi. Katika haya pana kuthibitisha sifa ya makr (vitimbi) kwa Allah

Tizama Dr. Abdullah na Nassir wanasema Allah ana Vitimbi hahahaha wame tafsiri neno Makr kuwa ni Vitimbi..

Muslim anaye penda ku play Game atabakia na ujinga wake kua wengine tupo kuwasaidia sababu tumesikia masheikh ubwabwa uongo wao.. ukitaka sawa usipotaka sawa ukweli utabakia ulivyo na ukweli utakuweka huru muslim ni dini ya uongo..

Almost Koran ni uongo uliotungwa na Mudy na regime yake even Ummar alikuwa akitunga Aya na Allah anazichukua kama zilivyo so Koran imetungwa na Binadamu kwa kuokoteza from other source
 
Hahaha kama mnaju kua ni lugha tu kwann kile kitabu chenu hamukiandiki kwa kiingereza au kiswahili kule unakuta mafinyo finyo tu alafu ndio lugha ya mungu wenu mpigani
dogo kwani Qur'an hakuna ziliokuwa hakuna zimefanyiwa translated za uhakika, mbona zipo nyingi sana.

Neno; Makr maana yake ni kupanga kheri au shari.

Mimi nakuliza wewe hivi unadhani Mungu akitaka wewe uwe kilema hawezi kukufanya uwe kilema?

Mungu akitaka wewe uwe Tajiri hawezi kukufanya wewe uwe tajiri?

Nikikuambia wewe dagaa unabisha
 
Achana na porojo za mbagala mtu yoyote aliyesoma na kufanya research zake vizuri kuhusu ukristo na uislamu lazima atasilimu tu atake asitake, maana ukweli upo wazi angalia huyu ni catholic priest sio mwamposa au gwajima kauona ukweli
Sawa waache wachukue shahada; andiko la 2Thesdalonians 2:11-12 linawahusu. Mungu anawaacha kutokana na upumbavu wao wapotoshwe. Ila walikuwa kuwa Allah ni SHETANI (sahih Al-Bukhari 4950) wataondoka haraka sana
Your browser is not able to display this video.

 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ujinga anaoufanya MBS, siku zote ukiona watu wanaanza kutoka kwenye utaratibu jua janga litafuata, wait and see.
MBS ukimkosoa anakuweka ndani. Kuna viongozi wa dini walimkosoa na wanamkosoa wanawekwa ndani. Kuna mmoja anaitwa Sheikh Nayef huwa yupo pamoja na Sheikh Mansour Assalmi aliwekwa ndani. Sijui kama mpaka sasa ameshatoka au laa!
 
Endelea kupitapita Quora kutafuta huo upuuzi wako
 
nimeisha kujibu Al Makri ama iwe shari/kheri nani anaye weza kukuletea magonjwa kama si Mungu na nani anaye weza kukufanya usipate maradhi kama si Mungu, sa ubishi wako ni nini?

Yani Mungu hawezi kukuletea shari? Au kukuondolea shari? Kama anataka.

Hebu tujibu basi, nikikuambia we dagaa unabisha
 
Wewe umekaririshwa mburahati na hawa wamefanya research ila mwanzo walikuwa kama wewe, ukisoma na kufanya research kuhusu dini lazima utaangukia kwenye uislamu tu hakuna namna, wewe endelea kwenda kuimba kanisani jumapili acha wenye akili wamfuate mungu
 
Na hilo ndio tatizo la hiyo dini yenu. Haijawahi kisimamia yenuewe bila kuingiza na kulaumu dini nyingine. Hapa mnautupia uyahudi mzigo usio wahusu. Kama uyahudi ndio uliingiza hizo Hadith kama reference rasmi za dini ya Uislam. Kwanini mlizikubali na mkazitumia kwa miaka yote hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…