Najua kazi kubwa inatakiwa tuifanye ili kuondoa huo ujinga ambao mlipandikiziwa tokea mkiwa wadogo, wakati mnasoma madrasa. Ila wale wanaomtafuta Mungu wa kweli watampata tu.
MAJIBU KWAKO ADIOSAMIGO
Tofauti ya NENO deceived kati ya lilivyotumika kwenye Quran na Biblia ni kuwa kwenye Quran ni yeye Allah anajisemea mwenyewe. Mfano Moja ya Majina yake aliyowafunulia wafuasi wake ni : Al- Makir (the deceiver) na kwa hiyo ndiyo sifa yangu, anawaambia watu. Pia kwenye Quran 3:54 (Allah is the Best of Deceivers) ni maneno yake mwenyewe Allah akijisifu.
Kwenye Jeremiah 4:10
Hayo ni maoni ya Jeremiah baada ya kuona mambo yametukia tofauti na alivyokuwa alifikiri yeye. Kwa Wakiristo waliomo humu JF, mtakumbuka Yona ambaye alitumwa na Yahweh kwenda kutangaza ujumbe wa HUKUMU kule Ninawi. Na kweli alitangaza hiyo HUKUMU kwa bidii. Kichwani mwake akajua Lazima MUNGU atatekeleza hiyo HUKUMU, lakini kumbe alisahau kuwa MUNGU ni mwenye REHEMA, ukiomba msamaha yeye hubatilisha hiyo HUKUMU. Sasa kwa kuwa hakujua hiyo sifa ya Mungu na hakujua kuwa Waninawi, walikuja kuomba msamaha yeye alikasirishwa sana alipoona Mungu hakutekeleza HUKUMU aliyokuwa ameahidi kwa Waninawi.
Maoni kama hayo ndiyo yalimfanya Jeremiah aseme Mungu has deceived His people. Soma hapo ktk Jeremiah 4:9 utaona panasema prophets will be amazed. (Mojawapo ya manabii hao ni Hananiah and Shemaiah Jeremiah 28:1-4, 11; 29:30-32) Hawa ndyo walikuwa wakitabiri Uongo tofauti na Yahweh alivyokuwa ametabiri. Yahweh aliona watu wake ni wenye kiburi hivyo akatabiri kupatwa kwao na msiba (kutekwa utumwani) lakini baada ya hapo watatubu na ndipo Amani itakuwepo.
Hapo ktk 2Thessalonians 2:11-12 Yahweh ameruhusu/ameacha hao watu wapotoshwe...(That is why God lets a deceptive influence mislead them so that they may come to believe the lie, 12 in order that they all may be judged because they did not believe the truth but took pleasure in unrighteousness. ) Hiyo ni tofauti na Quran 3:54 ambayo inasema Moja kwa Moja Allah the Best of Deceivers.
Mm ninachoshangaa kwenu nyinyi Waislam ambao Kiarabu siyo lugha yenu. Hapa tumewawekea huyu Msaudi Arabia, na tunawaambia kuwa alikuwa Siasa kali kupita nyinyi, lakini alipoangaziwa na Nuru ya Yesu Christo alibadilika na kufuatia kweli ya Biblia BADO HAMTAKI HATA KUANGALIA HIYO VIDEO 😧😧😧 Kwenu nyinyi hilo ANDIKO la 2Thessalonians 2:11-12 Litatimia. Mungu wa kweli atawaacha muendelee kupotoshwa na hao masheikh uchwala.
View attachment 2817372