Na ukitaka kujua kuwa kazi yake inatimiza unabii wa Biblia, basi hata mumuchukie vipi, hamtamtoa hapo madarakani. Na hapo Bado hajawa Mfalme kamili, na kwamba nyinyi Answer Sunni mtapigwa marufuku SaudiaMBS ukimkosoa anakuweka ndani. Kuna viongozi wa dini walimkosoa na wanamkosoa wanawekwa ndani. Kuna mmoja anaitwa Sheikh Nayef huwa yupo pamoja na Sheikh Mansour Assalmi aliwekwa ndani. Sijui kama mpaka sasa ameshatoka au laa!
Superiority yetu inaonekana hata kwenye maisha yetu ya kila siku angalia kwaresma na ramadhani duniani utapata majibu,
Kwa hio unakubali kabisa huyu ni dictator sababu hakubali kitu kinacho dhuru maslaha yake sio.MBS ukimkosoa anakuweka ndani. Kuna viongozi wa dini walimkosoa na wanamkosoa wanawekwa ndani. Kuna mmoja anaitwa Sheikh Nayef huwa yupo pamoja na Sheikh Mansour Assalmi aliwekwa ndani. Sijui kama mpaka sasa ameshatoka au laa!
Tamka Shahada ndio utajua kuwa nani anasema hakuna Mungu.Katika Qur'an Kuna Aya Inasema Wasiomuamini MUNGU Na UISLAM Kuwa Ni Vipofu Na Viziwi Bubu Hawaoni Wala Kusikia Ukweli/Haki
Nimeona Mtoa Mada Na Baadhi Ya Wachangiaji Mna Hamasa Kubwa Ya Sapoti Kwa Mtu Ambae Ana Dalili Ya Kuhamasisha Maovu Na Anasa Ambazo Hakuna Dini Inaunga Mkono
Lakini Wakati Huo Huo Mnajinasibisha Na Mafundisho Ya Dini Yenu Huku Mkijiona Kuwa Nyinyi Ndio Mpo Sehemu Sahihi.
Kwamba Mnamaanisha Mungu Wenu Anaunga Mkono Anasa Zinazopelekea Maovu Kutendeka Kama Miziki Nk..?
Kama Sio Hivyo Kwanini Mnamshabikia Mtu Wa Hivyo..? Mnatumia Akili Zenu Kweli Au Ndio Ushabiki Usio Na Macho..?
UISLAM Unakataza Mambo Yote Ya Anasa Kwasababu Ni Moja Ya Nguvu Ya Shetani Katika Kushawishi Maovu Kutendeka Kama Kuna Mtu Anaona Hayo Makatazo Ni Machukizo Basi Ni Dalili Tosha Tayari Shetani Amemteka Mtu Huyo.
Katika Qur'an Kuna Aya Nyingi Sana Zinazowakataza Waislam Kuhusu Shetani Na Wafuasi Wake Zitafuteni Mjifunze Muache Propaganda Za Kwenye Google
Next Nitafurahi Kama Mtoa Mada Utatoa Uzi Mwingine Wa Kufurahia Waraka Na Msimamo Wa Papa Kuhusu Ushoga Na Wasagaji.
Huyu alishajibiwa ni basi tu ana malengo yake humu.nimeisha kujibu Al Makri ama iwe shari/kheri nani anaye weza kukuletea marathon kama si Mungu na nani anaye weza kukufanya usipate marathon kama si Mungu sa ubishi wako ni nini?
Yani Mungu hawezi kukuletea shari? Au kukuondolea shari? Kama anataka hebu tujibu basi nikikuambia we dagaa unabisha
Achana na porojo za mbagala mtu yoyote aliyesoma na kufanya research zake vizuri kuhusu ukristo na uislamu lazima atasilimu tu atake asitake, maana ukweli upo wazi angalia huyu ni catholic priest sio mwamposa au gwajima kauona ukweli
Wapi Qur'an inasema Allah ndio ShetaniHammaz hauelewi somo nini??!! Utasemaje SHETANI atakufa na Atabaki ALLAH, TU WAKATI HIYO QURAN INAKWAMBIA SHETANI=ALLAH? hapo habaki mtu kwenye Quran; tana wote hao watauawa na Yesu.
Msikilize kidogo huyu muarabu mwenzenu
View attachment 2817406
Hahaha!Kwa hio unakubali kabisa huyu ni dictator sababu hakubali kitu kinacho dhuru maslaha yake sio.
Kwa hio hafati dini inavyotaka anafata anavyo taka yeye kwa faida zake yeye.
Qur'an inakataza pombe yeye karuhusu afu anakuambia anafara sheria kama inavyo taka Qur'an haha kwa sheria, vipi hapo
christmas ni sikukuu ya wapagani kama ulikuwa hujui, ramadhani achana na wewe wa buza hadi maraisi wa dunia wanaipa heshima yake,hata ligi za duniani huko ikiwemo epl huwa zinipa heshima yake, ila sijawahi kuona kwaresma ikipewa heshima hata hapa tanzania na nyie mbuzi wa mwamposa imekuwa kama miezi mingine tu ya kawaida hapo ndio nguvu ya dini inapoonekanaMkuu unaijua xmass kweli[emoji28][emoji28],hiyo ramadhani nimeijua nilipoishi pwani.
christmas ni sikukuu ya wapagani kama ulikuwa hujui, ramadhani achana na wewe wa buza hadi maraisi wa dunia wanaipa heshima yake,hata ligi za duniani huko ikiwemo epl huwa zinipa heshima yake, ila sijawahi kuona kwaresma ikipewa heshima hata hapa tanzania na nyie mbuzi wa mwamposa imekuwa kama miezi mingine tu ya kawaida hapo ndio nguvu ya dini inapoonekana
Waislam ndio wanakubalika kuishi popote na sio uislam wao kwani ukileta ufanatic wako au u muhamidiya wako unapigwa chii hapo hapo. Uislam sio dini ya haki according to Koran and Hadith, Jesus alifundisha kuwa tuwapende majirani na maadui zetu. Nyie mdadai Yesu mnamkubali ila weupeUislamu unazidi kukubalika duniani kote hadi huko nchi za makfir na hata hao makafir wanaona ndio msingi bora wa maisha na wengi wanajiunga sasa na uislamu,
USichokijua ni kwamba waislamu muongozo wetu ni quran hatujawahi kufuatisha mtu kama nyiè papa leo kaamua mashoga wataruhusiwa kuoana na kubarikiwa kanisani , sisi muongozo wetu ni quran na haijawahi kubadilishwa na haitobadilika hata nukta mojaBila kusahau mamilion ya waislamu wanao batizwa,kimsingi ukristo ni tishio kwa uislam ndio mana kila siku uislam hupambana kuzuia ukristo katika maeneo yenye waislamu wengi.
Uzuri ni kwamba nchi za kiislam zinakuwa westernized kwa kasi ya ajabu,soon utaona miji kama
Las Vegas(sincity) hapo middle east na hakuna kitu wewe mmatumbi utafanya.
Kaka sisi haturuhusiwi hata kula wakati jirani yako ana njaa, ndio maana unaona misikitini ombaomba wanajaa ijumaa lakini hukuti ombaomba wakijaa kanisani, tumeamrishwa kutoa na kukirimu masikini na binaadamu wengine,Waislam ndio wanakubalika kuishi popote na sio uislam wao kwani ukileta ufanatic wako au u muhamidiya wako unapigwa chii hapo hapo. Uislam sio dini ya haki according to Koran and Hadith, Jesus alifundisha kuwa tuwapende majirani na maadui zetu. Nyie mdadai Yesu mnamkubali ila weupe
Be carefully, hadithi sahihi za Mtume s.a.w zimo vifuani mwa wanachuoni mbali mbali duniani, Saudia Arabia sio nchi ambayo katika sheria ya Kiislam ina uwezo kusema hadithi hii inafaa na hii haifai.Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477
Wewe za kwako unapata kwa Sheikh Mjinga Mazinge? tena watu wa Dawa almost wote ni wapumbavuEndelea kupitapita Quora kutafuta huo upuuzi wako
Kwanini Kiongozi wa dini ya kweli amtukane mtu? Hapo ndio tunapata mashaka.Jitu limesoma Magharibi utegemee jipya? Sheikh Ilunga angekuwepo angemtukana hatarii
Sent using Jamii Forums mobile app
π Uislam mbona upo wazi kabisa nyie mnadanganywa tu Uislam ni democracy kabisa sio democracy zenu za kurushia watoto, wanawake, vizee na na kubomoa ma hospital, kuwakatia maji, umeme na chakula yani mpaa oxygen za watoto wachanga mnawakatia afu mnasema nyie dini yenu ya amani π Danganyeni wajinga kama mlivyo wadanganya kwenye bibilia zenu.Bila kusahau mamilion ya waislamu wanao batizwa,kimsingi ukristo ni tishio kwa uislam ndio mana kila siku uislam hupambana kuzuia ukristo katika maeneo yenye waislamu wengi.
Uzuri ni kwamba nchi za kiislam zinakuwa westernized kwa kasi ya ajabu,soon utaona miji kama
Las Vegas(sincity) hapo middle east na hakuna kitu wewe mmatumbi utafanya.
Duuu π€£ vitisho Biblia iliishasema vinatoka wapi Yohana 8:44.Be carefully, hadithi sahihi za Mtume s.a.w zimo vifuani mwa wanachuoni mbali mbali duniani, Saudia Arabia sio nchi ambayo katika sheria ya Kiislam ina uwezo kusema hadithi hii inafaa na hii haifai.
Dini ya kiislamu haitolewi maamuzi katika nchi fulani au mwana wa mfalme fulani au mfalme fulani, Quran na hadithi imo vifuani mwa wanachuoni na tayari hadhithi sahihi zote zipo complied katika vifua ama vitabu sahihi vilivyosambaa ulimwenguni kwa hapa tulipofika hakuna tena mtu anaeweza kutia mkono, Dini ya kiislamu sio Ukiristo kwamba watapangiwa sheria kutoka Roma Italy au US ama Uingereza.
Saudia Arabia itabakiwa kuwa Nchi takatifu kwa sababu ndio ardhi aliyotokea Rasulu S.A.W na kuna nyumba tukufu Alkaaba waislamu wanaenda hijja lakini haimaanishi kwamba waislamu duniani hupangiwa dini yao na sheria kutoka kwa mfalme wa Saudia Arabia ni vitu viwili mbingu na ardhi. Waislamu wote ulimwenguni wanamjua fika Mfalme wa Saudia Arabia Suleiman ni nani hata hao wasaudia wenyewe.
Acha kuleta propaganda potofu hapa kuhusu Imani ya dini ya kiislamu, Uislamu ndio dini pekee ambayo ni sahihi na Mungu aliahidi katika Quran tukufu kwamba atailinda otherwise hao wanaagalia maslahi yao ya kisiasa hakuna muislamu Ulimwenguni atayumbishwa nao.
Wewe ADIOSAMIGOWapi Qur'an inasema Allah ndio Shetani
Unasali sala tano ?Hadithi zinasema mzinzi mwanandoa auawe kwa mawe, Qur'an haikusema hivyo,hadithi zinasema unaweza shika udhu adhuhuri almuradi hukujamba basi waweza utumia kwa swala zote, Qur'an inasema kila swala mchukue udhu,bado unataka niamini hadithi,amini wewe, QUR'AN inasema mtoe zaka kila mpatapo faida,hadithi mpaka mtaji uvuke mwaka bila kupata hasara....hadithi zinakutoa kwenye Qur'an,amka,ni baada ya kushindwa kutia mikono Qur'an wakaamua kukuundieni vitu vitavyowatoa kwenye Qur'an