Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477