Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

MBS ukimkosoa anakuweka ndani. Kuna viongozi wa dini walimkosoa na wanamkosoa wanawekwa ndani. Kuna mmoja anaitwa Sheikh Nayef huwa yupo pamoja na Sheikh Mansour Assalmi aliwekwa ndani. Sijui kama mpaka sasa ameshatoka au laa!
Na ukitaka kujua kuwa kazi yake inatimiza unabii wa Biblia, basi hata mumuchukie vipi, hamtamtoa hapo madarakani. Na hapo Bado hajawa Mfalme kamili, na kwamba nyinyi Answer Sunni mtapigwa marufuku Saudia
 
Superiority yetu inaonekana hata kwenye maisha yetu ya kila siku angalia kwaresma na ramadhani duniani utapata majibu,

Mkuu unaijua xmass kweli[emoji28][emoji28],hiyo ramadhani nimeijua nilipoishi pwani.
 
MBS ukimkosoa anakuweka ndani. Kuna viongozi wa dini walimkosoa na wanamkosoa wanawekwa ndani. Kuna mmoja anaitwa Sheikh Nayef huwa yupo pamoja na Sheikh Mansour Assalmi aliwekwa ndani. Sijui kama mpaka sasa ameshatoka au laa!
Kwa hio unakubali kabisa huyu ni dictator sababu hakubali kitu kinacho dhuru maslaha yake sio.

Kwa hio hafati dini inavyotaka anafata anavyo taka yeye kwa faida zake yeye.

Qur'an inakataza pombe yeye karuhusu afu anakuambia anafata sheria kama inavyo taka Qur'an haha kwa sheria, vipi hapo
 
Katika Qur'an Kuna Aya Inasema Wasiomuamini MUNGU Na UISLAM Kuwa Ni Vipofu Na Viziwi Bubu Hawaoni Wala Kusikia Ukweli/Haki

Nimeona Mtoa Mada Na Baadhi Ya Wachangiaji Mna Hamasa Kubwa Ya Sapoti Kwa Mtu Ambae Ana Dalili Ya Kuhamasisha Maovu Na Anasa Ambazo Hakuna Dini Inaunga Mkono

Lakini Wakati Huo Huo Mnajinasibisha Na Mafundisho Ya Dini Yenu Huku Mkijiona Kuwa Nyinyi Ndio Mpo Sehemu Sahihi.

Kwamba Mnamaanisha Mungu Wenu Anaunga Mkono Anasa Zinazopelekea Maovu Kutendeka Kama Miziki Nk..?

Kama Sio Hivyo Kwanini Mnamshabikia Mtu Wa Hivyo..? Mnatumia Akili Zenu Kweli Au Ndio Ushabiki Usio Na Macho..?

UISLAM Unakataza Mambo Yote Ya Anasa Kwasababu Ni Moja Ya Nguvu Ya Shetani Katika Kushawishi Maovu Kutendeka Kama Kuna Mtu Anaona Hayo Makatazo Ni Machukizo Basi Ni Dalili Tosha Tayari Shetani Amemteka Mtu Huyo.

Katika Qur'an Kuna Aya Nyingi Sana Zinazowakataza Waislam Kuhusu Shetani Na Wafuasi Wake Zitafuteni Mjifunze Muache Propaganda Za Kwenye Google

Next Nitafurahi Kama Mtoa Mada Utatoa Uzi Mwingine Wa Kufurahia Waraka Na Msimamo Wa Papa Kuhusu Ushoga Na Wasagaji.
Tamka Shahada ndio utajua kuwa nani anasema hakuna Mungu.
Koran inakataza waislam kuhusu shetani wakati Mudy aliingiwa na Iblisi akaandika aya za Koran na zipo hadi leo mnazisoma na Allah aliahidi kuziondosha na hajawahi ziondosha inawezekana aya zote ni za shetani huwezi kumstrust mtu mwenye mashetani kuandika kitabu cha Mungu..
Al-Haji 53 - 52. Na hatukumtuma kabla yako Mtume wala Nabii ila anapo soma, Shet'ani hutumbukiza katika masomo yake. Lakini Mwenyezi Mungu huyaondoa anayo yatia Shet'ani; kisha Mwenyezi Mungu huzithibitisha Aya zake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima.

hiyo Aya inathibitisha Koran ina ushatani hakika na hakuna aya inayosema kuwa Aya za Shetani zimeondoshwa kwenye Koran.

Koran Inaruhusu Pombe kuwa ni riziki nzuri alafu aya zingine inasema ulevi ni mambo ya Shetani it mean s Allah ndie Shetani.

16:67. Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.
 
nimeisha kujibu Al Makri ama iwe shari/kheri nani anaye weza kukuletea marathon kama si Mungu na nani anaye weza kukufanya usipate marathon kama si Mungu sa ubishi wako ni nini?

Yani Mungu hawezi kukuletea shari? Au kukuondolea shari? Kama anataka hebu tujibu basi nikikuambia we dagaa unabisha
Huyu alishajibiwa ni basi tu ana malengo yake humu.

Aya aliyoiweka ni ile inayosema wamakaruu wamakarallah wallahu khayrul maakiriin.

Tafsiri ya kizungu inasema ni deceiver ila tafsiri halali kwenye Qur'an haisemi hivyo!

Kwamba wanapanga vitimbwi/mipango na Allah naye anapanga na Allah ni mbora wa vitimbwi/mipango.

Kwenye hiyo sentensi mwenye akili ameshajua kuwa Allah kwake ukileta ujanja ujanja yeye ni mjanja zaidi yako. Hekima yake Allah huwezi kumzunguka. Yeye ni muweza juu ya kila kitu.

Na ndiyo maana hata kwenye arkanul iiman mojawapo inasema; Kheri na shari zote zinatoka kwake. Hekima yake itachagua zitakuja kwa namna gani!
 
Achana na porojo za mbagala mtu yoyote aliyesoma na kufanya research zake vizuri kuhusu ukristo na uislamu lazima atasilimu tu atake asitake, maana ukweli upo wazi angalia huyu ni catholic priest sio mwamposa au gwajima kauona ukweli

Bila kusahau mamilion ya waislamu wanao batizwa,kimsingi ukristo ni tishio kwa uislam ndio mana kila siku uislam hupambana kuzuia ukristo katika maeneo yenye waislamu wengi.

Uzuri ni kwamba nchi za kiislam zinakuwa westernized kwa kasi ya ajabu,soon utaona miji kama
Las Vegas(sincity) hapo middle east na hakuna kitu wewe mmatumbi utafanya.
 
Kwa hio unakubali kabisa huyu ni dictator sababu hakubali kitu kinacho dhuru maslaha yake sio.

Kwa hio hafati dini inavyotaka anafata anavyo taka yeye kwa faida zake yeye.

Qur'an inakataza pombe yeye karuhusu afu anakuambia anafara sheria kama inavyo taka Qur'an haha kwa sheria, vipi hapo
Hahaha!

Kwa Muhammad Bin Salmaan huyo ana malengo yake mwenyewe binafsi. Anaeenda tofauti kabisa.

Hata kipindi alipoandaa tamasha la kuwaita akina Nick Minaj masheikh tofauti walilizungumza kuwa mamlaka njia inayochagua kwa kiasi iangalie inaenda sambamba na sheria tulizojiwekea ndani ya hii nchi?

Jamaa kawafunga jela!
 
Mkuu unaijua xmass kweli[emoji28][emoji28],hiyo ramadhani nimeijua nilipoishi pwani.
christmas ni sikukuu ya wapagani kama ulikuwa hujui, ramadhani achana na wewe wa buza hadi maraisi wa dunia wanaipa heshima yake,hata ligi za duniani huko ikiwemo epl huwa zinipa heshima yake, ila sijawahi kuona kwaresma ikipewa heshima hata hapa tanzania na nyie mbuzi wa mwamposa imekuwa kama miezi mingine tu ya kawaida hapo ndio nguvu ya dini inapoonekana
 
Attachments

  • Screenshot_20231118-100048_Chrome.jpg
    Screenshot_20231118-100048_Chrome.jpg
    112.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231118-100211_Chrome.jpg
    Screenshot_20231118-100211_Chrome.jpg
    115 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231118-100251_Chrome.jpg
    Screenshot_20231118-100251_Chrome.jpg
    133.2 KB · Views: 2
christmas ni sikukuu ya wapagani kama ulikuwa hujui, ramadhani achana na wewe wa buza hadi maraisi wa dunia wanaipa heshima yake,hata ligi za duniani huko ikiwemo epl huwa zinipa heshima yake, ila sijawahi kuona kwaresma ikipewa heshima hata hapa tanzania na nyie mbuzi wa mwamposa imekuwa kama miezi mingine tu ya kawaida hapo ndio nguvu ya dini inapoonekana

Kaa utulie hapo middle east iwe westernized huku wewe mmatumbi ukila tende na maziwa ya ngamia ya misaada.
 
Uislamu unazidi kukubalika duniani kote hadi huko nchi za makfir na hata hao makafir wanaona ndio msingi bora wa maisha na wengi wanajiunga sasa na uislamu,
Waislam ndio wanakubalika kuishi popote na sio uislam wao kwani ukileta ufanatic wako au u muhamidiya wako unapigwa chii hapo hapo. Uislam sio dini ya haki according to Koran and Hadith, Jesus alifundisha kuwa tuwapende majirani na maadui zetu. Nyie mdadai Yesu mnamkubali ila weupe
 
Bila kusahau mamilion ya waislamu wanao batizwa,kimsingi ukristo ni tishio kwa uislam ndio mana kila siku uislam hupambana kuzuia ukristo katika maeneo yenye waislamu wengi.

Uzuri ni kwamba nchi za kiislam zinakuwa westernized kwa kasi ya ajabu,soon utaona miji kama
Las Vegas(sincity) hapo middle east na hakuna kitu wewe mmatumbi utafanya.
USichokijua ni kwamba waislamu muongozo wetu ni quran hatujawahi kufuatisha mtu kama nyiè papa leo kaamua mashoga wataruhusiwa kuoana na kubarikiwa kanisani , sisi muongozo wetu ni quran na haijawahi kubadilishwa na haitobadilika hata nukta moja
 
Waislam ndio wanakubalika kuishi popote na sio uislam wao kwani ukileta ufanatic wako au u muhamidiya wako unapigwa chii hapo hapo. Uislam sio dini ya haki according to Koran and Hadith, Jesus alifundisha kuwa tuwapende majirani na maadui zetu. Nyie mdadai Yesu mnamkubali ila weupe
Kaka sisi haturuhusiwi hata kula wakati jirani yako ana njaa, ndio maana unaona misikitini ombaomba wanajaa ijumaa lakini hukuti ombaomba wakijaa kanisani, tumeamrishwa kutoa na kukirimu masikini na binaadamu wengine,
Angalia mwezi wa ramadhani na sikuku ya iddi watu wanavyolishwa bure na kupewa sadaka mbalimbali bila ya kuangalia dini, huo ndio uislamu
 
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477
Be carefully, hadithi sahihi za Mtume s.a.w zimo vifuani mwa wanachuoni mbali mbali duniani, Saudia Arabia sio nchi ambayo katika sheria ya Kiislam ina uwezo kusema hadithi hii inafaa na hii haifai.

Dini ya kiislamu haitolewi maamuzi katika nchi fulani au mwana wa mfalme fulani au mfalme fulani, Quran na hadithi imo vifuani mwa wanachuoni na tayari hadhithi sahihi zote zipo complied katika vifua ama vitabu sahihi vilivyosambaa ulimwenguni kwa hapa tulipofika hakuna tena mtu anaeweza kutia mkono, Dini ya kiislamu sio Ukiristo kwamba watapangiwa sheria kutoka Roma Italy au US ama Uingereza.

Saudia Arabia itabakiwa kuwa Nchi takatifu kwa sababu ndio ardhi aliyotokea Rasulu S.A.W na kuna nyumba tukufu Alkaaba waislamu wanaenda hijja lakini haimaanishi kwamba waislamu duniani hupangiwa dini yao na sheria kutoka kwa mfalme wa Saudia Arabia ni vitu viwili mbingu na ardhi. Waislamu wote ulimwenguni wanamjua fika Mfalme wa Saudia Arabia Suleiman ni nani hata hao wasaudia wenyewe.

Acha kuleta propaganda potofu hapa kuhusu Imani ya dini ya kiislamu, Uislamu ndio dini pekee ambayo ni sahihi na Mungu aliahidi katika Quran tukufu kwamba atailinda otherwise hao wanaagalia maslahi yao ya kisiasa hakuna muislamu Ulimwenguni atayumbishwa nao.
 
Bila kusahau mamilion ya waislamu wanao batizwa,kimsingi ukristo ni tishio kwa uislam ndio mana kila siku uislam hupambana kuzuia ukristo katika maeneo yenye waislamu wengi.

Uzuri ni kwamba nchi za kiislam zinakuwa westernized kwa kasi ya ajabu,soon utaona miji kama
Las Vegas(sincity) hapo middle east na hakuna kitu wewe mmatumbi utafanya.
😄 Uislam mbona upo wazi kabisa nyie mnadanganywa tu Uislam ni democracy kabisa sio democracy zenu za kurushia watoto, wanawake, vizee na na kubomoa ma hospital, kuwakatia maji, umeme na chakula yani mpaa oxygen za watoto wachanga mnawakatia afu mnasema nyie dini yenu ya amani 😄 Danganyeni wajinga kama mlivyo wadanganya kwenye bibilia zenu.

sura ya kwanza ya kwenye Qur'an na tunaisoma kwenye kila salaa Alfataha inasema tunaomba Mwenyezi Mu gu atuongoze kwenye njia ilionyoaka tusifate zilizopotea.

We kuona sijui nchi za kiarabu zinafata Western style si ajabu sababu Mwenyezi Mungu kisha tupa choice tufate njia yake au iliopotea Shetani uwamuzi ni wetu.
 
Be carefully, hadithi sahihi za Mtume s.a.w zimo vifuani mwa wanachuoni mbali mbali duniani, Saudia Arabia sio nchi ambayo katika sheria ya Kiislam ina uwezo kusema hadithi hii inafaa na hii haifai.

Dini ya kiislamu haitolewi maamuzi katika nchi fulani au mwana wa mfalme fulani au mfalme fulani, Quran na hadithi imo vifuani mwa wanachuoni na tayari hadhithi sahihi zote zipo complied katika vifua ama vitabu sahihi vilivyosambaa ulimwenguni kwa hapa tulipofika hakuna tena mtu anaeweza kutia mkono, Dini ya kiislamu sio Ukiristo kwamba watapangiwa sheria kutoka Roma Italy au US ama Uingereza.

Saudia Arabia itabakiwa kuwa Nchi takatifu kwa sababu ndio ardhi aliyotokea Rasulu S.A.W na kuna nyumba tukufu Alkaaba waislamu wanaenda hijja lakini haimaanishi kwamba waislamu duniani hupangiwa dini yao na sheria kutoka kwa mfalme wa Saudia Arabia ni vitu viwili mbingu na ardhi. Waislamu wote ulimwenguni wanamjua fika Mfalme wa Saudia Arabia Suleiman ni nani hata hao wasaudia wenyewe.

Acha kuleta propaganda potofu hapa kuhusu Imani ya dini ya kiislamu, Uislamu ndio dini pekee ambayo ni sahihi na Mungu aliahidi katika Quran tukufu kwamba atailinda otherwise hao wanaagalia maslahi yao ya kisiasa hakuna muislamu Ulimwenguni atayumbishwa nao.
Duuu 🤣 vitisho Biblia iliishasema vinatoka wapi Yohana 8:44.
Kukaa vifuani mwenu!!! wewe ambaye kwanza ukariri lugha ya msaudia!!🙃 TUSAIDIE BASI HATA KWA HII SERIKALI YETU YA TANZANIA ISIONDOE ENGLISH AS MEDIUM OF TEACHING IN SCHOOLS & UNIVERSITY. maana wanatuambia mother language is the best for teaching your students so they can understand the subject matter.
Ktk DINI ya kiislam kila muumini anajiamria mwenyewe, Duu ndyo maana hamuishi vurugu nyinyi

View: https://x.com/nirbhaysirohi/status/1725063922385137854?s=20
 
Wapi Qur'an inasema Allah ndio Shetani
Wewe ADIOSAMIGO
Kama mtu anayedanganya wanadamu anaitwa Shetani, vipi yule anayemdanganya hata huyu mdanganyi wa wanadamu?
Mwenye Hekima atamuita yule SHETANI MKUBWA kabisa
Screenshot_20231117-131903.png

Vile vile Majina ya Allah Yako 99 matano kati yao yanaonyesha ALLAH=SHETANI
Screenshot_20230829-235103~2.png
 
Hadithi zinasema mzinzi mwanandoa auawe kwa mawe, Qur'an haikusema hivyo,hadithi zinasema unaweza shika udhu adhuhuri almuradi hukujamba basi waweza utumia kwa swala zote, Qur'an inasema kila swala mchukue udhu,bado unataka niamini hadithi,amini wewe, QUR'AN inasema mtoe zaka kila mpatapo faida,hadithi mpaka mtaji uvuke mwaka bila kupata hasara....hadithi zinakutoa kwenye Qur'an,amka,ni baada ya kushindwa kutia mikono Qur'an wakaamua kukuundieni vitu vitavyowatoa kwenye Qur'an
Unasali sala tano ?

Maana maelezo yako bado yanaonyesha ya kuwa huijui Qur'an na Hadithi. Qur'an na Hadithi havipingani, hadithi inafafanua yaliyo kuwepo kwenye Qur'an. Ndio maana Qur'an inaamrisha watu watoe zaka, Hadithi zinakuja kufafanua vipi utoe zaka, wakati gani na kiwango gani.

Umeongelea suala la kupigwa mawe mzinifu, Naam aya hiyo ilifutwa ila hukumu yake ipo na imefafanuliwa kwenye Hadithi. Ukisoma kipengele cha "Nasikh wa al Mansukh" katika fani za Qur'an utapata maelezo zaidi.

Umeongelea kuchukua udhu, nitakuuliza kwa mujibu wa Qur'an udhu unachukuliwaje kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Suala la udhu kuswalia mmoja sala zote Kuna hadithi zake kadhalika kusali kwa kila sala kwa udhu wake limeelezewa katika hadithi.

Huwezi kuitengenisha Qur'an na Hadithi kijana, ukitaka kufanya hivyo basi unaukataa Uislamu. Kitu kilicho nishangaza inaonekana hata Mtume humjui, Mtume maisha yake yote alikuwa anaifafanua Qur'an. Sasa unajuaje aya fulani ilishuka kwa sababu fulani pasi na Hadithi ?
 
Back
Top Bottom