Naomba ufafanuzi, ni kuhusu thamani ya fedha

Naomba ufafanuzi, ni kuhusu thamani ya fedha

Fund man

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2021
Posts
3,629
Reaction score
4,831
Leo asubuhi nilikuwa na Google thamani fedha kwa nchi mbalimbali za Afrika dhidi ya Dola ya Marekani. Nimeshituka kuona kwamba 1$=16.20 kwacha ya Zambia. Kwa kweli sijaelewa, naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Leo asubuhi nilikuwa na Google thamani fedha kwa nchimbalimbali za Afrika dhidi ya Dola ya marekani.Nimeshituka kuona kwamba 1$=16.20 kwacha ya zambia.kwa kweli sijaelewa ,naomba ufafanuzi tafadhali.
Zambia pesa yao ilishuka thamani wakaamua kufanya Redenomination wakapunguza zero tatu. Chukua hiyo uliyoiona ongeza zero tatu ndo thamani halisi.
 
Kwa hiyo, kwacha 16.20 na Tshs 2332 hujaziona? Weka ratio tu kwa cross multiplication. Kama 1USD ni sawa na kwacha 16.20 na ni sawa na Tshs 2332, then kwacha 16.20 ni sawa na Tshs 2332, hivyo kwacha 1 ni sawa na Tshs 144. Sasa hapo ipi ina thamani?

Kinachofanya kwacha ionekane na thamani sio uchumi, bali walipunguza zero tatu maana kulikuwa na mfumuko wa bei.

Hivyo kwenye hela ya Zambia ongeza sifuri tatu

Yaani 1USD sawa na 16200 kwacha
 
Kwa hiyo, kwacha 16.20 na Tshs 2332 hujaziona? Weka ratio tu kwa cross multiplication. Kama 1USD ni sawa na kwacha 16.20 na ni sawa na Tshs 2332, then kwacha 16.20 ni sawa na Tshs 2332, hivyo kwacha 1 ni sawa na Tshs 144. Sasa hapo ipi ina thamani?
Mmasai kaingia disco
 
Back
Top Bottom