Naomba ufafanuzi, ni kuhusu thamani ya fedha

Zambia pesa yao ilishuka thamani wakaamua kufanya Redenomination wakapunguza zero tatu.Chukua hiyo uli yoiona ongeza zero tatu ndo thamani halisi.
Redenomination!!! Dah! Nilikuwa sijui. Ujue miaka km kumi na tano iliyopita niliwahi kufika Tunduma nikaona pesa ya Zambia ipo chini sana,Ilikuwa 1Tshs kwa kwacha 300,Ajabu nimerudi mwaka jana naambiwa Kwacha ipo juu ya Shilingi yetu,nikashangaa mno.Kumbe ni ishu ya Redenomination.Nimeelewa sasa mkuu,ngoja ni Google hicho ki redenomination.
 
Acha kuandika na kurudia rudia huu upumbavu, uaaibisha ukoo wenu.
Zambia pesa yao ilishuka thamani wakaamua kufanya Redenomination wakapunguza zero tatu.Chukua hiyo uli yoiona ongeza zero tatu ndo thamani halisi.
 
Zambia pesa yao ilishuka thamani wakaamua kufanya Redenomination wakapunguza zero tatu.Chukua hiyo uli yoiona ongeza zero tatu ndo thamani halisi.
Kwaiyo mkuu dollar moja sawa na Kwacha ya Zambia 16,000?
 
Kinachofanya kwacha ionekane na thamani sio uchumi, bali walipunguza zero tatu maana kulikua na mfumuko wa bei.

Hivo kwny hela ya zambia ongeza sifuri tatu

Yaani 1USD sawa na 16200 kwacha
Kwa hiyo kwacha 1000 ndiyo sawa na Tsh 144?
 
Mbona Google wanadai 1kwacha ni 143.8 wakati mnasema waliondoa 0 3?
20220808_051128.jpg
 
HAPANAAAAAAA

Thamani ya kwacha iko juu kuliko shilingi.
sema uthamani wa hela hauna uhusiano wowte na uchumi.
Zambia ni nchi maskini kuliko TZ , hvyo bado haisaidii chvhote kwa wao kuwa na hela kubwa.

ila siwatanii maisha ya zambia ni gharama sana
just imagine malaya ananiambia short time 500 kwacha sawa na Tsh 69 000

na kulala naye ni 800 kwacha sawa na Tsh 110,000......wakati bongo ni hela napiga pombe ,nyama choma ,guest na ya kumlipa mwanamke.

HAKA KA-NCHI KAKISENGE SANAAA

by the way huwa napita zambia kuelekea maeneo mengine.

NB: 100 kwacha hii unayoiona ni sawa na 13,800 Tsh.
hii ni exchange rate ya 04/08/2022

nawasilisha
20220711_201836.jpg
 
nawasilishaView attachment 2317541
Pitia na ndola hapo bas 😶
 
What if kaona kamba mguuni?!!
 
Acha kuandika na kurudia rudia huu upumbavu, uaaibisha ukoo wenu.
Anachokisema ni ukweli mwanzo Zambia walikuwa wanatumia zmk kwacha ilivyoshuka thamani wakaamua kupanda juu Ili kupunguza idadi ya sifuri ndio wakaja na zmw.. ila jina likabaki kuwa ni lile
 
Back
Top Bottom