Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Rumion

Hizi ni za kawaida. Notice hakuna neno CVT kwenye containers. View attachment 1775969View attachment 1775970View attachment 1775971View attachment 1775972View attachment 1775973
 
Kama gearbox ni ya kawaida itakuaje akiweka ya CVT
Mmmmmmhmn sijafahamu kwa pande wa kawaida madhara yake ila ninachowezeza kupredict nikuwa itaharibu zile gears kwenye counter gear.

Sababu ile chain ya mfumo wa CVT huwa inalindwa isiteleze au kulainika na kuwa slippery kwenye zile pulleys. Sasa imagine reaction ya hiyo fluid katika gear ambazo zinatakiwa kuslide throughout ukiendesha gari.

Maana zinatakiwa kushift automatically kila unapopunguza na kupandisha mwendo au unapokuwa katika muinuko au mteremko.

Na pia ukiweka oil ya kawaida katika gari ya CVT possible side effects ni kuifanya ile chain kuanza kupoteza ukakamavu wake matokeo gari inataanza kuwa slippery.

Ikiwa slippery hautafurahia kuitumia hata kidogo maana itafeli kuiengage speed properly kila baada ya muda fulani kama utafululiza kuiwekea oil sio.

Na kuna gari ukiweka tu oil sio sensor zinasoma na kupeleka taarifa katika computer gari itawaka ila haitaondoka hapo sababu sensor itaikataza gear box kuoperate na wrong fluid.
 
Kubadili gearbox oil sio tatizo as long as utaweka yenye standard inayotakiwa kwa gari husika. Kiusalama ni vema ukacheki na kubadili hizo vitu zote wewe mwenyewe.

Mfano, break pads na shoes, mafuta ya break, oil ya engine na gear box, coolant, thermostat inatakiwa ubadili nayo kama unamudu gharama ingawa sio lazima maana watu wengi huwa hawajui thermostat huwa zina muda wake wa kutumika sio forever part ile....
 
Kama gearbox ni ya kawaida itakuaje akiweka ya CVT
 
Sijamaanisha hivyo boss....
Pengine tafsiri imeenda mbali Mimi nilimaanisha jinsi nilivyotunishia misuli na Magari yenye uwezo Mkubwa
Kitu kimoja ambacho watu wengi wenye vi baby woka hamkijui ni kwamba, watu wenye magari yenye "misuli" sio watu wa ligi. Wengi ni watu wenye hela zao, na hawana mpango wa kufa kizembe siku za hivi karibuni kwa ligi za kiboya.

Sasa wewe na ki passo chako, ki rumion sijui ki ist ukimuovateki mtu kama huyo barabarani, unakuja kujisifu hapa kwamba "umetunishiana misuli" na magari ya maana 😆😆 In short hutu tu baby woka twa kijapani hatuwezi kutunishiana msuli na gari yoyote ya maana, sema tu sio kila mtu anataka ligi barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…