Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni za kawaida. Notice hakuna neno CVT kwenye containers. View attachment 1775969View attachment 1775970View attachment 1775971View attachment 1775972View attachment 1775973Huo utumiaji wa hiyo oil ya CVT ulielekezwa na mtu au ulisoma kwenye manual ya gari?maana nijuavyo mimi gari nyingi za Japan hata kama ina user manual inakuwa imeandikwa kijapan,kwahiyo tusiwalaumu sana wanojiwekea oil za kawaida kwenye hizo gari,ukweli ni kuwa hawajapata tu mtu wa kuwafungua macho kama ulivyofunguliwa wewe...
Mmmmmmhmn sijafahamu kwa pande wa kawaida madhara yake ila ninachowezeza kupredict nikuwa itaharibu zile gears kwenye counter gear.Kama gearbox ni ya kawaida itakuaje akiweka ya CVT
Kubadili gearbox oil sio tatizo as long as utaweka yenye standard inayotakiwa kwa gari husika. Kiusalama ni vema ukacheki na kubadili hizo vitu zote wewe mwenyewe.Achilia mbali hilo,kuna magari mengi sana ambayo hayaruhusu kubadilisha gearbox oil iliyokuja na gari lakini watu wanabadilisha ATF iliyokuja na gari kama hilo kila baada ya 5000KM na kuweka ATF fake.Kumiliki gari kwa rangi nyeusi ni changamoto kwelikweli!
Kama gearbox ni ya kawaida itakuaje akiweka ya CVT
Aerotourer ina 1800cc hapa mwendo upo na inatembea full!
Nimewatesa Sana kipande cha singida - DodomaAerotourer ina 1800cc hapa mwendo upo na inatembea full!
Mumeo?Kuna mtu nilikua namuona mjanja sana ila nilishangaa sana kumuona na hio gari.
Kwa hiyo umenunua gari ili utese watu. Waswahili bhana…Nimewatesa Sana kipande cha singida - Dodoma
Sijamaanisha hivyo boss....Kwa hiyo umenunua gari ili utese watu. Waswahili bhana…
Kama wewe ni mwanamke iwahi haraka
Kwakweli sijawahi bahatika kuona ameshuka dereva wa kiume kwenye hiyo gari
Aisee we jamaaGari shoo ya mbele imekaa kama bichwa la kitimoto
Kwahiyo mada iwe closed 🔐 sioNaona wazee wa vi baby walker mnajadiliana.
Kama ipi na ipiSijamaanisha hivyo boss....
Pengine tafsiri imeenda mbali Mimi nilimaanisha jinsi nilivyotunishia misuli na Magari yenye uwezo Mkubwa
Kitu kimoja ambacho watu wengi wenye vi baby woka hamkijui ni kwamba, watu wenye magari yenye "misuli" sio watu wa ligi. Wengi ni watu wenye hela zao, na hawana mpango wa kufa kizembe siku za hivi karibuni kwa ligi za kiboya.Sijamaanisha hivyo boss....
Pengine tafsiri imeenda mbali Mimi nilimaanisha jinsi nilivyotunishia misuli na Magari yenye uwezo Mkubwa