Wewe naona unahadithiwa na kukariri tu vitu.
Yeye ameongelea polo wewe unaongelea Golf GTI.,hakuna sehemu nimeongelea GTI hapa.GTI inakimbia kwny category ya gari za dizaini hio,nilishaweka hapa JF video ya GTI ikiiacha Crown iliyokua kwny 180km/h na nikamuuliza mdau mmoja humu mwenye GTI
RRONDO namna hio GTI ilivyoiacha hio Crown akasema GTI inatembea lkn ilivyoiacha hio Crown sio kawaida,itakua hio GTI imefanyiwa remapping/tuned,hopefully unajua maana ya hicho nilichokisema hapo.
Khs bei,bei zake ni za kawaida tu acha kutisha watu.Nilishataka kuinunua GTI 2006 model(2.0 TFSI GTI manual) ambayo ndio common kwa hapa bongo,be forward walikua wanaiuza $3000,haya nenda kaangalie kodi ya GTI kule TRA uone kama ni pesa nyingi kiasi hicho.
GTI edition 30 2006 model ndio ilikua juu ya hapo kwny $5200.Niliacha nikanunua mazda rx -8 moded.
Ukisema Golf R bei zake hazishikiki hapo ni sawa kabisa.So hizo habari za kuambiwa eti bei ya kununua GTI unanunua harrier na chenchi inabaki ni story za kuhadithiwa tu.
Khs hii hoja yako ya 'Kama ile ya Golf nadhani modeli yake ya sasa itakuwa inacheza kwenye 320 top speed if not mistaken'
Hata model za miaka ya zamani huko za 'Golf GTI mk5' speedometer inasoma 300km/h,lkn haiwezi kuifikia hio top speed kamwe.
GTI top speed yake haiwezi kuzidi hata 250km/h,kuzidi hapo ni mpk ifanyiwe tuning na makorokoro kibao tena iwe heavy moded lkn ikiwa stock ni never ever. Inshort hakuna uwezekano wa gari yenye 200hp ikafikia top speed ya 320km/h.
Hii nilifanya testing mwenyewe kwa kutumia gti stock kwny rally Oldonyosambu,Arusha na nikajionea mwenyewe,hizo 320km/h ni marketing strategy na pia kwa watengenezaji wa magari ni gharama sana kwao kuweka kila model ya gari na speedometer ya tofauti wkt speedometer hio hio inaweza kuwekwa na kwny model nyingine.
Golf inakimbia lkn usi-exaggerate.