Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Even if it is Golf GTI,kwa nguvu ya kuondokea haiwezi kushindana na Toyota Crown or Mark x until Toyota crown/Mark X zifikie maximum speed ambayo ni 180km/hr tofauti na hapo ni miujiza.
VW polo speed ni 220kh/h
VW Golf GTI 300km/h
Crown ni 180km/h
 
VW polo speed ni 220kh/h
VW Golf GTI 300km/h
Crown ni 180km/h
Elewa essence ya nilichokiandika,achana na mambo za top speed-Unadhan below 180km/hr Golf GTI inaweza kukimbia kushinda Crown yenye Hp ya 300+?
 
yan siwez amin cc1300 speed 220 nyie watu?
Huyo ni mdogo kuna Kaka yake Volkswalgen GOLF GTI (260KM/H) yule LC 200 V8 kwenye lami kakutana na mwamba

1602860611362.png

1602860675456.png
 
Tangu lini Mjerumani kaanza biashara za kichina aisee? Na stability ni kubwa hata kama hupo kwenye speed. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anatoka Mwanza kwenda Kahama na Golf GTI Tairi ya mbele imeburst hajui, mpaka alipoanza kusikia mlio usio wa kawaida
mjifariji tu
 
Hii ya tyre kupasuka na Dereva kutokujua gari ikiwa kwenye motion mimi hapana aisee !! Mhh,hapana kwa kweli mzee wangu hata kama ndo kusifia stability zenyewe🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom