Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

'Gari inatembea hyo balaa. Kina crown, mark x'.

Hahah daah sometimes ni bora kukiri haujui kitu kuliko kuandika kitu usichokijua boss.
Wewe unaelekea hii gari haujawai itumia au hata kuishuhudia barabarani. Gari za Volkswagen zinasifa ya kupumua na kuchapa mwendo plus handling nzuri.

Hii ni mojawapo. Mimi huwa navutiwa na ile Golf GTI. Nilishaiendesha. Kuelekea Arusha nikitokea Dar.... Aiseee hizi gari ni ndogo ila zimetengenezwa kuvimbiana misuli na gari kubwa.

Zinachapa mwendo balaa. Kama ile ya Golf nadhani modeli yake ya sasa itakuwa inacheza kwenye 320 top speed if not mistaken. Ila bei sasa baba. Bei ndio shida. Bei yake umeshanunua harrier na chenji ya mafuta ya mwezi mzima full tank itabakia.
 
Wewe unaelekea hii gari haujawai itumia au hata kuishuhudia barabarani. Gari za Volkswagen zinasifa ya kupumua na kuchapa mwendo plus handling nzuri....

Wewe naona unahadithiwa na kukariri tu vitu.

Yeye ameongelea polo wewe unaongelea Golf GTI.,hakuna sehemu nimeongelea GTI hapa.GTI inakimbia kwny category ya gari za dizaini hio,nilishaweka hapa JF video ya GTI ikiiacha Crown iliyokua kwny 180km/h na nikamuuliza mdau mmoja humu mwenye GTI RRONDO namna hio GTI ilivyoiacha hio Crown akasema GTI inatembea lkn ilivyoiacha hio Crown sio kawaida,itakua hio GTI imefanyiwa remapping/tuned,hopefully unajua maana ya hicho nilichokisema hapo.

Khs bei,bei zake ni za kawaida tu acha kutisha watu.Nilishataka kuinunua GTI 2006 model(2.0 TFSI GTI manual) ambayo ndio common kwa hapa bongo,be forward walikua wanaiuza $3000,haya nenda kaangalie kodi ya GTI kule TRA uone kama ni pesa nyingi kiasi hicho.

GTI edition 30 2006 model ndio ilikua juu ya hapo kwny $5200.Niliacha nikanunua mazda rx -8 moded.

Ukisema Golf R bei zake hazishikiki hapo ni sawa kabisa.So hizo habari za kuambiwa eti bei ya kununua GTI unanunua harrier na chenchi inabaki ni story za kuhadithiwa tu.

Khs hii hoja yako ya 'Kama ile ya Golf nadhani modeli yake ya sasa itakuwa inacheza kwenye 320 top speed if not mistaken'

Hata model za miaka ya zamani huko za 'Golf GTI mk5' speedometer inasoma 300km/h,lkn haiwezi kuifikia hio top speed kamwe.

GTI top speed yake haiwezi kuzidi hata 250km/h,kuzidi hapo ni mpk ifanyiwe tuning na makorokoro kibao tena iwe heavy moded lkn ikiwa stock ni never ever. Inshort hakuna uwezekano wa gari yenye 200hp ikafikia top speed ya 320km/h.

Hii nilifanya testing mwenyewe kwa kutumia gti stock kwny rally Oldonyosambu,Arusha na nikajionea mwenyewe,hizo 320km/h ni marketing strategy na pia kwa watengenezaji wa magari ni gharama sana kwao kuweka kila model ya gari na speedometer ya tofauti wkt speedometer hio hio inaweza kuwekwa na kwny model nyingine.

Golf inakimbia lkn usi-exaggerate.
 
Unaongelea Polo au Polo GTI?

Kama unaongelea polo then hio haiwezekani,kama unaongelea Polo GTI then GTI ina mwendo wa kutosha.
 
In fact inategemea,If it was Golf GTI inaweza kuwa na speed kubwa ikiwa kwenye peak kuliko kuliko Crown,Mark x etc based on speed range.But for Polo I don't think so. 😁 😁 😁
 
In fact inategemea,If it was Golf GTI inaweza kuwa na speed kubwa ikiwa kwenye peak kuliko kuliko Crown,Mark x etc based on speed range.But for Polo I don't think so. 😁 😁 😁
Even if it is Golf GTI,kwa nguvu ya kuondokea haiwezi kushindana na Toyota Crown or Mark x until Toyota crown/Mark X zifikie maximum speed ambayo ni 180km/hr tofauti na hapo ni miujiza.
 
Uki
Ukinipa polo(chuma ya mjerumani), njia nikawa naijua vizuri(mf njia ya dar - Moro - mpaka sirari au mpaka Rwanda). Mezani ukaweka pesa ya kwenda, hata Kama una V8 za magu nakuchapa Kama tunapishana na hautoniona milele mpaka finishing line.
Mark my words chief
 
mkuu naona wewe upo vizur kwenye uwanja wa magari!! Japo nje ya maada..Naitaji kujua Nissan Dualis kuanzia spare na unywaji wa mafuta.hilo tu mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…