Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Even if it is Golf GTI,kwa nguvu ya kuondokea haiwezi kushindana na Toyota Crown or Mark x until Toyota crown/Mark X zifikie maximum speed ambayo ni 180km/hr tofauti na hapo ni miujiza.
VW polo speed ni 220kh/h
VW Golf GTI 300km/h
Crown ni 180km/h
 
mkuu naona wewe upo vizur kwenye uwanja wa magari!! Japo nje ya maada..Naitaji kujua Nissan Dualis kuanzia spare na unywaji wa mafuta.hilo tu mkuu!!
Mkuu mimi sio mpenzi sana wa Nissan,lkn kuna thread humu zimeelezea kwa kina khs dualis,ngoja nim-tagg jamaa mmoja Boeing 747 anazijua vzr Nissan atatupa maelezo
 
VW polo speed ni 220kh/h
VW Golf GTI 300km/h
Crown ni 180km/h
Elewa essence ya nilichokiandika,achana na mambo za top speed-Unadhan below 180km/hr Golf GTI inaweza kukimbia kushinda Crown yenye Hp ya 300+?
 
izo 220 au 260 anafikisha au ulembo tu?
Tangu lini Mjerumani kaanza biashara za kichina aisee? Na stability ni kubwa hata kama hupo kwenye speed. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anatoka Mwanza kwenda Kahama na Golf GTI Tairi ya mbele imeburst hajui, mpaka alipoanza kusikia mlio usio wa kawaida
 
mjifariji tu
 
Hii ya tyre kupasuka na Dereva kutokujua gari ikiwa kwenye motion mimi hapana aisee !! Mhh,hapana kwa kweli mzee wangu hata kama ndo kusifia stability zenyewe🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…