Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Embu kaka mng'ato utusaidie kuhusu hii stability anayosema mr Moses Swai
Kwa wanaofahamu rim za volkswagen golf

Kuna utofauti mkubwa sana na mguu wa Toyota IST

Sasa tairi ipasuke una IST na ipasuke una VW wapi utaokoka kwa wepesi? Miguu tu inaongea boss bado kwenye ku absorb pressure ya speed najua IST ukiwa 180 tu roho mkononi. Hapo kwenye VW unaweza kanyaga 200 na usisikie mtikisiko wa gari yaani kitu kimetulia kama maji mtungini.
 
Despite of uchumi wa kuunga unga, ipo tu siku VW Polo nitaiopoa niionje ladha yake. I like performance wheels.
Ni pesa tu, najua hata magari mengine ya VW ni bora pia kama Amarok , Tourage, Passat, Jetta, Tiguan, Atlas, Teramont, Scirocco, Bettle








 

Attachments

  • 1602869159325.png
    475.6 KB · Views: 56

Lakini mbona Amarok zinachoka haraka mno? Zinakongoroka mapema! Au ni matunzo ya mtu binafsi? Au ni kwa vile ni field vehicle?
 
Huwa naziona IT zinasafirishwa kwenda Africa ya Kati, wenzetu wanapenda magari. Sisi Tz tumekomaa na Toyota, Nissani, Subaru, Mitsubish, Ford.
 
we iyache polo kabisa mkuu usiifananishe na magari mengine ile speed ni 220 sasa hawa wa mia 180 wanaongea nni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…