Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mkuu hawa wanadharau gari za kijapani Kwa story za vijiweni.Ila Mjapan mnamuonea..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au vile sheria za nchi yake top speed ni180 basi ndiyo mnamchukulia poa..[emoji1787][emoji1787]
Hivi mnaijua vizuri gari inaitwa Nissan fuga lenye VQ 35 au Toyota Crown lenye 2GR.
Hapo sijagusa Nissan GTR..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilux D4D 3.0 ltr manual diesel nazikubali sana ila bei zake sio mchezo.Hiyo Amarock hamna kitu hapo...hiyo ni gari ya Show off tu....
bora Toyota Hilux, Nissan Hardboard/Navara au Ford Ranger...
Sent using Jamii Forums mobile app
naipenda sna kuangalia video za hii gari kuna mzee mmoja ivi anayo inanitoa udenda mzee mwenye anaendesha kinyonge anikere sanaHilux D4D 3.0 ltr manual diesel nazikubali sana ila bei zake sio mchezo.
Inabidi siku moja umuazime umuonyeshe inavyoendeshwa...[emoji1787][emoji1787]naipenda sna kuangalia video za hii gari kuna mzee mmoja ivi anayo inanitoa udenda mzee mwenye anaendesha kinyonge anikere sana
Kweli mkuu..tatizo watu hawafuatilii mambo ya magari...wao wakishakutana gengeni kwa mangi, wakaskia stori stori za gari fulani, basi wanazileta huku...Mzungu mpaka leo hii anaitamani Toyota Supra na Nissan Skyline Gt-r zinamtoa udenda.
Wamemshawishi Toyota kwenye Supra akafanya ushirikiano na BMW kutengeneza gari pamoja. BMW akafanya usanifu wa body na injini kaweka ya BMW.
Gari baada ya kufika sokoni wanunuzi wamelaumu kwanini Toyota akuendeleza unyama Kwa kufunga injini dume(inline 6 turbo charged) wazungu wameitukana sana Supra toleo la mwisho kila tusi.
Japan watu wanapadharau sana....lakini Japan kuna magari mazuri hata dunia inatambua hilo...Mkuu hawa wanadharau gari za kijapani Kwa story za vijiweni.
Hawajui mara kibao Japanese car zinaongoza Kwa mauzo duniani, best performance car na car of the year.
Hivi nyie mnajua magari kweli? Kampuni za Japan zina matawi Ulaya na America. Toyota au Nissan zinazotengenezwa Europe au America huwezi linganisha na hizi zinazotoka Japan kuja Africa ni brands chache za Nissan au Toyota zinazopiga vizuri pote sokoni Africa na huko kwa mabeberu.Japan watu wanapadharau sana....lakini Japan kuna magari mazuri hata dunia inatambua hilo...
Soko la USA Toyota Camry na Nissan Altima, ni sedan za kijapan zinazoheshimika sana...
Binafsi huwa naona Gari ya mzungu ni kama kuku wa kisasa
Gari ya kijapan ni kama kuku wa kienyeji..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo umepanic bila kuelewa nilichokiandika....Hivi nyie mnajua magari kweli? Kampuni za Japan zina matawi Ulaya na America. Toyota au Nissan zinazotengenezwa Europe au America huwezi linganisha na hizi zinazotoka Japan kuja Africa ni brands chache za Nissan au Toyota zinazopiga vizuri pote sokoni Africa na huko kwa mabeberu.
Mzee hizo ukitaka za bei nafuu inabidi uchukue kutoka South Africa kule zipo kibao inabidi umtafute Isanga family akuchekie.Hilux D4D 3.0 ltr manual diesel nazikubali sana ila bei zake sio mchezo.
Panic iko wapi wakati unadai gari za Europe ni takataka (kuku wa kisasa) ulikuwa unamaanisha nini Mkuu?Tatizo umepanic bila kuelewa nilichokiandika....
Hayo mambo ya Toyota tundra, Nissan Titan, Honda Accord nayafahamu kuliko unavyofikira....
Kumbuka uzalishalishaji wa magari unazingatia soko la ukanda fulani, mfano Ulaya, USA, Canada, China na kadhalika....
Kumbuka gari likitengenezwa huwa linatengenezwa kwa kuzingatia specifications za soko fulani....
Hizi Nissan na Toyota tunazotumia sisi si za soko la Africa...hizi ni za soko la Japan, Singapore na China huko.......
Sisi Africa bado sana kuundiwa brands zetu ...sisi ni Jalala...chochote tunaletewa.....mchina ndiyo anatukomboa na Yutong....Muhindi na TATA....hizi ndiyo level zetu....USA hakuna Yutong
Najua wazi kuwa Nissan Titan na Toyota Tundra si magari ya kitoto....lakini kampuni mama si Japan....haijalishi manufacturing plant ipo nchi gani....kinachoangaliwa ni Teknolojia bado ni ya Mjapan....
Sent using Jamii Forums mobile app
We husomi coment ya mtu na kuielewa...hakuna mahali nilipisema gari za Ulaya ni takatakaPanic iko wapi wakati unadai gari za Europe ni takataka (kuku wa kisasa) ulikuwa unamaanisha nini Mkuu?
naipenda sna kuangalia video za hii gari kuna mzee mmoja ivi anayo inanitoa udenda mzee mwenye
Hizi ni gari hasa!naipenda sna kuangalia video za hii gari kuna mzee mmoja ivi anayo inanitoa udenda mzee mwenye anaendesha kinyonge anikere sana
We husomi coment ya mtu na kuielewa...hakuna mahali nilipisema gari za Ulaya ni takataka
Niliposema gari za ulaya ni kama kuku wa kisasa nilimaanisha zinataka Intensive care...ukibabaisha matunzo yake pamoja na vipuri kukulaza porini ni suala la kawaida sana..
Na niliposema gari za kijapani ni sawa na kuku wa kienyeji, nilimaanisha zinavumilia shida zetu za kiafrika kuliko gari za ulaya...Gari za kijapan service za kawaida saana na spea feki maisha yanasonga na huwezi kulala porini kisa kasensor kakijinga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijui mnazungumzia nini ila VW polo hizi za sasa hivi zinachanganya haraka sana na zimeshika bara bara haswa na zipo hizo Golf R series hiyo bei yake ni mkasi na kukimbia gari nyingi zinasubili mno kwa R series sijui 7 na kuendelea huo ni Moto mwingine Mzee...Sasa kama unasema Polo inatembea kuliko Mark x/Crown basi jua umesikia tu story huko mtaani mzee baba.
Sema unaweza kuangalia minada ya SMD auction cars.co.za au unaandika Scania truck olx .co.za andika chochote unachotaka ila olx.co.za mwishoni hapo wanauza bei nzuri kidogo tofauti na Gumtree ila pia usifanye manunuzi ya online wanigeria washaingilia kati huko pia...Mzee hizo ukitaka za bei nafuu inabidi uchukue kutoka South Africa kule zipo kibao inabidi umtafute Isanga family akuchekie.
Kwenye Gumtree.za wazee wa bakkie wanaziuza Kwa bei rafiki na zipo katika hali nzuri wewe unaweza ukawa second user toka itoke kiwandani.