Naomba ufafanuzi wa Sheria ya kazi na mahusiano Kazini

Naomba ufafanuzi wa Sheria ya kazi na mahusiano Kazini

Joined
Jul 4, 2019
Posts
10
Reaction score
11
Habari Kiongozi,

Ilikuwa mapema mwaka 2014 ndg yangu aliajiliwa kama Mwalimu katika Halmashauri moja hapa nchini hata hivyo alifanya kazi kw muda wa miezi nane Pekee na kuamua kumwandikia Mkurugenzi wake wa Wakati huo Barua ya kusudi la Kuacha kazi lakini hakujibiwa Badala yake Mwaka 2015 June 06 aliondolewa kwenye Orodha ya malipo ya Mshahara kwa utoro Kazini

Mwaka 2019 aliomba ajira mpya kupitia Tamisemi kwakua alikuwa na Check No hajaweza kupata Mshahara Hadi Sasa na Jitihada za Maombi ya kuendelea kutumia check No hazijapata mwafaka je anaweza kufungua shauri mahakamani maaana sababu za utoro Kazini hazikuthibitishwa na Mamlaka ya Nidhamu naomba Kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom