Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Boss unategemea swali kama hili naweza kukujibu?! I am open, but not to that extent. Na hata ukijua inaeza isikusaidie kitu sheikh wangu.
ha ha...kuna kitu mi nilitaka nijifunze hapo Ila poah
 
Huwezi hata siku 1 kumshauri mkulima aliyelima mahindi mabichi alime mahindi makavu, anaona bora akae nyumbani apumzike. Sasa hivi ukienda ruvu hukuti watu wakilima mahindi, wanasubiri mvua zipite warudi shamba. Wengi sasa hivi wanalima mpunga.

Utamu wa pesa ya mahindi mabichi upo hapa, unapata faida kwa kila hindi 1, tena pale pale shambani. Mara ya mwisho mimi kuvuna ilikua Feb. Takwimu za haraka haraka ni kua, kila hindi niliuza shambani kwa 200 Tsh, na wastani wa pesa niliyopata kila heka ilikua na mahindi 10,500. Yani kiufupi kila heka 1 nilikua nauza na kupata 2.1 mil, na gharama zangu zooooote ni laki 4 kwa heka.

Sasa mara nyingi wajanja huku tunalima in series, unakua na mahindi ya mwezi mmoja, miezi miwili na miezi mi3 ambayo ndio inavunwa, sasa unakuta mtu anaweka mzunguka wa heka tano tano. Kila mwezi anavuna, akivuna anapanda tena, mwezi ujao kuna series nyingine ya kuvunwa hivyo hivyo.

Mbegu ni ile ile, lkn unachofanya ni kuwa na wateja kabla hayajakomaa. Mbegu nzuri ni ile ya miezi mi3, lkn utavuna ikiwa na miezi miwili na wiki mbili.
Naomba msaada hapa ndugu yangu, maana mie nimepanda mahindi mabichi dodoma mwezi uliopita, bado sijatafuta soko japo naamini nitapata soko, je? Kuna dawa ama mbolea yoyote napaswa kutumia?
 
Hahaa hahaa - swali hili liko tricky sana.

Mimi napenda Kilimo kwasababu kinaonekana, kina make sense hata ukimwambia mtu na pia usimuone mtu kama rais mstaafu Dr. J. Kikwete anatoka nyumbani kwake anaenda mashambani kupiga picha na mahindi afu anapost Twitter, kuna raha yake aisee. Yani there's that feeling you get, kwamba ili watu wale inabidi wewe ulime, yani kuna kitu fulani sijui kama unanifeel.

Kuhusu poultry nafanya kwasababu ni passion, kifaranga unakibreed kutoka Day Old chick hadi anakua mkubwa. Afu watu wote wanajua Ontario ni mtu wa poultry, na network yangu kubwa nimeshaijenga upande huo so lazima nikomae.

Lkn ukija kwenye Forex, kama leo nikifilisika kila kitu nikabaki na laki 3, yotr naingia nayo kwenye forex. Nina uhakika baada ya mwezi nina mil 2 mkononi, kitu ambacho si kuku wala shamba vinaweza kunipa hiyo reward. So naeza kusema, if I were to start again from zero I'd go for forex.
Mpaka hapo umeshamaliza na nimekuwa speechless, kwasababu maelezo na husle zako zimenifunza vitu vingi sana.
Na nahisi kwamfano shule zetu zingekuwa zinafundisha ishu kama hizi za ujasiriamali &ufundi since primary nadhani tungepiga hatua sana.
Big up.!!
 
Laki 3 kwa sasa haitakufikisha sehemu boss, kama ungekuwa na vifaa say feeders, drinkers nk ungeweza kuanza na japo broilers 50. Napo faida itakua kiduchu sana
Mtaji unao hitajika ni kiasi gan kama tayari unalo banda??
 
Hongera sana Mkuu unaweza kutusaidia taratibu na njia za kufuata ili kujiunga na FOREX maana naona itakua njia nyepesi kwa vijana kunyanyuka katika kufikia malengo yetu ya kila siku(Kama utaweza kutusaidia Link ya Web inayohusika na Mambo ya FOREX itakua vyema sana) Asante
 
Huwezi hata siku 1 kumshauri mkulima aliyelima mahindi mabichi alime mahindi makavu, anaona bora akae nyumbani apumzike. Sasa hivi ukienda ruvu hukuti watu wakilima mahindi, wanasubiri mvua zipite warudi shamba. Wengi sasa hivi wanalima mpunga.

Utamu wa pesa ya mahindi mabichi upo hapa, unapata faida kwa kila hindi 1, tena pale pale shambani. Mara ya mwisho mimi kuvuna ilikua Feb. Takwimu za haraka haraka ni kua, kila hindi niliuza shambani kwa 200 Tsh, na wastani wa pesa niliyopata kila heka ilikua na mahindi 10,500. Yani kiufupi kila heka 1 nilikua nauza na kupata 2.1 mil, na gharama zangu zooooote ni laki 4 kwa heka.

Sasa mara nyingi wajanja huku tunalima in series, unakua na mahindi ya mwezi mmoja, miezi miwili na miezi mi3 ambayo ndio inavunwa, sasa unakuta mtu anaweka mzunguka wa heka tano tano. Kila mwezi anavuna, akivuna anapanda tena, mwezi ujao kuna series nyingine ya kuvunwa hivyo hivyo.

Mbegu ni ile ile, lkn unachofanya ni kuwa na wateja kabla hayajakomaa. Mbegu nzuri ni ile ya miezi mi3, lkn utavuna ikiwa na miezi miwili na wiki mbili.
Mkuu laki 4 hiyo ni kila kitu? Pamoja na kununua water pump, mabomba, na vitu vyote?
 
Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye forex,nami nipate kitu.
Hii ndio biashara yenye liquidity kubwa kuliko biashara nyingine yoyote duniani. Kwa siku Dollar trillion 5 zinazunguka kwenye forex trading. Sidhani kama kuna tajiri yoyote mkubwa asiyefanya hii kitu, banks zote unazoziona hapa duniani wanafanya hii kitu, hela zetu tunazowapa kupitia fixed account wanazitupilia huko kwenye forex, hii mikopo ni geresha tu.

Kifupi ni kutrade pesa za kigeni... siongelei bureau exchange hapa.

Tafuta kitabu kinaitwa currency trading for dummies, utapata mwanga.
 
Hahaa hahaa - swali hili liko tricky sana.

Mimi napenda Kilimo kwasababu kinaonekana, kina make sense hata ukimwambia mtu na pia usimuone mtu kama rais mstaafu Dr. J. Kikwete anatoka nyumbani kwake anaenda mashambani kupiga picha na mahindi afu anapost Twitter, kuna raha yake aisee. Yani there's that feeling you get, kwamba ili watu wale inabidi wewe ulime, yani kuna kitu fulani sijui kama unanifeel.

Kuhusu poultry nafanya kwasababu ni passion, kifaranga unakibreed kutoka Day Old chick hadi anakua mkubwa. Afu watu wote wanajua Ontario ni mtu wa poultry, na network yangu kubwa nimeshaijenga upande huo so lazima nikomae.

Lkn ukija kwenye Forex, kama leo nikifilisika kila kitu nikabaki na laki 3, yotr naingia nayo kwenye forex. Nina uhakika baada ya mwezi nina mil 2 mkononi, kitu ambacho si kuku wala shamba vinaweza kunipa hiyo reward. So naeza kusema, if I were to start again from zero I'd go for forex.
Hebu nieleze hio forex ndio nini make nmegoogle na sijaelewa kabisa
 
Man!! My hustle is real since day 1. Niliosoma nao wanajua boss. Na hata leo nikisema niingie kwenye kiwanda cha kufanya refinery ya mafuta naeza choma kiwanda chote, maana hata sikumbuki chuo nilikua nasoma nini.

Pia kuna nguvu kubwa sana katika vitabu. These things look average, but they're mightier than you'd think.
Asante, nakubaliana na wewe, kwa sababu usomaji vitabu mbalimbali unaongeza uwezo wa kufikiri na utulivu zaidi akilini
 
Hii ndio biashara yenye liquidity kubwa kuliko biashara nyingine yoyote duniani. Kwa siku Dollar trillion 5 zinazunguka kwenye forex trading. Sidhani kama kuna tajiri yoyote mkubwa asiyefanya hii kitu, banks zote unazoziona hapa duniani wanafanya hii kitu, hela zetu tunazowapa kupitia fixed account wanazitupilia huko kwenye forex, hii mikopo ni geresha tu.

Kifupi ni kutrade pesa za kigeni... siongelei bureau exchange hapa.

Tafuta kitabu kinaitwa currency trading for dummies, utapata mwanga.
Mkuu ubarikiwe,nilikua nataka hilo tu,ilikua akilini kitambo.
 
Boss unategemea swali kama hili naweza kukujibu?! I am open, but not to that extent. Na hata ukijua inaeza isikusaidie kitu sheikh wangu.
Kwanin umemrusha mchumba wangu huku wakati hajavaa wigi ,si ungerusha alovaa wigi lakin
 
Hongera sana Mkuu unaweza kutusaidia taratibu na njia za kufuata ili kujiunga na FOREX maana naona itakua njia nyepesi kwa vijana kunyanyuka katika kufikia malengo yetu ya kila siku(Kama utaweza kutusaidia Link ya Web inayohusika na Mambo ya FOREX itakua vyema sana) Asante
Boss nikutahadharishe, tena niseme kwa capital letters TAKE CARE, Sio kwamba nakutisha, but huu ndio ukweli.

Forex ina reward kubwa sana sana, leo naweza kuwa na mil 3, ndani ya wiki 1 nina mil 10. Na kuna uwezekano hii milioni kumi nikaipoteza ndani hata ya siku 1.

Forex si kama biashara ya kununua pweza, awachemshe kisha jioni upange kacholi, kabab na supu ya pweza kwenye meza usubiri wateja walete pesa.

Hii kitu ni very very technical, inabidi uwe na uelewa mkubwa sana wa hii biashara. Kuna vitu vingi sana vya kuzingatia hadi uwe profitable trader.

Mimi nilisoma vitabu vingi kwa miezi mi4 mfululizo, nikaanza kutrade kwa $2300. Nikaikuza hadi kufikia $12,000 ndani ya kama wiki 4 hivi. Lakini ni siku 1 tu nilipoteza karibia mil 20. Ukiwa na right people around you, inakua rahisi. Kwa sasa nina mentors wa3 kutoka SA, mambo yangu si mabaya. Hiyo hela niliyopoteza nimeirudisha ndani ya siku kama 3 hivi
 
Attachments

  • IMG-20170317-WA0031.jpeg
    IMG-20170317-WA0031.jpeg
    57.4 KB · Views: 153
Kwanin umemrusha mchumba wangu huku wakati hajavaa wigi ,si ungerusha alovaa wigi lakin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu nitokee uko. Nilikwambia unitext sijaona text yako, tumia ile namba ingine sio ya SA.

Tangu nijue kua DAB na bwana yule ni wasukuma, nimewazarau wasukuma wote aisee.[emoji23]
 
Back
Top Bottom