Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Baada ya kusoma maelezo ya mwanzo na replies zako kwa maswali na comments za wakuu mbalimbali katika uzi huu, na kama nimeelewa vizuri kuhusu umri wako, kuna sehemu umesema unataka uwe na kampuni 5 kabla ya kufika miaka 25, ikiwa na maana hujafikisha miaka 25. Hii inanipa shida kuamini kwamba uko below 25, au labda sijaelewa vizuri kuhusu hilo la kabla ya 25 years. Mkuu kama hutojali, ufafanuzi pls.