Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
Mkuu ruvu unalima maeneo gani boss, nifanyie connection ya shamba broo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nami ni beginner mwenzio,ila kuna hizo heka 26 zinauzwa,the best thing I can do ni kukupa namba ya muuzaji na bei ameanza nayo,nadhani ukitaka pungufu atakupaMkuu ruvu unalima maeneo gani boss, nifanyie connection ya shamba broo
Kuweza kuzifanyaje mkuu?Mimi nimepata ekari kumi,kuna ekari 26 zimenishinda.Mpitimbi ukiweza they are all yours
Mkuu pole,pia nimechanganya Ruvu,na Ruvuma.Nilimaanisha RuvumaKuweza kuzifanyaje mkuu?
Huko ruvuma na mm ndio nililenga haswa,,Mkuu pole,pia nimechanganya Ruvu,na Ruvuma.Nilimaanisha Ruvuma
Bei halisi ni laki moja hadi moja na nusu kwa heka."Huyu bwana" mwenye ekari 26 anataka laki mbili na nusu kwa ekari,labda ukinegotiate naye mtaelewanaHuko ruvuma na mm ndio nililenga haswa,,
Aisee nashukuru sna mkuu,,km utaweza kunipm nitafurah nipate namba yake,,na ni pori au shamba as shamba?Bei halisi ni laki moja hadi moja na nusu kwa heka."Huyu bwana" mwenye ekari 26 anataka laki mbili na nusu kwa ekari,labda ukinegotiate naye mtaelewana
Nimeshakupm mkuu,ni Shamba,alikuwa analima kahamia MbeyaAisee nashukuru sna mkuu,,km utaweza kunipm nitafurah nipate namba yake,,na ni pori au shamba as shamba?
Nilitaka kwanza nianze na kukodi mkuu, price yao inachezaje?Mkuu nami ni beginner mwenzio,ila kuna hizo heka 26 zinauzwa,the best thing I can do ni kukupa namba ya muuzaji na bei ameanza nayo,nadhani ukitaka pungufu atakupa
Kwa mujibu wa mwenye Shamba ni elfu 60 kwa ekari,ila naamini unaweza pata kwa 40.ukibahatika hata 30Nilitaka kwanza nianze na kukodi mkuu, price yao inachezaje?
Na mm ni pm pia mkuu,Nimeshakupm mkuu,ni Shamba,alikuwa analima kahamia Mbeya
Bei nzuri sana mkuu, ni mapori??Kwa mujibu wa mwenye Shamba ni elfu 60 kwa ekari,ila naamini unaweza pata kwa 40.ukibahatika hata 30
Mkuu utakapotaka kwenda kuyaona nistue tufunge wote safari,nimehamasika kiasi flaniNmeipata asante sana
Usijali mkuuMkuu utakapotaka kwenda kuyaona nistue tufunge wote safari,nimehamasika kiasi flani
Daaaa mkuu hebu niunganishe na hao wadau wako maana Mimi tayari ninao hao kuku wana week ya tatu sasa. Na Nina fugia maeneo ya Kitunda mkuu, maana Mara ya kwanza sikupata faida, kwani niliuza kuku mmoja tzs 5000 wakati huo mfuko mmoja nilikua nanunua kwa tzs 70000, ila sikukutaka tamaa nimerudia tena sitaki tena kilichonikuta tena mwanzo kinikute, maana Mimi mwenyewe Niko Chuo mkuu nimetumia boom kufanya hii projectChannels zangu nyingi ziko Dar, kama ungekua unafugia Dar ningekuunganisha na wadau wangu, huitaji hata kufikisha nusu ya uzito wa 2.5 kg. Huku ni mwendo wa 0.9-1.2 kg, ilimradi kuku awe na kidari cha kueleweka.
Arusha sifahamu vzr kuhusi hii industry, but pia ningekushauri kama utaweza fanya kitu ki1. Ongea na bucha kama 4 hivi uwapange kua unazalisha kuku na uingie nao partnership ya kukuuzia kuku wapo, huku wakipata faida ya 500 kwa kila mfuko m1. Baada ya hapo zalisha kuku at least awe na 1 - 1.1 kg, then fanya packaging nzuri kisha uza bei ambayp haitofautiani sana na bei ya kilo ya ng'ombe. Kama ng'ombe ni 6500 wewe uza kwa 7500 (jero ni ya bucha), hata kama faida yako ni 1000 usiwe na shaka, maana kwa kuku 1000, una mil 1 as profit. View attachment 512832Kitu kama hiki.
Hizo ni bei za kukodi,ni Shamba lililowahi kulima,siyo poriBei nzuri sana mkuu, ni mapori??