Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Unafuga kuku gani?! Hybrid, Broilers ama Layers?
Nafuga broilers

bei za vyakula huku Moro ni alfu 70kwenda juu
(Silver land,fugo,hill)

Pia Pumba ya mahind kwa gunia LA plastick kumi ni sh 35,000_40,000/

Bei ya Kuku iliopo sokoni ni 6000 /
 
ONTARIO Kuna issue nimekuuliza kuhusu aina ya mbegu za mahindi na mpunga nadhani utakuwa hujaliona swahili langu. Ni mbegu gani unapanda
Samahani boss nililipita swali lako.

Mahindi natumia mbegu ya East African Hybrid seed, hii inatoka Kenya.

Mpunga nilinunua mbegu kutoka NAFCO.
 
Nafuga broilers

bei za vyakula huku Moro ni alfu 70kwenda juu
(Silver land,fugo,hill)

Pia Pumba ya mahind kwa gunia LA plastick kumi ni sh 35,000_40,000/

Bei ya Kuku iliopo sokoni ni 6000 /
Boss mimi binafsi niliacha kutumia vyakula vya kununua miaka mi3 iliyopita. Hao jamaa wanapiga profits kubwa sana, huku wewe wanakuacha na faida ndogo au ukatoka kapa kabisa endapo vifo vikiwa vingi.

Mfano mimi gharama ya chakula changu ni 47,000.
 
Samahani boss nililipita swali lako.

Mahindi natumia mbegu ya East African Hybrid seed, hii inatoka Kenya.

Mpunga nilinunua mbegu kutoka NAFCO.
Mkuu swali langu pia umelipita,niongeze la pili.inakugharimu kiasi gani kuhudumia heka moja ya mpunga?na vipi faida kwa ekari moja ni kiasi gani?
 
Nafahamu JF kuna watu wanaonifahamu either kwa kuniona/kunisoma kwa media ama kumeet in person, naomba ufiche identity yangu kama mimi nilivyoamua kuificha. Ni suala la kuheshimiana tu. The goal is to be successful not to be famous.

Karibuni sana. Nitajitahidi kujibu maswali yote kadri niwezavyo.

Salute!!

Muhimu
Sitoi mawasiliano, na wala sitojibu P.M

Hongera sana Nyani Ngabu.

Wewe ni jembe haswa!
 
Mkuu swali langu pia umelipita,niongeze la pili.inakugharimu kiasi gani kuhudumia heka moja ya mpunga?na vipi faida kwa ekari moja ni kiasi gani?
Boss nikumhushe swali lako.

Sijawahi kulima mpunga wa msimu wa mvua, mara zote nimekua nikimwagilia maji. Gharama hua natumia 700k - 800k kwa hekari 1 mpk kuvuna.

Hekari hua napata average ya gunia 13 za kilo 100 za mpunga. Na kila kilo 1 hua nauza 1300 - 1400, so hekari 1 hua napata faida isiyopungua Milioni 1.
 
Unachukua Muda gani kulima hadi kuvuna vipi hizo gharama jumla na gharama ya kukodi shamba
 
Boss mimi binafsi niliacha kutumia vyakula vya kununua miaka mi3 iliyopita. Hao jamaa wanapiga profits kubwa sana, huku wewe wanakuacha na faida ndogo au ukatoka kapa kabisa endapo vifo vikiwa vingi.

Mfano mimi gharama ya chakula changu ni 47,000.
Sawa nimekupata

Ila sasa nilikuwa naomba unisaidie ratio ya chakula cha broiler
Stats,grower na finisher

Pia mfano Kuku 500 unalisha mifuko mingapi?
 
Unachukua Muda gani kulima hadi kuvuna vipi hizo gharama jumla na gharama ya kukodi shamba
Mpunga kwa mbegu ninayotumia ni miezi mi4. Lkn mwaka huu bei ya mpunga nimeuza juu sana sana, hiyo 1400 ni kipindi ambacho mchele upo mwingi mtaani.
 
Hakuna mtu duniani atakupa feed formula hata ufanyaje boss, hapa nisikufiche. Sawa na Cocacola kutoa formula ya vinywaji vyake.

Kuku 500 hawatakiwi kula zaidi ya mifuko 26 ya kilo 50
 
Boss nikumhushe swali lako.

Sijawahi kulima mpunga wa msimu wa mvua, mara zote nimekua nikimwagilia maji. Gharama hua natumia 700k - 800k kwa hekari 1 mpk kuvuna.

Hekari hua napata average ya gunia 13 za kilo 100 za mpunga. Na kila kilo 1 hua nauza 1300 - 1400, so hekari 1 hua napata faida isiyopungua Milioni 1.
Shukrani, jibu zuri,I will go for maize,niliulize upya swali langu,kwa ajira isiyo na tija ni vema mtu kuachana nayo akalime let us say heka kumi kwa kanuni za kilimo atatusua?
 
Back
Top Bottom