Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Thanks for your reply bro.

1. Kupanua uzalishaji wa bidhaa
Then
2. Kuteta soko jipya kama kenya, uganda, rwanda?

Una links za Grants?! Mtaji ni changamoto!!

1. Kupanua uzalishaji wa Bidhaa maana yake ni kua bidhaa unazozalisha ni chache kuliko mahitaji ya clients wako. Kama bado unastruggle kupata clients, njia 1 na rahisi ni kuadd new features kwenye product yako ambayo wengine hawana, hata aina ya packaging pekee inaweza kukutofautisha, pia kuangeza quantity kwa bei ile ile.

Unajua kwenye biashara kitu cha kwanza kbs ni kuWin people's hearts, then ukitoka hapo ndio uanze kufikiria kutengeneza faida. Kama hauna consistent clients hauwezi kutoa products zako hivyo hauwezi kutengeneza faida. Kwahiyo uwe tayari kuingia gharama za kuwavutia wateja ambayo wazungu wanaita 'client acquisition'.

2. Mimi nahisi kwa products zako soko la ndani lenyewe ni kubwa sana, nahisi bado haujafanya utafiti wa kutosha. Lkn again sio mbaya kuingia kwenye soko la nje kama upo tayari.

Mimi mwaka jana nilivuna vitunguu November, lkn soko la bongo lilikuwa ovyo mno mno. Ukienda Kkoo na Buguruni bei ni elfu 70-80 wakati kipindi kama hiko mwaka 2015 bei ilikua 180k. So nilichokifanya ni kuuza Kenya, nilienda kwa bus hadi Nairobi, nikakutana na madalali wakanipa dira na kila kitu. Baadae nilivuna na kuuza mzigo wangu Garissa krb na mpaka wa Somalia kusini mwa kenya mbapo niliuze kwa bei mara 3 ya iliyokuepo bongo.
 
u are blessed..nasema tena MUNGU kakupendelea!
kuna wenzio wanajaribu lakini vikwazo lukuki mpaka wanakata tamaa.
mshukuru na utoe sadaka yako ya shukrani..hata ulija kuvuna hayo mahindi chukua japo gunia tatu nne wape vituo vya yatima kwani mda mwingine wanalala njaa.utajiongezea baraka!!
Thanks kwa ushauri boss.

Mimi naamini kitu kimoja, labda tunaeza kutofautiana kidogo. Ni hivi - kila mtu alibarikiwa since day 1, na kila mtu alipewa nguvu na mamlaka ya kufanya kile akitakacho kama hakimkwazi Mungu.

Biblia kitabu cha Luka 10-19 inasema "Tazama, nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru". Hii inaonesha kila mtu alipewa amri ya kupambana na obstacles zote, ni kwamba tu kuna wengine wanaishia kati kwa sababu zao binafsi wala sio kwamba hawakubarikiwa.

Again, giving back to community sijaanza leo.
 
Hakuna biashara kubwa boss, ni perception ya mtu na mtu. Yani sawa na huu mfn, dadangu Miss Natafuta hapa kaniita Dogo, lkn sehemu nyingine nikienda naamkiwa. Hapa unaona biashar ni kubwa lkn mm ndio kwanza naona nacheza makida.

Iko hivi, biashara ambayo iko imara ni ile yenye 'strong foundation'... na kutengeneza foundation imara inabidi biashara uanze nayo chini, huku unagrow mdogo mdogo, hapo kati utajifunza kila kitu kuhusu hiyo biashara, na kadri inavyokua na wewe pia unakua. Ni sawa na kusoma, mtu haanzi kusoma form 1 - lkn mtoto ambae hajafika form 1 anaona wale ambao wapo form 1 ni magenius ama god fathers. unaanza la kwanza pole pole hadi ufike chuo. Same applies to business.
Wizara ya viwanda na biashara 2002 ilitotoa grade za mitaji ya kifedha kwa biashara ndogo, kati na kubwa
Kwamba mfanyabiashara Mdogo ni yule mwenyewe mtaji kuanzia million 0 mpaka 200m, kat 201m to 800m na mkubwa ni yule mwenye 801m to billions
Vp utakuwa unajua kwa sasa wana categorize kwa viwango vip?
Ndogo, kati na kubwa kwa level ya Tanzania
 
Mpaka hapa shukran nying sana kwako mana nimejua kitu tayar kupitia ww
.
.
.
Kyenekyaka
 
Mkuu nakupa shukrani sana kushare na sisi ideas.
 
Wizara ya viwanda na biashara 2002 ilitotoa grade za mitaji ya kifedha kwa biashara ndogo, kati na kubwa
Kwamba mfanyabiashara Mdogo ni yule mwenyewe mtaji kuanzia million 0 mpaka 200m, kat 201m to 800m na mkubwa ni yule mwenye 801m to billions
Vp utakuwa unajua kwa sasa wana categorize kwa viwango vip?
Ndogo, kati na kubwa kwa level ya Tanzania
Mid sized companies kwa Bongo unabidi uwe na turn over ya bil 1 - 20 kwa mwaka.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ontario unafanyaje hadi unapata faida

Maana na Mimi nafuga lakin nahisi kuacha maana chakula kimepanda sana bei na bei ya kuuzia ni ile ile

Nimejaribu kununua malighafi lakn bado naona gharama ziko juuu
 
Ontario unafanyaje hadi unapata faida

Maana na Mimi nafuga lakin nahisi kuacha maana chakula kimepanda sana bei na bei ya kuuzia ni ile ile

Nimejaribu kununua malighafi lakn bado naona gharama ziko juuu
Unafuga kuku gani?! Hybrid, Broilers ama Layers?
 
Mkuu ONTARIO naomba kujua unapozungumzia mtaji wa kwanza ulipata JKT,ina include hilo banda?kwa mtu aliyechelewa,akijicommit na kilimo heka tano hadi kumi na ufugaji kidogo anaweza kutoka na kukaribia hata robo ya level yako?Pia ni busara kuacha ajira ambayo unaona haitakufikisha mbali ukasimamie mradi wako?
 
Back
Top Bottom