Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Nakukubali kaka, na leo umeondoa swali mojawapo lililokuwa linanisumbua kwamba huyu ontani mbona hajawah onesha mradi wake by picha, hata zile interview ulizofanyiwa za video serious wanabinya tu kisehem basi yan as if hakuna reality bt leo nimekupata vyema kbsa.."ilibid nikusake na nikakupata boss wa panki'" lol jokin....mm ni kijana mwenzio mjasiriamali mwenye kiu ya kufika pale ninapotaka either kwa ngeu au soft skin! Karibu sna endelea kutoa hamasa
 
Daaah kwenye biashara naona nicheza makidamakida nilijaribu kufuga kuku wa nyama niliishia kuwauza kwa mkopo hadi leo sijajua nilipokosea sasa nilipoona picha za kuku nimekumbuka mbali natamani kurudia biashara hiyo lakini soko imekuwa kikwazo sana kwa mkoa nilipo.........unakuta wapo walioshika soko kwa muda sasa wewe inakutia kwenye mahangaiko sana
● Uliwafuga mkoa gani?!

●Ulifanya utafiti wa masoko kabla haujaanza kuwafuga?!

●Ukianza kuwafuga upya niombe ushauri... nitaona vipi naweza kukuunganisha na watu watakaonunua bidhaa yako.

●Ulikopitia nami nimetokaka huko huko, usipokua kune channel huezi elewa nini kinafanyika, so unaishia kua na kuku bandani lkn mteja humuoni.
 
ONTARIO nakuelewa sana boss,, shukrani sana kwa kila unacho share nasi, mm nahitaji taarifa sahihi kuhusu kilimo cha muhogo mana nataka kulima kuanzia mwaka huu mwz wa 9 huko vigwaza pwani na eneo lingine ni kimbiji

na muhogo unaolima ww uliwahi kulima kabla?
 
Boss mwezi wa 10 ndio muda muafaka wa kilimo cha mihogo, kwenye zile vuli. Japo mimi nilichelewa lkn kiukweli mvua hizi zimeniboost sana.

Nunua mbegu ya Monsanto inaitwa VIRCA, hii kitu ni mkombozi, haishikwi ma magonjwa ya kipuuzi puuzi. Ukifata principles na ukiwa na soko la uhakika utapiga pesa nzuri, 1.5-2 mil faida kwa hekari... na si unajua hiki kilimo ni cha kimaskini, gharama za uzalishaji ni reasonable sana hasa mvua zikikubali. So ukianza zako na heka 10, unaeza ukapata pata tufaida twa kulimia heka 50.
 
● Uliwafuga mkoa gani?!

●Ulifanya utafiti wa masoko kabla haujaanza kuwafuga?!

●Ukianza kuwafuga upya niombe ushauri... nitaona vipi naweza kukuunganisha na watu watakaonunua bidhaa yako.

●Ulikopitia nami nimetokaka huko huko, usipokua kune channel huezi elewa nini kinafanyika, so unaishia kua na kuku bandani lkn mteja humuoni.

  • Arusha
  • sio kwa kiasi kikubwa nilitembelea hotel chache lakini baadae nilikuja kugundua wana watu wao wanaowauzia
  • nashukuru sana mkuu ngoja nijipange nitakutafuta
  • kama kipindi cha mwisho kufuga kilinipa wakati mgumu sana na ndio kilinikatisha tamaa kabisa........niliwasiliana na hotel chache wakaniambia niwalishe wafikishe 2.5kg watanunua kwa bei nzuri nikafanya hivyo daah walipofikisha kilo hizo kuwarudia wakasema hakuna biashara nilichanganyikiwa.
  • kwenye biashara hutakiwi kukata tamaa lakini mie hapo ilinishinda
 
Nataka nianze biashara ya mazao ya nafaka, hasa Mchele nitoe mbeye then Nipeleke tanga

Nina Tzs 5m,je nianzaje?
Boss hiyo biashara sijawahi kuifanya, so nitakua nakudanganya. Lakini nachoweza kukushauri usiogope kujifunza kwa watu. Wajasiriamali wengi wana ile kitu kujishtukia. kutana na players walio kwenye hiyo biashara then anza kuwadadisi ili kupata taarifa, usijishtukie mkuu, we ongea nao. Pia njia rahisi ni kufika huko unapopeleka mzigo na kujua wateja wanasemaje.
 
Kuna msemo wazungu wanasema "No one is busy, it's just a matter of priorities".

Niseme tu wazi, kuRun biashara ukiwa umeajiriwa ni changamoto kubwa sana sana. Unajua biashara yoyote inakuja na risks nyingi, na unapokua mbali na biashara yako, basi unaongeza risk juu ya risk ambazo hauzimanage wewe kama wewe. Mimi nikiwa nasoma chuo ilikua rahisi, as you know elimu yetu chuo haiko tight sana, inakupa muda mwingi wa kua free... hata usipoattend lectures mchana usiku unaeza kesha na ukawa hauna utofauti na aliyeingia pindi.

Changamoto ilikuja kipindi cha field (sisi tunaita Practical training). But ilikua rahisi kudeal na hii situation, na inaweza kuwork hata kwako.

**Kuwa muwazi.
Kama mkataba wako unakuruhusu kumiliki biashara nje ya ofisi, basi usiwafiche waajiriwa wenzio, boss wako nk. Hii itakupa wewe advantage 1, endapo utakua na dharura basi wenzio hapo ofisini hawatakuwa na maswali mengi ya utata utata, so itakufanya ww uwe usijifeel insecured. Kama Boss wako ni mwelewa itakua rahisi zaidi kwako.

**Strong team.
Hapa ndio inabidi uweke nguvu nyingi zaidi. Kuwa na team makini kwenye biashara yako kwa kiasi fulani itaweza kufeel ile gap ya wewe kutokuwepo. Team ambayo kila mtu yupo accountable, integrity ya hali ya juu na watu wanaothamini unachofanya. Pia unaweza kuwapa motisha kwa kuwaahidi equity ktk kampuni. Mfn kuwaambia, kama biashara itatengeneza faida ya mil 10 kwa mwezi, basi nitawapa 20% kama bonus. Hii inawapa morale ya kupiga mzigo haswa.
Hapo kuwa mwazi kwa wafanyakaz wenzak na bosi nimekuelewa sana mkuuu wengi huwa wana kwama hapo kufanya vitu kimya kimya
 
Boss mwezi wa 10 ndio muda muafaka wa kilimo cha mihogo, kwenye zile vuli. Japo mimi nilichelewa lkn kiukweli mvua hizi zimeniboost sana.

Nunua mbegu ya Monsanto inaitwa VIRCA, hii kitu ni mkombozi, haishikwi ma magonjwa ya kipuuzi puuzi. Ukifata principles na ukiwa na soko la uhakika utapiga pesa nzuri, 1.5-2 mil faida kwa hekari... na si unajua hiki kilimo ni cha kimaskini, gharama za uzalishaji ni reasonable sana hasa mvua zikikubali. So ukianza zako na heka 10, unaeza ukapata pata tufaida twa kulimia heka 50.
shukrani boss,,na hapo kwenye mbegu ndo nnapohitaji ufafanuzi wa kina mana mpk ss hv nafahamu mbegu za aina 3 tu,, hiyo ulonambia inapatikana wapi na gharama zake zikoje? pia nahitaji consultation kuhusu kulima mazao ya bustani kama nyanya,hoho na bamia, wapi naeza pata boss
 
  • Arusha
  • sio kwa kiasi kikubwa nilitembelea hotel chache lakini baadae nilikuja kugundua wana watu wao wanaowauzia
  • nashukuru sana mkuu ngoja nijipange nitakutafuta
  • kama kipindi cha mwisho kufuga kilinipa wakati mgumu sana na ndio kilinikatisha tamaa kabisa........niliwasiliana na hotel chache wakaniambia niwalishe wafikishe 2.5kg watanunua kwa bei nzuri nikafanya hivyo daah walipofikisha kilo hizo kuwarudia wakasema hakuna biashara nilichanganyikiwa.
  • kwenye biashara hutakiwi kukata tamaa lakini mie hapo ilinishinda
Channels zangu nyingi ziko Dar, kama ungekua unafugia Dar ningekuunganisha na wadau wangu, huitaji hata kufikisha nusu ya uzito wa 2.5 kg. Huku ni mwendo wa 0.9-1.2 kg, ilimradi kuku awe na kidari cha kueleweka.

Arusha sifahamu vzr kuhusi hii industry, but pia ningekushauri kama utaweza fanya kitu ki1. Ongea na bucha kama 4 hivi uwapange kua unazalisha kuku na uingie nao partnership ya kukuuzia kuku wapo, huku wakipata faida ya 500 kwa kila mfuko m1. Baada ya hapo zalisha kuku at least awe na 1 - 1.1 kg, then fanya packaging nzuri kisha uza bei ambayp haitofautiani sana na bei ya kilo ya ng'ombe. Kama ng'ombe ni 6500 wewe uza kwa 7500 (jero ni ya bucha), hata kama faida yako ni 1000 usiwe na shaka, maana kwa kuku 1000, una mil 1 as profit.
12814553_1348806908470202_6351445037072420432_n.jpeg
Kitu kama hiki.
 
Channels zangu nyingi ziko Dar, kama ungekua unafugia Dar ningekuunganisha na wadau wangu, huitaji hata kufikisha nusu ya uzito wa 2.5 kg. Huku ni mwendo wa 0.9-1.2 kg, ilimradi kuku awe na kidari cha kueleweka.

Arusha sifahamu vzr kuhusi hii industry, but pia ningekushauri kama utaweza fanya kitu ki1. Ongea na bucha kama 4 hivi uwapange kua unazalisha kuku na uingie nao partnership ya kukuuzia kuku wapo, huku wakipata faida ya 500 kwa kila mfuko m1. Baada ya hapo zalisha kuku at least awe na 1 - 1.1 kg, then fanya packaging nzuri kisha uza bei ambayp haitofautiani sana na bei ya kilo ya ng'ombe. Kama ng'ombe ni 6500 wewe uza kwa 7500 (jero ni ya bucha), hata kama faida yako ni 1000 usiwe na shaka, maana kwa kuku 1000, una mil 1 as profit. View attachment 512832Kitu kama hiki.

Asante sana kwa kujali

Nitalifanyia kazi kama kuna wazo lingine nitakutafuta kwa ushauri. Asante
 
Nakukubali kaka, na leo umeondoa swali mojawapo lililokuwa linanisumbua kwamba huyu ontani mbona hajawah onesha mradi wake by picha, hata zile interview ulizofanyiwa za video serious wanabinya tu kisehem basi yan as if hakuna reality bt leo nimekupata vyema kbsa.."ilibid nikusake na nikakupata boss wa panki'" lol jokin....mm ni kijana mwenzio mjasiriamali mwenye kiu ya kufika pale ninapotaka either kwa ngeu au soft skin! Karibu sna endelea kutoa hamasa
Hahahaaa mkuu huku ni kunisingizia kabisa, mimi bana mbona sinyoi mapanki boss.
 
shukrani boss,,na hapo kwenye mbegu ndo nnapohitaji ufafanuzi wa kina mana mpk ss hv nafahamu mbegu za aina 3 tu,, hiyo ulonambia inapatikana wapi na gharama zake zikoje? pia nahitaji consultation kuhusu kulima mazao ya bustani kama nyanya,hoho na bamia, wapi naeza pata boss
Sijui kama unapafahamu Mwenge sehemu 1 inaitwa Pembejeo... kuna office za AGRA hao wanazo hizo mbegu.
Kuhusu kilimo cha bustani unaweza kupata wataalamu kutoka SUA ama Balton.
 
Hahahaaa mkuu huku ni kunisingizia kabisa, mimi bana mbona sinyoi mapanki boss.
Hahaaa potezea mkuu cha msingi output ndio niliohitaji hivyo vingine mbwebwe tu! Kale kadada ka MC ka kichina sijui siku ile unaelezea challenges anazopata kijana kwenye ujasiriamali kalikuwa kanakulook sana lol,..

Mm nipe ujanja wa namna ya kupata na kuingia contract za masoko hapa bongo au tasisi za nje.
 
Sijui kama unapafahamu Mwenge sehemu 1 inaitwa Pembejeo... kuna office za AGRA hao wanazo hizo mbegu.
Kuhusu kilimo cha bustani unaweza kupata wataalamu kutoka SUA ama Balton.
hamna shaka boss,, nitafika hapo Pembejeo na Balton cosultation huwa wanachaji au ts free?

btw hongera sana na unafanya vyema sana kutu inspire vijana wenzio,,tunasubiri na mrejesho wa forex trading boss
 
Nashukuru sana kwa katupa tumaini katika ujasiriamali,Mimi ni mwajiriwa Lakini najishughulisha na ujasiriamali ili kukuza kipato,ninayo biashara ambayo nimeanzisha miaka kama 3 Lakini sasa nataka kununuwa mahindi mikoa ya kusini na kuistake alafu niuze kwa baadaye, naomba unipe mawazo yako mkuu
 
Hahaaa potezea mkuu cha msingi output ndio niliohitaji hivyo vingine mbwebwe tu! Kale kadada ka MC ka kichina sijui siku ile unaelezea challenges anazopata kijana kwenye ujasiriamali kalikuwa kanakulook sana lol,..

Mm nipe ujanja wa namna ya kupata na kuingia contract za masoko hapa bongo au tasisi za nje.

Hahaa yule demu ni mThailand au Cambodia si mchina. Boss unaelezea km vile ulikuepo eneo la tukio, haha haha eti siku ile.

Kuhusu kupata big deals, la msingi kbs ni kuwa na 'exceptional products', toa bidhaa ambayo itam-wow client wako. Kisha know the right people, JK anasemaga - ukitaka kula, kubali kuliwa. Hope umenielewa, hasa kwa haya mazingira yetu kibongo bongo.
 
hamna shaka boss,, nitafika hapo Pembejeo na Balton cosultation huwa wanachaji au ts free?

btw hongera sana na unafanya vyema sana kutu inspire vijana wenzio,,tunasubiri na mrejesho wa forex trading boss
Watu hamsahau. Hahaa jamani wabongo tunapenda sana kupiga hela bila jasho. Kuna jamaa yng, nilikutana nae humu humu JF tangu 2013. Nilimpa majukumu ya kufatilia taratibu za forex business kwa hapa Bongo, lkn BoT ni kikwazo kikubwa sana. But nikianza kusaka hizo papers mimi km mimi kitaeleweka tuu.

Office space nishapata Posta, vijana wanaFurnish. Nimeshapata trainers wa3 kutoka SA ambao ndio watakua wanafanya trainings kwa wanafunzi. Pia nimeshaingia makubaliano na Brokerage company na bank ya FNB. So let's see tutafika wapi.
 
mi naamini utafika popote tu unapotaka ww and i wish u all the best bro,, btw kuhusu sie wabongo kupenda kupiga hela bila jasho ni kwamba wengine mpk time hii tushatoka sana jasho na hela tunayotaka bdo hatujaipata so mm na fursa ni km zombi na damu boss,,teh hehe
 
ONTARIO Kuna issue nimekuuliza kuhusu aina ya mbegu za mahindi na mpunga nadhani utakuwa hujaliona swahili langu. Ni mbegu gani unapanda
 
Back
Top Bottom