Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Boss unategemea swali kama hili naweza kukujibu?! I am open, but not to that extent. Na hata ukijua inaeza isikusaidie kitu sheikh wangu.
ha ha...kuna kitu mi nilitaka nijifunze hapo Ila poah
 
Naomba msaada hapa ndugu yangu, maana mie nimepanda mahindi mabichi dodoma mwezi uliopita, bado sijatafuta soko japo naamini nitapata soko, je? Kuna dawa ama mbolea yoyote napaswa kutumia?
 
Mpaka hapo umeshamaliza na nimekuwa speechless, kwasababu maelezo na husle zako zimenifunza vitu vingi sana.
Na nahisi kwamfano shule zetu zingekuwa zinafundisha ishu kama hizi za ujasiriamali &ufundi since primary nadhani tungepiga hatua sana.
Big up.!!
 
Laki 3 kwa sasa haitakufikisha sehemu boss, kama ungekuwa na vifaa say feeders, drinkers nk ungeweza kuanza na japo broilers 50. Napo faida itakua kiduchu sana
Mtaji unao hitajika ni kiasi gan kama tayari unalo banda??
 
Hongera sana Mkuu unaweza kutusaidia taratibu na njia za kufuata ili kujiunga na FOREX maana naona itakua njia nyepesi kwa vijana kunyanyuka katika kufikia malengo yetu ya kila siku(Kama utaweza kutusaidia Link ya Web inayohusika na Mambo ya FOREX itakua vyema sana) Asante
 
Mkuu laki 4 hiyo ni kila kitu? Pamoja na kununua water pump, mabomba, na vitu vyote?
 
Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye forex,nami nipate kitu.
Hii ndio biashara yenye liquidity kubwa kuliko biashara nyingine yoyote duniani. Kwa siku Dollar trillion 5 zinazunguka kwenye forex trading. Sidhani kama kuna tajiri yoyote mkubwa asiyefanya hii kitu, banks zote unazoziona hapa duniani wanafanya hii kitu, hela zetu tunazowapa kupitia fixed account wanazitupilia huko kwenye forex, hii mikopo ni geresha tu.

Kifupi ni kutrade pesa za kigeni... siongelei bureau exchange hapa.

Tafuta kitabu kinaitwa currency trading for dummies, utapata mwanga.
 
Hebu nieleze hio forex ndio nini make nmegoogle na sijaelewa kabisa
 
Asante, nakubaliana na wewe, kwa sababu usomaji vitabu mbalimbali unaongeza uwezo wa kufikiri na utulivu zaidi akilini
 
Mkuu ubarikiwe,nilikua nataka hilo tu,ilikua akilini kitambo.
 
Boss unategemea swali kama hili naweza kukujibu?! I am open, but not to that extent. Na hata ukijua inaeza isikusaidie kitu sheikh wangu.
Kwanin umemrusha mchumba wangu huku wakati hajavaa wigi ,si ungerusha alovaa wigi lakin
 
Boss nikutahadharishe, tena niseme kwa capital letters TAKE CARE, Sio kwamba nakutisha, but huu ndio ukweli.

Forex ina reward kubwa sana sana, leo naweza kuwa na mil 3, ndani ya wiki 1 nina mil 10. Na kuna uwezekano hii milioni kumi nikaipoteza ndani hata ya siku 1.

Forex si kama biashara ya kununua pweza, awachemshe kisha jioni upange kacholi, kabab na supu ya pweza kwenye meza usubiri wateja walete pesa.

Hii kitu ni very very technical, inabidi uwe na uelewa mkubwa sana wa hii biashara. Kuna vitu vingi sana vya kuzingatia hadi uwe profitable trader.

Mimi nilisoma vitabu vingi kwa miezi mi4 mfululizo, nikaanza kutrade kwa $2300. Nikaikuza hadi kufikia $12,000 ndani ya kama wiki 4 hivi. Lakini ni siku 1 tu nilipoteza karibia mil 20. Ukiwa na right people around you, inakua rahisi. Kwa sasa nina mentors wa3 kutoka SA, mambo yangu si mabaya. Hiyo hela niliyopoteza nimeirudisha ndani ya siku kama 3 hivi
 

Attachments

  • IMG-20170317-WA0031.jpeg
    57.4 KB · Views: 153
Kwanin umemrusha mchumba wangu huku wakati hajavaa wigi ,si ungerusha alovaa wigi lakin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu nitokee uko. Nilikwambia unitext sijaona text yako, tumia ile namba ingine sio ya SA.

Tangu nijue kua DAB na bwana yule ni wasukuma, nimewazarau wasukuma wote aisee.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…