Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Sitoi kiki boss. Bundle ni langu kwanini unipangie cha kupost?!

Kwani certified mdokozi ni jina lililopo kwenye passport yako, au unaleta tu unafiki.
passport naitoa wapi ? Ungenipuuza kaka wajasiliamali si wakujibishana na watu kama mm just keep on telling the story
 
Asante, nashukuru sana kaka
 
Dah yaani unaposema kukutana na watu sahihi umenikumbusha wakati nilipoanza biashara ya viazi vya chips, jamaa alinifanyia uhuni akanipatia mbegu za viazi badala ya viazi vyenyewe, nikapata hasara ya 7M
 
Mkuu uko vizuri sana kuna maswali nilikuwa najiuliza hasa baada ya mada yako ile kuwa huyu kijana mtaji wa kuanzia hiyo biashara anayoisema aliutoa wapi ila sasa mada hii imenifungua macho zaidi na nimekuelewa vyema..........hiyo project ya kufuga kuku niko naipigia garamba nadhani by nezt year itakuwa hewani Mungu ajaalie
Lakini naomba msaada wako ili niweze kupata mashine za kupanda mpunga na kuvuna mpunga kwa kukodi ni kazi ambayo naiwazia sana kilichonikwamisha ni namna ya kuzinunua ila nishaona urahisi nimeona labda nikikodi naweza fanikiwa,naomba unijuze hapo
 
Kiongozi nafuatilia sana haya mambo ya forex trading lakin bado sijaielewa namna inavofanya kazi je ni website ipi nzuri kwa beginners... Ntashukuru
 
We jamaa sio mchoyo ndio maana unafanikiwa,kupata mtu mwenye biashara na kushare mafanikio yake ni ngumu sana kwa dunia yetu,..kuna jamaa zangu wao hata kwenye kubet tu anakunyima mkeka wa sure,anataka kula yeye tu,ndio maana hawatajiriki wakati wana umri sawa na kampuni za kubeti!...so big up bro,keep up the good spirit of sharing.
 
Mkuu [HASHTAG]#ONTARIO[/HASHTAG] umesema hapo juu kuwa inawezekana, nisaidie jinsi gani ninaweza wekeza laki 3 kwenye forex trading nikapata faida ya milioni moja kwa mwezi?
 
Kwani haiwezekani?
 
Kwani haiwezekani?
Inawezekana mkuu. Hapo nilitaka ufafanuzi wa umri wake maana alivyofikia hatua hizo kibongobongo ni ngumu, lakini ukipata maelezo kutoka kwa mhusika inakua nzuri zaidi na pia swali hilo linaamsha mhusika atiririke zaidi. Hata hivyo yeye alinielewa na jibu alilotoa nilimuelewa.
 
Hongera mkuu, ipo siku tutakutana huko majuu acha na sisi tukaze buti
 
Kaka nashukuru kwa fursa hii, nataka kuanzisha biashara ya DAYCARE tafadhali nishauri kama unafaham chochote kuhusiana na biashara hii.
 
Hapana hao walio shika masoko kuna watu au aina fulani ya watu ambao inawalenga, wewe unaweza fanya biashara hiyo hiyo lakini market yako ni watu wa aina fulani tu, focus na watu hao, eels vionjo vinavyo wavutia komaa na subiri na soon utaona mabadiliko.
 
Asante sana mkuu unanipa moyo wa kuweza kurudi tena kwenye biashara hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…