Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Jamaa alikuwa anawaingiza watu kwenye 18 ili waingie wazimawazima Hahahahahaa,Ameanza na kuku 50 kisha mpaka kuzalisha kuku maelfu kwa mwezi hahahaaa,hapo hapo ana ekari 48 kapanda mahindi mara kabichi hahahaaaa.
Hutofanikiwa kwa throughout zako kama hauna ubongo kichwani, mwenzio anaendelea weunabaki na chuki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi bwana, picha ndo likaanzia hapa![emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja sana Mkuu sirjeff unajua sana kuhusu biashara najifunza mengi sana kwako
 
Mwamba hakuanzisha uzi kwa bahati mbaya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Namkubali sana huyu jamaa, yeye tayari alikuwa keshajua wateja wake wa FXatawatoa wapi na kwa njia gani.

Kaenda south katafuta maticha, kaenda posta kapata lengo, kaenda BoT kapata kibali hatua ya mwisho ilikuwa ni huu uzi

He is a genius
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…