Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
nina shamba morogoro nitafute next season nikupangishewapi nitapata mashamba ya kukodi ,eneo lenye rutuba na hali ya hewa nzuri hapa tzania?
all in all hongera sana dogo
Thanks for your reply bro.
1. Kupanua uzalishaji wa bidhaa
Then
2. Kuteta soko jipya kama kenya, uganda, rwanda?
Una links za Grants?! Mtaji ni changamoto!!
Naelewa haha haha haha. Wala sijakutolea mfn kwamba nimekasirika au kumind... just trying to show things in a wide dimension.ahahaaa sijakuita dogo kwa ubaya kwamba biashara ndogo au nini. i mean wewe kwangu ni mdogo .young bro .ila heshima ipo .
lina rutuba? linafaa kwa kilimo gani?nina shamba morogoro nitafute next season nikupangishe
Mkuu wewe ni mwenyeji kabisa wa Moro?nina shamba morogoro nitafute next season nikupangishe
Thanks kwa ushauri boss.u are blessed..nasema tena MUNGU kakupendelea!
kuna wenzio wanajaribu lakini vikwazo lukuki mpaka wanakata tamaa.
mshukuru na utoe sadaka yako ya shukrani..hata ulija kuvuna hayo mahindi chukua japo gunia tatu nne wape vituo vya yatima kwani mda mwingine wanalala njaa.utajiongezea baraka!!
hulimwa mahindi na viazi vitamulina rutuba? linafaa kwa kilimo gani?
mi nipo moro town shabani ni msowero kilosaMkuu wewe ni mwenyeji kabisa wa Moro?
Wizara ya viwanda na biashara 2002 ilitotoa grade za mitaji ya kifedha kwa biashara ndogo, kati na kubwaHakuna biashara kubwa boss, ni perception ya mtu na mtu. Yani sawa na huu mfn, dadangu Miss Natafuta hapa kaniita Dogo, lkn sehemu nyingine nikienda naamkiwa. Hapa unaona biashar ni kubwa lkn mm ndio kwanza naona nacheza makida.
Iko hivi, biashara ambayo iko imara ni ile yenye 'strong foundation'... na kutengeneza foundation imara inabidi biashara uanze nayo chini, huku unagrow mdogo mdogo, hapo kati utajifunza kila kitu kuhusu hiyo biashara, na kadri inavyokua na wewe pia unakua. Ni sawa na kusoma, mtu haanzi kusoma form 1 - lkn mtoto ambae hajafika form 1 anaona wale ambao wapo form 1 ni magenius ama god fathers. unaanza la kwanza pole pole hadi ufike chuo. Same applies to business.
asante msimu wa mahindi ni mwezi gani mkuu?hulimwa mahindi na viazi vitamu
Mid sized companies kwa Bongo unabidi uwe na turn over ya bil 1 - 20 kwa mwaka.Wizara ya viwanda na biashara 2002 ilitotoa grade za mitaji ya kifedha kwa biashara ndogo, kati na kubwa
Kwamba mfanyabiashara Mdogo ni yule mwenyewe mtaji kuanzia million 0 mpaka 200m, kat 201m to 800m na mkubwa ni yule mwenye 801m to billions
Vp utakuwa unajua kwa sasa wana categorize kwa viwango vip?
Ndogo, kati na kubwa kwa level ya Tanzania
Ni maeneo gani mkuu yanafaa kwa makazi ya kudumu na kilimo.mi nipo moro town shabani ni msowero kilosa
Unafuga kuku gani?! Hybrid, Broilers ama Layers?Ontario unafanyaje hadi unapata faida
Maana na Mimi nafuga lakin nahisi kuacha maana chakula kimepanda sana bei na bei ya kuuzia ni ile ile
Nimejaribu kununua malighafi lakn bado naona gharama ziko juuu