Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Huyu jamaa mwisho wa siku aliishia kuwabutua wazawa na michezo yake ya Forex. They never saw it coming! Greatest Con in the making
😁😁😁 mchizi noma sana,taaluma ya utapeli sijui kaisomea wapi? very professional😁😁
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mchizi noma sana,taaluma ya utapeli sijui kaisomea wapi? very professional[emoji16][emoji16]
Kwangu mm huyu jama ni hero pamoja na kwamba mnasema aliwatapeli,

Amenisaidia kunifumbua macho kwamba kuna biashara inatwa forex na kuanzia mwakani hii ndio itakuwa biashara yangu ya kuniwezesha kuishi.

Sijasoma kwa mtu yeyote zaidi ya kusoma mitandaoni.
 
Kwa nini unaficha sura?hzo project zako mbona husemi ziko wapi una ishia kutuonyesha picha tu.
Huna akili wewe uzi wa mwaka juzi then leo ndio unamuhoji mtu kama katoa leo mada.

Kweli sikila aliyepata nafasi ya kuona mwangaza ataufuata.
 
Huyu jamaaa ni professional katika utapeli...kafundishwa na wanigeria na wasauz....amewapiga sana watu aisee alafu akapepea kusiko julikana...nimepitia huu uzi, watu wanauliza maswali mshikaji yy kazi yake ni ku-like tu hata hajibu....pia kuna wapambe wake walikuwa wanajidai kujibu baadh ya hoja huku wakireact harshly any negativity comment kuhusu mshikaj....kiufupi ukialikwa kwenda kwenye fursa ujue wewe ndo fursa yenyewe
 
KW hyo mwka Jana hzo picha za kuku na mahindi alieleza anazifugia wapi?nielekeze nami nikashuhudie mafanikio yake kivitendo.au suea yke mwaka jani ilionekana?
Hivi wewe JF umejiunga lini kwanza tuanzie hapo unamjua member abate anayejulikana sula yake physically toka JF iwepo then uje hapa.

Unauliza kuhusu miradi ya Sir Jeff sasa sim yako inamuhimu gani kuitwa smartphone, nenda google Sir Jeff Dennis, nenda YouTube search Sir Jeff Dennis, Nenda tafuta nakala za gazeti zilizopita sikufundishi unazipataje, uliza ujifunze sio unakuja kibabe then ujui kitu, you need to use your fake id effectively kujifunza mambo boss sio kukulupuka.

Then unauliza sula yako mladi wako wewe hata simu yako tu umeonesha humu unatumia simu gani, mutataka muulize mpaka tuoneshe mke wako ukiwa kitandani.
 
Huyu jamaaa ni professional katika utapeli...kafundishwa na wanigeria na wasauz....amewapiga sana watu aisee alafu akapepea kusiko julikana...nimepitia huu uzi, watu wanauliza maswali mshikaji yy kazi yake ni ku-like tu hata hajibu....pia kuna wapambe wake walikuwa wanajidai kujibu baadh ya hoja huku wakireact harshly any negativity comment kuhusu mshikaj....kiufupi ukialikwa kwenda kwenye fursa ujue wewe ndo fursa yenyewe
Umenena vyema.atawpiga wenye bongo za kamasi tu huyu pimbi.
 
Hivi wewe JF umejiunga lini kwanza tuanzie hapo unamjua member abate anayejulikana sula yake physically toka JF iwepo then uje hapa.

Unauliza kuhusu miradi ya Sir Jeff sasa sim yako inamuhimu gani kuitwa smartphone, nenda google Sir Jeff Dennis, nenda YouTube search Sir Jeff Dennis, Nenda tafuta nakala za gazeti zilizopita sikufundishi unazipataje, uliza ujifunze sio unakuja kibabe then ujui kitu, you need to use your fake id effectively kujifunza mambo boss sio kukulupuka.

Then unauliza sula yako mladi wako wewe hata simu yako tu umeonesha humu unatumia simu gani, mutataka muulize mpaka tuoneshe mke wako ukiwa kitandani.
Nimejiunga na JF kabla hujanunuliwa simu.VP nimejibu swali lako.
 
"Kusumbuana na Mabenki", Nahitaji kujua zaidi kuhusu benki.
 
Dogo mshenzi sana...sasa haongei tena baada ya kupiga watu kwenye Forex...lakini amerudi kivingine najua
 
Mkuu Mimi nimeamua kujiajiri kwa kufanya biashara ya Mchele, mchele nautoa kahama na kuleta Moshi, nimeanza na tani 1, na pia nimefanikiwa kufungua frame naomba unipe mbinu gani niitumie ili niuze Mchele wangu kwa uharaka zaidi?,
 
Kamanda jamaa alisha kimbia humu jf
 
Jamaa alikuwa anawaingiza watu kwenye 18 ili waingie wazimawazima Hahahahahaa,Ameanza na kuku 50 kisha mpaka kuzalisha kuku maelfu kwa mwezi hahahaaa,hapo hapo ana ekari 48 kapanda mahindi mara kabichi hahahaaaa.
 
Back
Top Bottom