Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Toa maelezo humu humu mkuuHapo unaweza ku danload link za usajili na Kisha ukaomba token na ukatafuta laini na ukaanza kazi na utalipwa na kampuni kutokana na laini unazosajili kuhusu vocha jiunge na mobistock kwa Mtaji wa 11000 hapo utarusha vocha za mitandao YOTE na utauza na luku kuhusu kujiunga na mobistock Na hata kupata hizo link nicheck whatsapp 0763006602 au nipigie ni0629687224 nitakutumia link na nitakuunga na mobistock
mobistock faida yao ni ndogo ila ndo hivyoHapo unaweza ku danload link za usajili na Kisha ukaomba token na ukatafuta laini na ukaanza kazi na utalipwa na kampuni kutokana na laini unazosajili kuhusu vocha jiunge na mobistock kwa Mtaji wa 11000 hapo utarusha vocha za mitandao YOTE na utauza na luku kuhusu kujiunga na mobistock Na hata kupata hizo link nicheck whatsapp 0763006602 au nipigie ni0629687224 nitakutumia link na nitakuunga na mobistock
Asante mkuu umenitia moyoWasikukatishe tamaa...idea ipo vizuri maana ht mimi japo nna biashara lkn nimeongeza kuuza vocha na kusajili laini kama nyongeza ya mtaji
Ukikaa eneo zuri inalipa vbay mno...kwangu mimi mtaa mzima ndo nnayeuza vocha na vfurushi so kwa siku namaliza mpk elfu 40...(ambpo faida ya vocha za kurusha n 8%)
Upande wa kusajili wanalipa kulingana na idadi ya laini ulizosajili...na wanalipa kila mwsho wa mwezi
Makampuni yanayordhsha malipo ni tigo..voda...halotel na ttcl...airtel wanazngua...!!
Ukisajili laini nyng malipo hua makubwa...ka mwezi utaweza kuingza mpaka laki 3
Kkubwa n juhudi katika kazi
Na pia hongera kwa kuwaza hlo...utafanikiwa...!!
Nami nliwaza hilo na linanisaidia...hela hainipigi chenga
HV unaweza niambie wakala wa tigo pesa anakula % ngapi kwa kila mwamala anao Fanya mteja iwe kutoa au kutuma hela!/kuweka naomba nisaidie kama unajuaWasikukatishe tamaa...idea ipo vizuri maana ht mimi japo nna biashara lkn nimeongeza kuuza vocha na kusajili laini kama nyongeza ya mtaji
Ukikaa eneo zuri inalipa vbay mno...kwangu mimi mtaa mzima ndo nnayeuza vocha na vfurushi so kwa siku namaliza mpk elfu 40...(ambpo faida ya vocha za kurusha n 8%)
Upande wa kusajili wanalipa kulingana na idadi ya laini ulizosajili...na wanalipa kila mwsho wa mwezi
Makampuni yanayordhsha malipo ni tigo..voda...halotel na ttcl...airtel wanazngua...!!
Ukisajili laini nyng malipo hua makubwa...ka mwezi utaweza kuingza mpaka laki 3
Kkubwa n juhudi katika kazi
Na pia hongera kwa kuwaza hlo...utafanikiwa...!!
Nami nliwaza hilo na linanisaidia...hela hainipigi chenga
Hlo sijui nduguHV unaweza niambie wakala wa tigo pesa anakula % ngapi kwa kila mwamala anao Fanya mteja iwe kutoa au kutuma hela!/kuweka naomba nisaidie kama unajua
HV unaweza niambie wakala wa tigo pesa anakula % ngapi kwa kila mwamala anao Fanya mteja iwe kutoa au kutuma hela!/kuweka naomba nisaidie kama unajua
Kila siku akawa na wastani wa wateja ishirini wanaotoa elfu tano kwa siku.. kwa kamisheni hiyo mpaka mwisho wa mwezi inakuwa ndefuakipiga muamala wenye kato la 5000, amini hachukui zaidi ya 1000. Sasa jiulize huo muamala wenye kato la 5000 ni shilingi ngapi.
Hii ni biashara kichaa tu!, ukifanya hii biashara kama wewe ni wakala mdogo mdogo, uza na bangi