Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Wengi makachero wale.Hivi nna wale wsnaouza magazeti vituo vya basi hivi wanaishi kwa biss JH ara hiyo siamini kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi makachero wale.Hivi nna wale wsnaouza magazeti vituo vya basi hivi wanaishi kwa biss JH ara hiyo siamini kabisa
Na wanunuzi wengi hununua kupitia cm.Vocha ya 500 bei ya jumla ni 480 so faida ni 20,vocha ya buku unauziwa kwa 960 faida ni 40.golini kwangu naziuza kama stail tu ya kuvuta wateja na kusaidia kuuza vitu vingine.
Agent wa Tigo wale wakubwa au workshop za hizo mitandaoSasa vocha unanunua wapi za jumla?
Ndio hapo sasa mzee, hii business ni pasua kichwaNa wanunuzi wengi hununua kupitia cm.
Nakushauri fanya Biashara nyingine bro, faida yake ni ndogo sanaAnayejua namna faida ya vocha za simu za mkononi inavyoonekana, anifafanulie nataka nifanye hii biashara.
View attachment 1507811
Shukrani [emoji1752]Agent wa Tigo wale wakubwa au workshop za hizo mitandao
Na wewe unakuwa unauza za 'kupitia simu' mfano TigoRushaNdio hapo sasa mzee, hii business ni pasua kichwa
Mi mtaji wangu ni mdogo, kwa hivyo naona kwa vocha nitamuduNakushauri fanya Biashara nyingine bro, faida yake ni ndogo sana
Uko maeneo gani uku kwetu za 500 jumla ni 475, faida 25, buku ni 950, faida 50, 5000 ni 4750 faida 250, na ya 10000 faida 500. Ila uliwa ktk mzunguko wa watu wengi vituoni au kariakoo ivi uwe na uhakika wa kuuza za kama laki moja kwa siku faida utaiona mkuuVocha ya 500 bei ya jumla ni 480 so faida ni 20,vocha ya buku unauziwa kwa 960 faida ni 40.golini kwangu naziuza kama stail tu ya kuvuta wateja na kusaidia kuuza vitu vingine.
Mtaji mdogo unataka kuuza vocha?Mi mtaji wangu ni mdogo, kwa hivyo naona kwa vocha nitamudu
Nauza za kukwangua kawaida.Na wewe unakuwa unauza za 'kupitia simu' mfano TigoRusha
Kibamba mkuu, vocha ata uwe location ya namna gan ni pasua kichwa.Uko maeneo gani uku kwetu za 500 jumla ni 475, faida 25, buku ni 950, faida 50, 5000 ni 4750 faida 250, na ya 10000 faida 500. Ila uliwa ktk mzunguko wa watu wengi vituoni au kariakoo ivi uwe na uhakika wa kuuza za kama laki moja kwa siku faida utaiona mkuu
Kumbe kuna bei tofauti tofauti [emoji848][emoji848], nashukuru kwa kufunguka kwenu kunanipa mwanga... Mi nipo chuo kikuu kimoja hapa Dar.. Baada ya chakula, wanachuo tunakula vocha kama hatuna akili nzuri [emoji1787][emoji1787]Uko maeneo gani uku kwetu za 500 jumla ni 475, faida 25, buku ni 950, faida 50, 5000 ni 4750 faida 250, na ya 10000 faida 500. Ila uliwa ktk mzunguko wa watu wengi vituoni au kariakoo ivi uwe na uhakika wa kuuza za kama laki moja kwa siku faida utaiona mkuu
mi mwanafunzi wa chuo, hivyo naona biashara ya vocha haitavurugana sana na kitabu.. Naelewa faida sio kubwa kunitoa kimaisha ila nataka nisikae tu kama 'wa kusoma' [emoji1787][emoji1787]Mtaji mdogo unataka kuuza vocha?
Kama unataka kuongeza kama bidhaa mpya kwenye biashara iliokwisha aanzishwa sawa lakin Kama ndio unataka kutokea hapo hutoki!
Sawa, utaratibu wa kuuza za kurusha upoje?Nauza za kukwangua kawaida.
Kama unaline za uwakala hiyo huduma ipo kwa tigo piga *148*08# ni TIGORUSHA Na hii unauza mda wa maongezi na vifurushiSawa, utaratibu wa kuuza za kurusha upoje?
Nashukuru kwa ufafanuziKama unaline za uwakala hiyo huduma ipo kwa tigo piga *148*08# ni TIGORUSHA Na hii unauza mda wa maongezi na vifurushi
Pia kwenye airtel ukiingia kwenye menu ya Airtel money utaikuta
Kwa tigo Kama huna line za uwakala nenda tigo shop watakuunganisha ni bule kabisa
Vocha ya nusu kwa jumla utanunua 480 na utauza 500, vocha ya 1000 utanunua 960.Anayejua namna faida ya vocha za simu za mkononi inavyoonekana, anifafanulie nataka nifanye hii biashara.
View attachment 1507811
Tigorusha ya jero faida tsh 30 na ya buku faida ni tsh 60, almost ni vile vile tuNa wewe unakuwa unauza za 'kupitia simu' mfano TigoRusha