Naomba ushauri: Hati ya kiwanja ni ya mke wangu pekee au naweza kubadilisha majina?

Nashukuru sana kwa ushauri
 
Nashukuru kwa ushauri nitauzingatia
 
Huo ni mkataba wa mauziano. Kwenye hati hakuna mashahidi wa namna hiyo.
Tafuteni hati halisi mtaweza kumiliki wote wawili.
 
Mnaambiwa msiioe watoto wa single mother mnashupaza shingo mtibue uone kitakachotokea hapo!
Kashakuonyesha Dharau angekuwa anakueshimu na kutambua wewe ndiyo kichwa cha familia angekuandika jina lako! Ila yupo na mshauri mama yake utamwambia Nini, endeleeni kuviziana!
 
Kama mna watoto huna haja Hata mkiachana watarithi watoto. Ignore na nunua kingine kiwe na majina yako, maana Hata ukifa atarithi yeye Kisha watoto wenu.
 
Ngoja nikuulize uliyoona ni hati ya kiwanja au mkataba wa kununua kiwanja?
Hati ya kiwanja ndio inaandikwa kwa majina ya mr and mrs
 
Mkeo anakuzid kipato
 
Muaminishe kuwa hauna nia na hicho kiwanja alafu Kaa kimya. Baada ya mda mshawishi akukopeshe kiasi kikubwa cha pesa kisha lala mbele mkuu.

Huyo wife mmezaa naye mtoto??..
 
Mkeo ni mbinafsi. Kubadili itakuwa ni mchakato, tafuta mwanasheria awaambie cha kufanya.
 
Mambo ya mauzo yataihusisha na tra katika capital gain, na kujikuta wanalipa pesa nyingi.
 
Huyu mleta mada anaonekana ni kijana ambaye alioa mwanamke msomi, mjanja, anayeijua hela na mwenye exposure hili wasaidizane maisha.... Na Sasa hivi ndio anakutana na upande WA pili wa mwanamke WA dizaini hiyo.
 
Hapana siyo msomi ni level yangu
 
Usije ukajenga nyumba kwenye icho kiwanja mzee itakuwa imekula kwako
 
Muaminishe kuwa hauna nia na hicho kiwanja alafu Kaa kimya. Baada ya mda mshawishi akukopeshe kiasi kikubwa cha pesa kisha lala mbele mkuu.

Huyo wife mmezaa naye mtoto??..
Yah tuna watoto wawili lkn wakati tunanunua kiwanja tulikua na mtoto mmoja
Usije ukajenga nyumba kwenye icho kiwanja mzee itakuwa imekula kwako
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…