MUGASHA THE HERO
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 327
- 205
unajua ma
unajua madhara ya chaputa?Chaputa hio kawaida tatizo naona akili yangu imejaa pono tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua madhara ya chaputa?Chaputa hio kawaida tatizo naona akili yangu imejaa pono tuu
Oa.Utandawazi unafaida na hasara zake kiukweli siwezi kuegemea upande mmoja labda nitaje faida tu bila ya hasara ya utandawazi naona haitaleta picha nzur lakin haina jinsi tu. kwani utandawazi wa sasa umekiuka maadili ya uumbwaji kwa wale wanaemjua mungu kiukweli wazungu wanamalengo maovu dhidi ya waafrika ila sisi wenyewe hatujui lakin watuumiza sana kupitia utandawazi wao. nasema hivyo kutokana na hasira kubwa niliyonayo hii inatokana na kupumbazwa na kitu kinachoitwa porn kila kila wiki nikiweka bando lazima nipitie ile sehemu kuangalia wazungu wanavofanya upumbavu wao nikitoka hapo naenda kujizima kiukweli hili tatizo limekuwa kubwa sana katika jamii zetu za kitanzania. so nilikuwa naomba/tunaomba ushauri juu ya tatizo hili ni njia gani sahihi ya kuacha au kupunguza punyeto???
FYI walengwa wakubwa wa porn ni wanaume. So kama umekuwa mteja wa kudumu endelea tu kutazama. pia porn sio wazungu pekee wanaotengeneza, zipo za waafrika pia. hivyo, utawajibika mwenyewe kwa matendo yako.Utandawazi unafaida na hasara zake kiukweli siwezi kuegemea upande mmoja labda nitaje faida tu bila ya hasara ya utandawazi naona haitaleta picha nzur lakin haina jinsi tu...
wakati mwingine haihitaji kuona picha kutrigger hisia za kuangalia porn.Umeshawahi kuingia You tube pengine ulifuata habari za Magufuli,Recommendation after recommendation,baadaye unajikuta unahitaji kulog in utazame content..Lahaula!...when did I get here?..ooh Magufuli brought me here.......hiyo baadae sana....Mkuu download ant-porn software....hapo hutaweza kuingia kwenye site yoyote ya porn....kuhusu kujilipua, weka mikakati ya kuacha kwa hatua,...kama ulizoea kujilipua mara 10 kwa wiki, punguza kuja 8, 6, 4, 2, 1, hadi ufike mara 0 kwa wiki....ukisema unaacha kwa mkupuo utakuja kufidia siku ulizopitiliza.
Kingine, ondoa hiyo imani ya kusema wazungu wanatengeneza porn kwa ajili ya wafrika....porn addiction ni tatizo kubwa hasa kwao kuliko Africa.