Karibu kutafuta kitu cha kujiweka busy pale unapokua heat..mfano badala ya porn angalia series ya kawaida.toka japo mtaani tembea tu kujirudisha kwenye hali ya kawaida.
Pika...we chukua hata nguo piga pasi.soma kitabu au gazeti.in short Fanya jambo lolote Litalokusahaulisha mawazo ya ngono na kuangalia porn.
Hata kubwa zaidi ni kufuta kila chanzo cha porn..kama kuna video kwenye simu futa..kwenye PC futa..CD vunja.
Nliwahi kuwa mhanga wa jaribu kama lako nkalishinda.hata bila ya mwanaume nipo okay.third year papuchi imefunikwa.
Ukiamua unaweza
Sent using
Jamii Forums mobile app