Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Bila ya shaka unatumia pombe na ukishakunywa ndio huanza kufikiria kuangalia porn. Au nimekosea?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Maombi, kufunga na kusali pekee ndiyo kiboko ya hayo mawakala ya shetani.

Ilinigharimu zaidi ya miaka 8 kujivua kwenye CHAPUTA baada ya kuwa addicted maana nilikuwa naweza nikapiga hata mara 6 kwa siku 1.
Nilijitahidi sana kuacha hata baada ya mwezi lkn nilipothubutu kukumbuka tu ndipo hapo hapo nilijifariji "si nitapiga mara 1 tu afu nitaacha kwa siku hiyo hiyo? lkn nilikuwa nikijaribu tu mara 1 nitarudia tena hata 3" na ndipo ni mwendelezo wa kila siku nakati hata kabla sijapiga najikuta nikisoma madhara yake lkn bado hujanisaidia kitu chochote kile.

Niliuza laptop zaidi ya mara 2, niliuza hadi smartphones zangu nibakiwe na simu za buttons lkn nikajikuta nikinunua upya na kuendeleza kujifungia geto kupiga punyeto huku nikiendeleza mahusiano ya kawaida kwa binti niliyekuwa naye wakati huo.

Nilimwomba Mungu sana bila kufanikiwa hadi nilipojikita ktk maombi ya kufunga na kuomba kwa wiki kadhaa hivi ndipo Mungu alinisaidia niliacha kabisa kupiga punyeto.

NB:

JESUS IS THE WINNER & NOTHING CAN STOP HIM TO DO, COZ POWER AND WINNING ABILITIES ARE TOGETHER WITHIN HIS PRESENCE WHEREVER, ALWAYS AND FOREVER.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah siwezi kufunga mkuu .navopenda msosi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia sahihi ya kuwacha wakati unatamani kuangalia fikiria hukumu yake inasemaje kwenye dini yako. Halafu tafuta mwenza wa kukuliwadha na kufurahia maisha kutafuta mwanaume wa ndoto yako ni sawa na machinga kuota amekuwa Reginald Mengi.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Basi jitahidi uwe unaamka hata usiku saa 8, 9 usali hata dkk 15 tu maana kipindi hicho huwa maombi yana nguvu sana.

Kumbuka Yesu alikuwa akiamka wakati huo huo alipokuwa Gethsemane akijiandaa kusulubiwa msalabani ili kutuokoa wadhambi na hatimaye alishinda majaribu.
Daaah siwezi kufunga mkuu .navopenda msosi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye kunihukumu poa tu
Kila mwezi nikiwa heat huwa nawashwa kucheki ngono mtandaoni.
Nikishamaliza najuuta mpaka basi
Nikiwaza kugegedwa live naona hapana sio kwamba sitongozwi sema Mimi tu nimeamua sitoi papuchi yangu.
Nifanyeje wakuu niachane na dhambi hii?


Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea kuangalia tu kuna itafika wakati utazichoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye kunihukumu poa tu
Kila mwezi nikiwa heat huwa nawashwa kucheki ngono mtandaoni.
Nikishamaliza najuuta mpaka basi
Nikiwaza kugegedwa live naona hapana sio kwamba sitongozwi sema Mimi tu nimeamua sitoi papuchi yangu.
Nifanyeje wakuu niachane na dhambi hii?


Sent using Jamii Forums mobile app
Mabadiliko huanza ndani yako mwenyewe.
Mabadiliko hayaanzii nje yako ewe Miss Natafuta.

Ukibadilisha mazingira ya nje yako wakati ya ndani hujayabadili basi kumbuka utakuwa unatwanga maji kwenye kinu tu.

Fikiria mtu ambae alikuwa anataka aache punyeto alipaka mpaka pilipili mikononi ili aache,lakini ilipofika muda akaenda mwenyewe kunawa mikono na akapiga punyeto yake alipomaliza akajilaumu.

Hapo ni kuwa usitegemee sababu za nje kutaka kubadilika.sababu za nje hazipo na sisi mda wote.

Wewe upo na wewe kila unapoenda na wala haupo na simu yako wala tv.kwa hiyo kama kuepuka kwako kuangalia picha za ngono unategemea kuiacha simu yako na kuuza basi jua sababu ya nje umeiepuka ila je unaweza kuiepuka nafis yako ambayo upo nayo kila unapokwenda?basi kama huwezi kuiepuka basi vizuri ukaanza na mszoezi ya kuibadilisha nafsi.

Ukiibadilisha nafsi yako basi utaenjoy maisha utajikuta unamiliki simu,TV na wala hupati tabu ya kutumia nokia ya tochi kwa sababu ya kuepuka kuangalia porn movie.haya yanatokea endapo umeamua kuibadilisha nafsi yako kwanzaa kabla ya chochote.

Na hiyo nafsi ndo sababu ya ndani kabisa ya wewe kuangalia hizo porn.

Sasa njia za kubadilisha nafsi yako ili iwe na uwezo wa kujizuia ni njia rahisi sana na zina mafanikio makubwa lakini kabla haujaanza kuibadilisha kamatia huu msingi hapa chini usemao..

"katika kila lengo lako unalotaka ufikie basi kuna maumivu na tamaa unatakiwa uishinde na uikimbie"

Na msingi wa pili pia uelewe kuwa..

"hakuna nafsi yeyote isiyotamani mambo yenye kufurahisha lakini nafsi imepewa akili na iuwezo wa kuyakwepa mambo hayo"

Hivyo basi usione watu wamekaa ukajua hawatamani kabisa kuangalia porn hapana,nafsi wakati mwingine zinawaambia "angaliaa" lakini wana uwezo wa kudhibiti nafsi zao na kupotezea ushawishi kama huo.

Lakini pia kumbuka katika ile fomula ya kwanza kuwa hautokaa kabisa ukaja kuona umechukiaaa tuu hiyo hali,bali unatakiwa upitie hatua kadhaa ili usiitamani na kuifanya hata kama fikra inakujiaa.

Picha za ngono ni hatari sana kwa afya ya ubongo.

Kuna bwana mmoja alisema kwamba " ana miaka 13 toka ameacha kuangalia lakini mpaka mwaka huo wa 13 bado zile picha za ngono zinamjia kichwani licha ya kuwa ana miaka 13 tokea kuacha kwake,vipi wewe unaendelea mpaka leooooo je itakuwaje?

Chukua hatua.
 
Fanya ibada mwaya utaacha .....Mimi nilikua muhanga wa hiko kitu miaka kadhaa iliyopita .

Huwa napenda sana kujifungia ndani na siku zote niko hivyo sasa ile hali ya kukaa pekee na simu yangu tu kikasababisha nianze kuangalia hizo mambo
Nilikubuhu kwa kweli ikawa siwezi kukaa masaa kadhaa bila kuangalia porn na kujichua mazimaaa .....nilikua mlevi wa hiko kitu muda mrefu ....hata hamu ya mwanaume sikua nayo sababu kila kitu nilikua najifanyia ndani ....

Usalama ilikua nikienda chuoni hapo ndipo muda wa mapumziko yangu ulikuwapo

Ila nilikaa na kutafakari nikaanza kufanya ibada na kusikiliza mawaidha mbali mbali huku najitahidi kujidhibiti hatimae nilifanikiwa kuacha ......

Nimeacha kabisa siangalii hata kwa kuchungulia now Niko vizuri angalau hata nina hisia na mwanaume...

Jitahidi ufanye ibada na usome maandiko pia sikiliza neno la mungu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Porn movies hazikwepeki sababu zimehamishiwa kwenye music videos. music videos nyingi za kipindi hiki they all have nude scenes. Na sio Siri dancing nusu uchi inaathiri kuliko hata hardcore porn.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom