Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Pole sana dada yangu kwa maswahibu yanayokukuta,najua unapitia wakati mgumu sana katika tatizo hilo ambalo limekuwa ni sugu kwa vijana walio wengi.

Labda tu nikuambie kuwa si wewe peke yako ,waumini wa hicho chama ni wengi mno.tena wengine hujisifia na kujiona kuwa wapo sahihi kwa hicho wakitendacho cha kudhurumu nafsi zao.

Katika vitendo vibaya na vichafu ni kuangalia picha za uchi na kupiga punyeto,unapokuwa unaangalia picha hizo usizani kuwa unakuwa peke yako,la hasha,kundi kubwa la malaika wachafu huwa linakutazama na kushuhudia uzaifu wako katika shughuri zako zote hizo za kujichua na kuangaria porn,nao hao malaika wachafu ,pepo huwa wanatazama na kusifu uovu huo wakishilikiana na wewe kuutukuza uovu maana wao ni watoto wa muovu na asili yao ni uovu tangu zamani.

Hao wanaocheza sinema hizo ni mawakala wa shetani na hata pepo wachafu hushiliki pia, wakiwa wamevaa sura na umbo la kibinadamu kutekeleza uovu huo na wa hali ya juu na hata kumtolea maneno ya kashifa na matusi Muumba wetu,unapoangalia unakutana na sura za pepo wachafu na wengine humuingia mtazamaji moja kwa moja,na hivyo humfanya kuwa adicted na pornograph

Utazamaji wa porn unamadhara makubwa kiroho,kwani mtazamaji humfanya kuondokewa na ulinzi wa Mungu na kumuacha yeye kama alivyo,hivyo neema na baraka zote hutoweka na kubaki wewe kama wewe.
Kwa maana tendo la kutazama picha hizo ni uasi mkubwa mbele za mwenyezi Mungu na hautakuacha salama,madhara makubwa ya porn ni pamoja na kukosa kibali mbele za Mungu,kubeba pepo wachafu pindi unapotazama hali itakayo pelekea wewe kukosa mchumba bora wa kuoa/kuolewa maana unakuta kuna pepo wachafu wameshakuoa tayari au umeshawaoa bila kujijua.

Pia utakuwa mtu wa kujiona unahatia mda wote pindi umalizapo tendo hilo chafu la porn/kutazama au kijichua.

Jinsi ya kuacha,

Mkabidhi mungu mwili wako na roho yako,mwambie wazi kuwa unahitaji msaada wake.weka nia ya kuacha mara moja na umushilikishe mungu wako,Weka nia na uahidi mbele za Mungu kuwa hautatazama tena picha chafu kwa macho aliyo kupa ,wengi hawana macho hawajui hata jua lipoje,hawajui hata mbuzi yupoje wala kuku maana wamezaliwa hawaoni,iweje wewe uliyejaaliwa macho unayatumia kwa kumuudhi aliyekuumba!,

Muogope Muumba wako kwani anaweza kufanya lolote kwako na hata kwa kizazi chako,unaweza kukupa laana na ukazaa watoto machangudoa kwani mapigo yake yanaweza yasiishie kwako pekee,

Weka nia kuwa hautashika shika sehemu zako kwa nia ya kujilizisha mwenyewe tena ,na hautatazama uovu huo tena kwa macho yako mwenyewe,imeandikwa ni heri kiungo chako kimoja kipotee kuliko mwili wako mzima,basi ukiona jicho lako la kuume linakukosesha ni heri uling'oe ulitupe kule maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee kuliko mwili wako mzima utupwe katika jehanamu ya moto.

Epuka tamaa ya macho na tamaa ya mwili,jikane mwenyewe,mwili ni mdanganyifu siku zote ,hupenda anasa na kujirishisha,
Ubarikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]dah!!!
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Unataka kunifanya nini mimi my one n only
 
Check me in box
Then tutahamia whatsapp
Siwez andila hapa yakajitosheleza
Then inakuwa ni kama darassa daily inabid hatus moja moja
i was addicted too
Nikiwa njuka nilipigana toka kidato chapili hadi naua four ndio nilishinda
Nowdays hata nikiangalia naona kama picha za kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina wa kulala nae

ASent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo kidini huo ni ukatili ina maana maana yupo mtu ungemridhia angefaidi huo utamu,ona midume inavyokusononokea ,unachofanya ni sawa na kupika chakula kitamu afu unaenda kukitupa chooni,ushauri nakusii chagua kijana mmoja wetu mtunukie ukitafuta husband material
Ndimi
Katibu mwenezi
Chama Cha wanaume Tanzania
 
Acha hizo kidini huo ni ukatili ina maana maana yupo mtu ungemridhia angefaidi huo utamu,ona midume inavyokusononokea ,unachofanya ni sawa na kupika chakula kitamu afu unaenda kukitupa chooni,ushauri nakusii chagua kijana mmoja wetu mtunukie ukitafuta husband material
Ndimi
Katibu mwenezi
Chama Cha wanaume Tanzania
Sitaki kugegedwa na miwanaume isiyo na shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom