Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Hiki ni kisa cha kweli cha Bwana Alex.

"Mimi ni kijana ambaye nina miaka 26. Nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita. Nilianza kuangalia picha na video za xxx tangu nipo sekondari.

Ndugu zangu tatizo moja linalonisumbua ni kuangalia video za xxx na mbaya zaidi linachangia tatizo lingine la kupiga punyeto, kwani kama nipo pekee yangu baada ya kuangalia xxx lazima nipige punyeto.

Nimejaribu sana kuacha na kupata suluhu ya kudumu lakini nimeshindwa.

Naweza nikaacha kuangalia zaidi ya wiki moja lakini baada ya hapo najikuta tena naangalia.

Naombeni msaada wenu wa kimazo wa namna ya kuacha [emoji120][emoji120][emoji120]."
fanya maamuz ww ni mtu mzima Punyeto tushaachaga na kingne tafta dem pamanent utaacha niamini ukiona ni ngumu anza kubet ndio dawa yake [emoji23]
 
Ushauri mzuri sana,awe bize na mambobmengine,kikibwa asome mambo ya dini nakufanya kazi.
Punguza kukaa mwenyewe kwanza, tafuta shughuli zikuweke bize halafu tubu kwa imani yako roho chafu zikutoke. Andika tabia ambazo hazina afya katika karatasi halafu bandika chumbani kwako kila siku asubuhi zisome hizo tabia utaziacha na kuzisahau muhimu uwe umedhamiria kutoka ndani mwako.

Hakuna malaika atashuka kutoka mbinguni kuja kuwaambia wanaadam fanyeni hivi maarifa yote Mungu wa mbinguni ameshawapa hivyo ni juu yenu muhakikishe mnazifuata kanuni zake tofauti na hapo ni maangamizi katika kizazi hadi kizazi.
 
Tumia kitochi mkuu nahisi kwa sasa utakua unajilipua kwenye smartphone
 
Kufa tu,kwan hata ukiendelea kuishi huna mana puli itakua imekuharibu huwezi kuzalisha ...taifa linahitaji nguvu kazi pesa IPO.
 
Mkuu anza kubet

Narudua tena anza kubet

Huwezi kupata hata nguvu ya kuangalia hizo porn zaidi ya live score na kufuatilia game za mipira .....
 
Ni simple tu jaribu Kutrain mind Yako
Jiulize ili swali
Umeshawahi fikilikia kufanya Mapenzi na Mama yako au Dada yako.. Nadhani jibu ni hapana sababu ni kwamba umetrain mind yako isifikilie kabisa au kufantasize kwenye ilo swala.. Basi jaribu kufanya the same kwenye video za ngono
 
Ni kweli ndugu.

Sema sasa nipo nimepanga na naishi alone so muda mwingi nakuwa geto alone.

Nishajaribu kulichukia sana sema kuna saa linakuja tuu hata kama nilikuwa nafanya mambo mengine najikuta naacha naanza kuangalia porn na kujichua.

Kuna tabia nyingi ambazo nimefanikiwa kuziacha. Kwamfano nilishawah kuvuta sigara ila nilifika sehemu nikasema basi nikafanikiwa kuacha.

Lakini hili naanza kufikiria kama limekwisha nishinda kabisa.
Tafuta demu mzuri, halafu hizo staili za kwenye pilau ndo uzitumie kwake mbona fasta utasahau hizo video zako?
 
Mhhhh..sasa hapo sinitashindwa hata kufanya mapenzi
Kila kwenye vijana 10 waliobalehe (age ya 18 to 25) around 7 au 8 wamepiga puli but wanapoanza kuopoa na kupata mademu huwa wanaacha hiyo kitu. So as said earlier tafuta demu, tena mzuri na anayekupagawisha, halafu uwe unamwambia akupigishe puli siku moja moja, yaani hiyo itakufanya usahau kujichua mwenyewe kwani utaona hui njoy tena na utaacha.
 
Dawa yake ni uwe unapiga demu mara kwa mara tu... uta acha kuangalia porn na kupiga nyeto
 
Kila kwenye vijana 10 waliobalehe (age ya 18 to 25) around 7 au 8 wamepiga puli but wanapoanza kuopoa na kupata mademu huwa wanaacha hiyo kitu. So as said earlier tafuta demu, tena mzuri na anayekupagawisha, halafu uwe unamwambia akupigishe puli siku moja moja, yaani hiyo itakufanya usahau kujichua mwenyewe kwani utaona hui njoy tena na utaacha.
[emoji120]
 
Back
Top Bottom