Hiki ni kisa cha kweli cha Bwana Alex.
"Mimi ni kijana ambaye nina miaka 26. Nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita. Nilianza kuangalia picha na video za xxx tangu nipo sekondari.
Ndugu zangu tatizo moja linalonisumbua ni kuangalia video za xxx na mbaya zaidi linachangia tatizo lingine la kupiga punyeto, kwani kama nipo pekee yangu baada ya kuangalia xxx lazima nipige punyeto.
Nimejaribu sana kuacha na kupata suluhu ya kudumu lakini nimeshindwa.
Naweza nikaacha kuangalia zaidi ya wiki moja lakini baada ya hapo najikuta tena naangalia.
Naombeni msaada wenu wa kimazo wa namna ya kuacha [emoji120][emoji120][emoji120]."