Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Mie naomba kuuliza, hivi hakuna mwanaume kuanzia 16yrs ......... hajawahi kufanya masturbation?
Naaamin wengi washawahi kufanya na bado wengine wanaendelea kufanya, lakini tatizo hapa ni je unaridhika na hiyo hali na upo tayari kubadilika?
 
Ongeza ratiba yako fanya mazoezi itasaidia kijana sababu ukirudi home kama ni jioni unakuwa umechoka unaoga zako unalala hutakuwa na time na hicho kitu mimi nimeangalia sana ila sijawa addicted na mambo yangu nafanya kama kawaida ni wazo langu tu sijui wenzangu [emoji120][emoji120]
[emoji109]
 
Kama shida ni kuacha ni hivi .

Yamkini kwanza ni mwoga wa kutongoza hivyo unaona ni rahisi zaidi kujiridhisha mwenyewe..
Tafuta girl friends wengi ujipe ujasiri wa kutongoza . pindi mihemuko ikija uwe na uwezo wa kumpigia mmojawapo ukamaliza shida yako.. Kati ya hao utakao bahatika kula mambo nauhakika yupo/ wapo watakaonesha kutoridhika na urijali wako.

Hiyo itapelekea wewe kuhisi au kwa ajili ya kujichua inayosababishwa na kuangalia video chafu. Nauhakika utaanza kupunguza hiyo michezo nakuelekeza nguvu kufurahia katika tendo .. Omba umpate msichana aliye open katika kuridhika ktk tendo yaani kama hajaridhika anakwambia utaacha tu hiyo michezo.

Nb madem wengi you're vanarouble to STDs
Shukrani sana mzee
 
Acha kukaa peke yako kizembe

Acha kukaa peke yako kizembe

Acha kukaa peke yako kizembe nakazia maana kama hujaoa kuwa na demu haisadiiiiiiii narudia haisadiii demu anakupa mara mbili au moja kwa wiki we ushazoea kushitua deile huwezi acha......

Kam upo geto unaishi mwenywe na unapiga nyeto night kali basi tafuta hata mdogo ako au msela ukae nae hapo uone ka utapiga puli....

RETIRED CHAPUTA SUPERSTAR
Shukrani sana retired officer
 
Mkuu pole, kwanza Nafikiri hauna manzi kama hauna manzi unaamini upo salama wakati unajipoza kwenye kutizama ngono na kisha kujichua(kosa lingine)

Pornography imekuwa ni janga kama majanga mengine ila ndio hivyo tunadharau kimya kimya.

Mwenendo umejengeka Toka sekondari mpaka leo, itachukua muda pia kuacha hiyo tabia ila usiache hiyo nia ya kuacha kutizama.

Unapokwenda ni mbali ila utafika....

Wokovu hauji kizembe,utese mwili wako kila unapokusukuma kufanya baya japo kuna muda utashindwa.

Kipindi nasoma aliwahi kuja daktari mmoja shule kuongea nasi nakumbuka maneno haya"Nyie vijana mnamatatizo gani? Ni bora muwe na mademu kuliko kujichua"

NB: Tutakushauri mengi ila mwisho kaa chini upambanue vizuri.

Tuyazoee maisha,ila tusiishi kimazoea
Mkuu shukuran sana kwa ushauri wako. Maneno yako niya ukweli na yameugusa sana moyo wangu.

Shukrani sana and be blessed up
 
Uliyemwona ni mama mzazi tu, kwanini asikuweke wewe.

Tupeni akina mama heshima yetu mafala nyie.
Naomba samahani kwa kina mama wote kwa comment hii kwa niabaa ya aliyeitoa.

Naombeni mtusameheni bure sisi vijana wenu.
 
Kitu ambacho wengi hawakijui, mpiga nyeto uzalishaji wake wa manii..ni wakasi mno kutokana na utaratibu alioutambulisha mwili, hivyo basi mpiga nyeto akiacha kupiga siku 5 tu, atakuwa amezalisha manii nyingi mno hivyo kumfanya ajisikie nyege zilizopitiliza na Kama akajikaza asipige nyeto au kufanya mapenzi....usiku ndoto nyevu inahusika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fainal asubuh, akiwaza utamu wa bao la usingizini...lazima arudi CHAMANI, asikwambie mtu bao la ndoto nyevu ni tamu balaa. Huo mtihani wamefeli wengi mno, njia rahisi ya kuacha nyeto ni kuwa na mwanamke ndani kila ukitaka kupiga...pambano unalihamishia kwake ndani ya siku 90, nyeto baibai[emoji4]
Ndugu sikumbuki ni lini nilipata ndoto nyevu, na jaribu sana kufikiria hapa mwaka gani sikumbuki lakini naamini nina zaidi ya miaka 3 sijapata ndoto nyevu [emoji24]
 
Mama yake anaenda chumbani kwake kufanya nini wakati huyu ni mtu mzima 26 years. Sio lazima abandike mahali mtu mwingine atakapoona hapana, Abandike mahali anapopajua yeye mwenyewe hata abandike chini ya godoro.
Shukrani sana
 
Mbona wengine nyeto fresh na Kwa dem fresh mm nais Muhim mwili kuwa imara tu, Lishe nzuri, mazoez ya kushughulisha mwili, unaweza fanya vyote kwa kias na ukainjoy life sema wengi wanakosea wanafanya kupita kias
Tatizo langu ni kwamba niko addicted hivyo basi nataka niache kabisa.
 
Back
Top Bottom