Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mkuu katusimulia rafiki zake wa jf hilo la kuwaambia watu wa karibu mda mwingine ni hatari sababu hujui wao watachukuliaje hiyo ishuTafuta kazi za kufanya na za kuchosha, epuka kukaa peke yako, pia mhadithie hili tatizo lako mtu anayekuamini sana ikiwezekana mpenzi au mke wako na utaona matokeo chanya.