Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Kuwa busy
Fanya maombi na uombee hio simu

get a girlfriend kila ukipata hamu badala ya simu muite mfanye yenu ama oa umpendae mapema kbs.,
 
Dah nampa pole sana, urahibu wa punyeto nizaidi ya madawa ya kulevya. Naomba nikupe njia zilizonisaidia kitambo iko sijasaliti chama la wana CHAPUTA
1. Toa vyanzo vyote vinavyokupa urahisi wa kutazama video za ngono ( ukiweza kushinda hii punyeto umeacha)
2. Hepuka kukaa mwenyewe, jitaidi kujichanganya kwa watu au kutafuta kitu kitakacho bana mda wako usipate nafasi yakuwa mwenyewe
3 tatu na mwisho na hapa ndipo penye ugumu ila ukishinda mtiani huu uko kwingine unateleza tu.. fanya ufanyavyo kama kweli umezamilia/amezamilia kuacha ajitaidi kwa siku 40 mfululizo asipige punyeto wala kutazama picha za ngono. Ningumu sana ila ukiwanania utaweza.

Ukiweza kumaliza izosiku 40 ambazo ningumu kama kazi ya zege unakua umetoka kwenye ile adicted kali, hata mapambano sasa yatakua sio mazito.. bada ya hapo muendelezo unakua rahisi sana ila ukitaka urudi kawaida kabisa jitaidi umalize siki 90. Kila lenye heri mkuu
 
Ok. Ila nilianza kuangali toka nilipopata smartphone yangu ya kwanza 2014 mpka now. Sasa basi.
Wewe angalia tu ila wakati huu sasa anza ku develop tabia mpya ya kuangalia bila kujichua ukiweza mara mbili mara tatu umeweza forever

Mimi nilianza zamani kidogo 2002 huko na mpaka sasa naangalia for leasure pia hicho kipindi cha mwanzo cha kuangalia bila kujichua hakikisha demu wako yupo karibu hamu zikizidi unamnyandua hivo hivo mpaka utaona kujichua ni upuuzi.

Ila tafuta kazi ya kufanya inaonekana upo na iddle time sana.
 
Ni kweli ndugu.
Sema sasa nipo nimepanga na naishi alone so muda mwingi nakuwa geto alone.
Nishajaribu kulichukia sana sema kuna saa linakuja tuu hata kama nilikuwa nafanya mambo mengine najikuta naacha naanza kuangalia porn na kujichua.
Kuna tabia nyingi ambazo nimefanikiwa kuziacha. Kwamfano nilishawah kuvuta sigara ila nilifika sehemu nikasema basi nikafanikiwa kuacha.
Lakini hili naanza kufikiria kama limekwisha nishinda kabisa.
Umeshakaa ukawaza kuwa muda wowote unaweza itwa na ukajikuta mbele ya Muumba wako? Ulishaandaa majibu ya kumpa utakapoulizwa juu ya matendo yako likiwemo hilo la kuzini moyoni na kujichua?

Kaa tafakari. Jua kuwa kama wanavyoanguka wengine sasa, kuna siku, na inaweza isiwe mbali, zamu yako itafika. Hakikisha unafanya amani na Mungu mapema kabla ya siku hiyo, ambayo inaweza kuwa miaka 50 mbele au ikawa leo hii hii.

Mathayo 5
28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.

Waebrania 9:27
Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
 
Madhara ni mengi lakini moja wapo ni low self esteem. Hasa ikija mambo ya mademu kujiamini kumepungua sana. Vilevile hata siku nikiwa na demu nawahi kufika kileleni round ya kwanza siendi zaidi ya dkka 3 [emoji23]
Demu wa nini wakati upo chama cha wapiga nyeto ?

Wewe chagua Moja, kutulia na demu au kupambana na nyeto.
Hivi vitu haviendi pamoja.
 
Shida nguvu kiduchu anamalizia kwenye nyeto, akifikika kwa demu dakika chache hoiii..
Mbona wengine nyeto fresh na Kwa dem fresh mm nais Muhim mwili kuwa imara tu, Lishe nzuri, mazoez ya kushughulisha mwili, unaweza fanya vyote kwa kias na ukainjoy life sema wengi wanakosea wanafanya kupita kias
 
Sasa hio ya porn aibandike ukutani mama yake mzazi akiiona je[emoji1787]
Mama yake anaenda chumbani kwake kufanya nini wakati huyu ni mtu mzima 26 years. Sio lazima abandike mahali mtu mwingine atakapoona hapana, Abandike mahali anapopajua yeye mwenyewe hata abandike chini ya godoro.
 
Back
Top Bottom