Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Pole sana bro, hilo tatizo ni la kiroho ambalo linatakiwa suluhisho la kiroho. Ukijaribu kilitatua kwa kutumia akili yako au ushauri ambao siyo wa kiroho huwezi vuka bro

Wapo wanaoloangalia kwa msingi wa kisaikolojia...Yes, siwezi kuwapinga maana ndiyo mtazamo wao!

Ushauri wangu: Kwanza tambua kuwa unachokifanya ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu (Unazini tena na watu tofauti tofauti), hivyo basi unapaswa kujutia hicho kitendo na kumwomba Mungu akurehemu...Omba toba! Mungu ni mwenye huruma sana huwa hachoki kusamehe.

Pili waone watumishi wa Mungu (Wachungaji, mitume, manabii, Walio okoka...Watakuombea utafunguliwa tu kwa jina la Yesu! Inawezekana una pepo la uzinzi au unasumbuliwa na jini-mahaba...Tiba yake ni ya kiroho tu!

NB: Unapaswa kwenda kwa imani, utafunguliwa tu! Mungu anaweza yote, na neema ya Mungu ipo kwa kila mtu!
 
Asante sana ndugu. Hakika maneno yako yameugusa moyo wangu.
Nitaanza kufanyia kazi maneno yako.

Asante and be blessed
 
angalia tu kwani nini asee!?? usijilazimishe kuiga tabia za wengine, ili mradi angalia peke ako na mkeo, weka mbali na watoto si nzuri
 
angalia tu kwani nini asee!?? usijilazimishe kuiga tabia za wengine, ili mradi angalia peke ako na mkeo, weka mbali na watoto si nzuri
Nakataa hii sio tabia yangu na bado sina mke so lazima niishinde tabia hii
 
Nyeto hakuna kuacha kama inakupunguzia kuwaza wanawake.

Wewe endelea kuangalia tu sio vibaya kuangalia porn.
 
Usipende kukaa peke yako itapunguza.

Ukiwa na majukumu itapotea taratibu mpaka itaisha. Huwezi acha ghafla tu ila utaacha majukumu yanavyoongezeka.
 
Utayari wako, what are you doing lately? Mwanafunzi, mwajiriwa, umejiajiri au upo idol? Are you so lonely?

Ukiwa na muda wa ziada badala ya kuangalia ngono jaribu kufanya vitu vingine kama kucheza mpira, mazoezi, kuangalia mpira, movie, kutana na marafiki ubadilishane nao mawazo, na mambo kama hayo
Hii kweli ni njia sahihi lakini ukikaa kaa peke yako bila kazi, lazima ushitue mkono.
 
Haya mambo yamenitokea ila nimejitahid sana kupunguza kuangalia mpka sasa niko vzur nakaa mwezi siamgalii Kwahiyo anza KUPUNGUZA taratibu then utazoea ila kusema uache pa huwez maana ni pepo hilo usisahau kuomba
 
Kiongozi ni hivi, ukijihisi una hamu ya kuangalia video yeyote ya ngono anza kujishambulia vidole ama matunda mkunduni mpaka usikie maumivu makali, believe me utaacha tu. Try it[emoji1474]
 
Haya mambo yamenitokea ila nimejitahid sana kupunguza kuangalia mpka sasa niko vzur nakaa mwezi siamgalii Kwahiyo anza KUPUNGUZA taratibu then utazoea ila kusema uache pa huwez maana ni pepo hilo usisahau kuomba
Asante ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom