Amalrik TZ
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 341
- 303
[emoji120]Usipende kukaa peke yako itapunguza.
Ukiwa na majukumu itapotea taratibu mpaka itaisha. Huwezi acha ghafla tu ila utaacha majukumu yanavyoongezeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120]Usipende kukaa peke yako itapunguza.
Ukiwa na majukumu itapotea taratibu mpaka itaisha. Huwezi acha ghafla tu ila utaacha majukumu yanavyoongezeka.
Ubaya upo kwan tyr nayaona madhara maishani mwangu.Nyeto hakuna kuacha kama inakupunguzia kuwaza wanawake.
Wewe endelea kuangalia tu sio vibaya kuangalia porn.
Aisee wew umezid aiseeTatizo kwangu naangalia kila siku na kwa siku naweza kupiga nyeto zaidi ya mara mbili [emoji24]
Madhara gani ?Ubaya upo kwan tyr nayaona madhara maishani mwangu.
Ndio maana natafuta solution ya kudumuAisee wew umezid aisee
[emoji109]tafuta demu
Madhara ni mengi lakini moja wapo ni low self esteem. Hasa ikija mambo ya mademu kujiamini kumepungua sana. Vilevile hata siku nikiwa na demu nawahi kufika kileleni round ya kwanza siendi zaidi ya dkka 3 [emoji23]Madhara gani ?
I mean nyeto imekuletea madhara gani hadi sasa ?
Hiii ni kweli nalo nimeliona kwani siku nikisema leo sitaki kupiga najikuta tuu from now where tyr nishakamatika na kupigaWhat you resist persist...
Chukulia ni kama hali ya kawaida tu u don't have to feel guilty,....mwsho wa sku utajinasua Kwenye huo mtego
Ok. Ila nilianza kuangali toka nilipopata smartphone yangu ya kwanza 2014 mpka now. Sasa basi.Wewe itakua bado ni armature kwenye pornography
Nakushauri angalia mpaka ufikie ile point ukiangalia wala hata husimamishi mkuyenge , kila porno unajikuta umeiona au umeshaona inayoendana nayo so hapo utajikuta tu wala huna ham nazo tena
Shukran sana nduguSimpo fanya hivi, itakusaidia sana.
1. Anza kwenda kanisan muombe Mungu kwa roho na kweli.
2. Tafuta mwanamke oa umri wako umetosha kabisa.
Ukitak kuangalia x unamfunua mkeo unaangalia na kumaliza.
Na huna mpango wa kuacha?Mimi nimeshavuka arobaini na bado nainjoi
Hapo pagumuSasa hio ya porn aibandike ukutani mama yake mzazi akiiona je[emoji1787]
Shukrani sana ndugu[emoji120]Pole sana,...Na shida kubwa zaidi ni kwamba hata nikikushauri utafute internship uwe busy kidogo bado itakuwa changamoto kwako kupata..[emoji3][emoji3] keep praying huo mtihani wamefeli wengi..