Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Simpo fanya hivi, itakusaidia sana.
1. Anza kwenda kanisan muombe Mungu kwa roho na kweli.
2. Tafuta mwanamke oa umri wako umetosha kabisa.
Ukitak kuangalia x unamfunua mkeo unaangalia na kumaliza.
 
What you resist persist...

Chukulia ni kama hali ya kawaida tu u don't have to feel guilty,....mwsho wa sku utajinasua Kwenye huo mtego
 
Wewe itakua bado ni armature kwenye pornography

Nakushauri angalia mpaka ufikie ile point ukiangalia wala hata husimamishi mkuyenge , kila porno unajikuta umeiona au umeshaona inayoendana nayo so hapo utajikuta tu wala huna ham nazo tena
 
Madhara gani ?
I mean nyeto imekuletea madhara gani hadi sasa ?
Madhara ni mengi lakini moja wapo ni low self esteem. Hasa ikija mambo ya mademu kujiamini kumepungua sana. Vilevile hata siku nikiwa na demu nawahi kufika kileleni round ya kwanza siendi zaidi ya dkka 3 [emoji23]
 
Hua unangalia video gani .
Yaani kwa mfano na mimi nataka kungalia niingie wapi.
 
What you resist persist...

Chukulia ni kama hali ya kawaida tu u don't have to feel guilty,....mwsho wa sku utajinasua Kwenye huo mtego
Hiii ni kweli nalo nimeliona kwani siku nikisema leo sitaki kupiga najikuta tuu from now where tyr nishakamatika na kupiga
 
Wewe itakua bado ni armature kwenye pornography

Nakushauri angalia mpaka ufikie ile point ukiangalia wala hata husimamishi mkuyenge , kila porno unajikuta umeiona au umeshaona inayoendana nayo so hapo utajikuta tu wala huna ham nazo tena
Ok. Ila nilianza kuangali toka nilipopata smartphone yangu ya kwanza 2014 mpka now. Sasa basi.
 
Simpo fanya hivi, itakusaidia sana.
1. Anza kwenda kanisan muombe Mungu kwa roho na kweli.
2. Tafuta mwanamke oa umri wako umetosha kabisa.
Ukitak kuangalia x unamfunua mkeo unaangalia na kumaliza.
Shukran sana ndugu
 
Pole sana,...Na shida kubwa zaidi ni kwamba hata nikikushauri utafute internship uwe busy kidogo bado itakuwa changamoto kwako kupata..[emoji3][emoji3] keep praying huo mtihani wamefeli wengi..
 
Shukrani sana ndugu[emoji120]
 
Jipya mbona lipo maana warembo wanabadilika ...hilo tayari jipya.

Alafu mbona naona porn ndio i aleta mzuka zaidi na kitu kusimama imara.
 
Back
Top Bottom